Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,124
- 6,141
Moja ya sàbabu ya mimi kuutaka Urais wa Tanzania ni namna ambavyo kama nchi tunakosa mbadala wa ccm, yaani tunaupinzani ambao ni mabingwa wa kudandia matukio ya kisiasa na na sio ku-stick na mipango yao in short hawajui wanachopigania ni-nini
Nenda kwenye account za mtandao wa x wa lema na boniface Jacob unaona wanavyomsifia polepole serious, ni kweli chadema hawajatoa official statement ila kauli za makada wake maarufu zinatosha kukuonyesha mtizamo wao kama chama
Kwenye barua ya polepole ambayo ina-surface online kuna reaction nyingi
ETI LEO POLEPOLE ANALILIA HAKI 😂🤣🤣 NA BAADHI YA WATU WANAMUONA SHUJAA KUNA MAMBO YANAUMIZA SANA NA KUSIKITISHA SANA KUNA MDA WANASIASA WANATUONAGA SISI NI MAZOMBI
kuna mambo ambayo ningependa kuyaongelea yalifanyika wakati polepole akiwa katibu mwenezi wa ccm na hatukuona mahali popote akiyalalamikia na yaliumiza sana watu wengi;-
Ni sawa na ndugai wakati wa magufuli anakopo sana kumbuka magufuli ni rais wa pili kukopa sana baada ya samia hakuna sehemu yeyote job ndugai alikuwa analalamika bali alikuwa mda wote anacheka huku amevaa Joho lake la uspika
Kaingia samia ghafla job ndugai kaanza kuona mikopo ni tatizo serious nauhakika kama magufuli angeendelea na kukopa hivi basi job ndugai angeendelea kumsifia
Polepole ni architect wa mabaya na mambo mengine wanayofanyiwa chadema leo hii inakuaje ghafla chadema wanamsifia inamaan mara hii wameshasahau inafikirisha sana
Mimi simpingi polepole na wala simsupport kwa sababu asilimia kubwA ya mambo anayolalamikia leo yalianza yeye akiwa katibu mwenezi wa ccm
www.jamiiforums.com

- Wakati polepole akiwa katibu mwenezi tuliona watu wakiunga juhudi mkono na mda huo huo wakirudishwa kibabe pasipo-kufuata matakwa ya chama cha mapinduzi na kugombea tena swali mbona hatukumsikia polepole akilalamika
- Wakati wa utawala wa magufuli kila maeneo chadema waliokuwa na wabunge na madiwani polepole akienda na akiondoka unaskia watu wanaunga mkono juhudi ilikuwa ni biashara ya kununua watu wazi wazi na polepole alikuwa anacheka bila kuonea huruma fedha za wananchi zilizokuwa zinapotea ila leo analilia haki
- Mwaka 2020 wagombea wa ccm walikatwa kihuni sana lakin hatukumsikia polepole akilalamika bali alikuwa anacheka mda wote
- Mwaka 2020 wako wagombea wa chadema walinyimwa fomu kihuni na wakurugenzi yaani ni haki yao ya kikatiba ila hatukumsikia mahali popote polepole mpenda haki akilalamika
- Wakati polepole akiwa katibu mwenezi watu walikuwa wanatekwa mbona hakutoka na kulalamikia utekaji kama kweli ni mpenda haki
- Wakati wa utawala wa magufuli shughuli za vyama vya siasa vilishitishwa kinyume na katiba hatukumsikia polepole akilalamikia hili swala
- Wakati wa utawala wa magufuli tuliona kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2019 na 2020 ila hatukumsikia polepole akilalamika tulimuona akiwa anacheka mpaka gego la mwisho likionekana
- Wakati wa utawala wa magufuli professor assad aliondolewa kinyume na katiba ila atakumsikia polepole akilalamika katiba kusiginwa maksudi
Ni sawa na ndugai wakati wa magufuli anakopo sana kumbuka magufuli ni rais wa pili kukopa sana baada ya samia hakuna sehemu yeyote job ndugai alikuwa analalamika bali alikuwa mda wote anacheka huku amevaa Joho lake la uspika
Kaingia samia ghafla job ndugai kaanza kuona mikopo ni tatizo serious nauhakika kama magufuli angeendelea na kukopa hivi basi job ndugai angeendelea kumsifia
Polepole ni architect wa mabaya na mambo mengine wanayofanyiwa chadema leo hii inakuaje ghafla chadema wanamsifia inamaan mara hii wameshasahau inafikirisha sana
Mimi simpingi polepole na wala simsupport kwa sababu asilimia kubwA ya mambo anayolalamikia leo yalianza yeye akiwa katibu mwenezi wa ccm
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...