Elections 2010 CHADEMA Kumfungulia Mashtaka Salma Kikwete

Nahisi kutapika kila nizionapo picha za huyo mwanamke. Sijui wakojeee siku zao zinahesabika kutimuliwa pale magogoni yeye na mumewe na hilo toto lao limbukeni mriziwane.
 
Ni matatizo ya ma FL yanayozidi powers za waume zao na hivyo kuwafanya waonekane kituko. Ilikuwa Sitti Mwinyi hivihivi... Kenya kuna Lucy Kibaki hapa sasa Salma Kikwete... na nina hakika Tanzania ijayo Josephina Slaa itakuwa hivihivi na anavyoonyesha kuwa Gold Digger kufuata waume wenye mshiko... Tutakoma!

Join Date: Wed Jun 2010Posts: 18Thanks : 7
Thanked 2 Times in 2 Posts
Rep Power: 0


Mkuu Kitumbo, naamini ingekuwa busara kama ungemuomba radhi Josephine Mushumbusi kwa kugha uliyotumia. Unadai una uhakika, can you prove it??? Who is Gold Digger kama si hao wanaotumia pesa za walipa kodi kwa shughuli zao za kibinafsi? Let us be real.

 
][*]Unaitumia IKULU kukukampeinia kurudi madarakani. ninaposema ikulu rejea wito wa msajili wa vyama kuamuru myang'oe mabango ya promo yenu kwa kuwa picha zilipigwa na ikulu. Pia matumizi ya USALAMA wa TAIFA kuhakikisha na kutumia taarifa wanazokupa kwa mtaji wa kisiasa. Najua kama siyo wewe rais basi msaidizi wako aliwaagiza UwT wafuatilie suala lililotolewa maamuzi na mahakama kuu dhidi ya Slaa ambapo MNATAKA kuitumia taarifa hiyo kummaliza wiki chache kabla ya uchaguzi. Hii ni dhihaka kwa wananchi na dola
[/LIST]
[/I]

Mkuu Msanii,
tuweke bayana na hiyo janja yao waliyopanga kuitumia
.
 
Tatizo sio huyo mama, tatizo ni JK. Huyo mama ni symptoms za matatizo ya JK - na hiyo ndio the tip of the iceberg. Tendwa aliwaonya CCM kutumia UV CCM kuleta vurugu kwenye kampeni, kimazingira inaonesha Ridhiwani anahusika na hili. John nae kama nani sijui niseme kwani anamwogopa Ridhiwani!!!
 
Ana kiherehere sana yule mama.
Mama Salma Kikwete ametumia ndege ya Serikali namba 5H TGF kwenye Kampeni za Kikwete. Dr. Slaa ameagiza wanasheria wa Chama kumfungulia kesi Salma Kikwete.

Brodas and Sistos,
Who knows, huenda aliikodi hii ndege?...ndege hizi sasa hivi ziko chini ya agency ya serikali, na ni kwa hela yako tu unaondoka nayo!
Tuangalie tusikurupuke!
 
sasa hivi shavu dodo huyu mama salma, anaenda mikoani analazimisha kusomewa taarifa ya ulinzi na usalama ya mkoa kupitia kwa RC huu ni uvunjaji wa katiba na akipelekwa mahakamani leo ni kifungo kwa kulazimisha mamlaka halali kutekeleza maaagizo yasiokuwa halali kikatiba, mtikila uko wapi , chukua hii kesi haraka.
 
