Kulikuwa na ulazima Mhe. Rais kusema atamlipia mgonjwa Muhimbili kupitia mshahara wake? Mbona kawaida sana mkuu?Mbowe ana mambo ya ajabu sana! Hivi kulikuwa na haja gani ya kuutangazia ulimwengu kuwa wabunge wa UKAWA watachanga pesa eti laki 3 ya kumsomesha mtoto wa Mawazo!? Hivi alishindwa kuongea na wabunge wake kimya kimya huko mpaka atutangazie!?
Wakuu, katika mwendelezo wa sarakasi nimemsikia Mbowe akidai watamfikisha mahakamani Mkumbo (RPC?) ili ajue gharama za kumweka Lowassa Mwanza. Watataka CHADEMA walipwe gharama za kumweka Lowassa siku nane. Wakati rais Magufuli akibana matumizi, NGO zinazojitambulisha Kama vyama vya siasa zinatafuta mianya ya kupigia pesa. Hawa ndio wapinga ufisadi!!?
Kudai fidia ni haki. Ukitaka usidaiwe usilete usumbufu usiofuata sheria.
Watu kila kitu wanaleta siasa mkuu... Hadi wanapoteza reality.Mimi nashangaa wanao beza kwani wangekuwa wao je wasingedai ? Au ungurubwe tu mimi naona kunahaja ya kuacha ujima
Mbowe ana mambo ya ajabu sana! Hivi kulikuwa na haja gani ya kuutangazia ulimwengu kuwa wabunge wa UKAWA watachanga pesa eti laki 3 ya kumsomesha mtoto wa Mawazo!? Hivi alishindwa kuongea na wabunge wake kimya kimya huko mpaka atutangazie!?
Kulikuwa na ulazima Mhe. Rais kusema atamlipia mgonjwa Muhimbili kupitia mshahara wake? Mbona kawaida sana mkuu?
Ni nakwambia kamanda Mbowe ni mhuni tu na mbinafsi. Atashurutishaje wabunge wachangie kwa mtoto wa Mawazo bila ridhaa yao.!??? Yaani kafanya maamuzi tu ya kihuni huni. Sio zama zake hizi.Mbowe ana mambo ya ajabu sana! Hivi kulikuwa na haja gani ya kuutangazia ulimwengu kuwa wabunge wa UKAWA watachanga pesa eti laki 3 ya kumsomesha mtoto wa Mawazo!? Hivi alishindwa kuongea na wabunge wake kimya kimya huko mpaka atutangazie!?
Wakuu, katika mwendelezo wa sarakasi nimemsikia Mbowe akidai watamfikisha mahakamani Mkumbo (RPC?) ili ajue gharama za kumweka Lowassa Mwanza. Watataka CHADEMA walipwe gharama za kumweka Lowassa siku nane. Wakati rais Magufuli akibana matumizi, NGO zinazojitambulisha Kama vyama vya siasa zinatafuta mianya ya kupigia pesa. Hawa ndio wapinga ufisadi!!?
Mbowe ana mambo ya ajabu sana! Hivi kulikuwa na haja gani ya kuutangazia ulimwengu kuwa wabunge wa UKAWA watachanga pesa eti laki 3 ya kumsomesha mtoto wa Mawazo!? Hivi alishindwa kuongea na wabunge wake kimya kimya huko mpaka atutangazie!?
mmh. kweli mnatafuta vyeo lakini mjinga wenu kashaondoka na aliyepo hawezi kukupeni kama fadhila we urudi Songea uje kulima@Hamy D. vp au umepata ajira hapo LumumbaMbowe ana mambo ya ajabu sana! Hivi kulikuwa na haja gani ya kuutangazia ulimwengu kuwa wabunge wa UKAWA watachanga pesa eti laki 3 ya kumsomesha mtoto wa Mawazo!? Hivi alishindwa kuongea na wabunge wake kimya kimya huko mpaka atutangazie!?
Mleta uzi ni mpumbavu sana kwanza kashindwa kuzuia mihemko yake ya kisiasa na kuleta andiko la kipumbavu kama hili.
Mbowe ana mambo ya ajabu sana! Hivi kulikuwa na haja gani ya kuutangazia ulimwengu kuwa wabunge wa UKAWA watachanga pesa eti laki 3 ya kumsomesha mtoto wa Mawazo!? Hivi alishindwa kuongea na wabunge wake kimya kimya huko mpaka atutangazie!?
Ni nakwambia kamanda Mbowe ni mhuni tu na mbinafsi. Atashurutishaje wabunge wachangie kwa mtoto wa Mawazo bila ridhaa yao.!??? Yaani kafanya maamuzi tu ya kihuni huni. Sio zama zake hizi.
Je watoto wa Chacha Wangwe mbona wamtupwa kule
Je watoto na familia na Mwangosi mbona imetelekezwa? ?
Je mbona familia na dr Mvungi imetelekezwa? ?
Je mbona wapo wahanga wengi wa siasa ambao wametangulia mbele ya haki kwa ajili ya kutetea ukawa na chadema mbona wametelekezwa? ??
Kwa nini iwe kwa Mawazo? ??? Na kuamua kuwalazimisha wabunge, wengine ni wapyaaa hata hawataki biashara ya kupelekeshana kama hiyo? ?