CHADEMA Kumuondoa Lema Arusha

Arusha inamhitaji Lema kuliko wakati mwingine wowote ule, CCM sahauni tena Arusha, hata chadema ikiweka mtoto mchanga ashindane na.JK mtoto ataibuka mshindi
 
Lema kiboko bwana we mwandishi acha kupamba sana hata ikitokea ukaona hivo unavyofiki ni mbinu za kuwachapa wahun ccm.
 
Mzawa ni nani na wakuja ni nani? Soma katiba ya nchi yetu kama inasema hivyo.....,
Arusha ni ya Watanzania wote kama una chuki zako hama ukatafute sehemu nyingine ya kukaaa lakini penda usipende mbunge wako atakuwa Lema hadi amalize miaka 50.
 
Mnaonekana jinsigani mulivyo mashabiki hata habali ikiwa sahihi amuiungi mkono msifuate mkumbo kamaafai apishe wenzie uo ndio uzalendo
 
leo nipo ARUSHA,nilipita miaka 4 iliyopita naona mji umezidi kuzorota.
 
leo nipo ARUSHA,nilipita miaka 4 iliyopita naona mji umezidi kuzorota.

Kumbe umepita? Mi nilijua umetembelea na kukagua? Ama kweli wewe nawe upenzi wako umekithiri juu ya uhalisia.
 
Halafu nashindwa waelewa Gemu ya wapinzani mnaielewa sana kuliko ya kwenu sio?

Mbona yasemekana Peter Serukamba anaenda Kigoma kaskazini na Zitto Z. Kabwe anarudi. Kigoma town hapo kwa wazee wa. Dubai ya afrika?
 
duh..wanasiasa hakika ni kizazi cha nyoka. ukabila udini rushwa ushirikina etc. hapo mtu anataka kuondoa kisiki.
 

umeota unakunya umejinyea kweli teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…