Nyie jamaa mnaosema hamumpendi salma nani kasema anampenda mke wenu acheni hizo sisi tatizo letu ni JK na sio familia yake ,kiongozi wa nchi ni JK na ndio tatizo la nchi hii mkiingiza mambo ya familia kwenye siasa mnakosea mnakuwa kama makamba acheni hizo haipendezi tatizo letu sisi ni ccm na kiongozi wake sio familia yake mama salma anafuata mkumbo tuu tena unaweza kuta ana kadi ya chadema na atampigia dr slaa sema tuu kwa vile jk ni mumewe hana ujanja lazima a show up mbele ya jamii,mama salma nakupendaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa eeeeeeeeh;;;jk samahani
 
Amesahau kusoma elimu ya nyakati, ajaribu kuona kinachoteka Zambia kwa mke wa Chiluba na huyu wa sasa hivi, wanawake wamefungua kesi Zambia High Court kupinga matumizi mabaya ya fedha za umma walifikiri wasingeguswa!
 
inasikitisha sana kwa kweli, ndo maana tunalilia katiba mpya ili hawa wote tuwashughurikie, ulishaonea wapi mtu alikuwa mwalimu,
mumewe kuukwaa Urais hata ualimu hautaki tena, inaonesha jinsi fani ya ualimu inavyodharauliwa, mama Salma kaikimbia maana
hailipi, badala ya kwenda kuwasaidia walimu wetu, nasikia toka ahamie ikulu hata njia ya kwenda shuleni kwake alishaisahau........

katiba atakayoleta Dr Slaa napenda iwe na kipengele hiki, hakuna kiongozi wa Serikali na chama tawala atakayeruhusiwa kusomesha
watoto wake shule ya private, kufanya hivyo anapoteza sifa za kuwa kiongozi, huenda ndo watawathamini walimu pale watoto wao
watakapokalia mawe shule za kata....
 
Ndio tatizo la watu wa level ya standard 7
Acha kutusi watu wenye level ya standard seven! Huenda hata mzazi wako ama babu na bibi yako ni wa level hiyo lakini wana hekima na uchungu wa mali za Taifa lao kuliko Mama Salma Kikwete!
 
Sipendi anachofanya hasa iwapo pesa za mafuta na allowances zinatoka serikalini...

Ila CHADEMA hawana haja ya kugeuka mtikila na kukimbilia mahakamani, nadhani wanaweza zaidi kutumia "power to the people" tactic na kumshtaki kwa wanachi tena kwa picha, athari na mwenendo ili iwe silaha yao kwenye kampeni... once you go to court, then you are obliged to shut up!!!

tangu lini chadema wakawa na imani na mahakama hizohizo wanazozitilia shaka?
 
Mkuu Msanii,
tuweke bayana na hiyo janja yao waliyopanga kuitumia
.
KUna LORI la Dr. Slaa lilikamatwa na ISHU na serikali ikataka kutaifisha ila Dr. Slaa alikata rufaa mahakama kuu akashinda kesi na kurudishiwa gari lake.
Sasa baada ya kuanza kushusha makombora dhidi ya ccm, jamaa wa UwT walianza kufuatilia file la ile kesi waweze kufabricate stories dhidi ya Dr. Slaa hasa wakati kampeni zinaelekea ukingoni. Naamini wameshapewa onyo kwamba kesi yenyewe slaa ahusiki ila mahakama ya chini iliamua kimakosa dhidi yake.
Mmenisoma?
 
Du kumbe ni standard 7 yule maza!

Acha kuropoka wewe... mimi ninavyuwa alikuwa mwalimu wa shule ua msingi mitaa ya magomeni kama sikosei wakati muheshimiwa rais Dr.Jakaya mrisho kikwete alipokuwa waziri wa mambo ya nje!.. mtu aliyemaliza la saba hawezi akafundisha shule ya msingi kabla hajapitia UALIMU! AMA NI DHARAU MLIZONAZO KWA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI??
 
Nyie jamaa mnaosema hamumpendi salma nani kasema anampenda mke wenu acheni hizo sisi tatizo letu ni JK na sio familia yake ,kiongozi wa nchi ni JK na ndio tatizo la nchi hii mkiingiza mambo ya familia kwenye siasa mnakosea mnakuwa kama makamba acheni hizo haipendezi tatizo letu sisi ni ccm na kiongozi wake sio familia yake mama salma anafuata mkumbo tuu tena unaweza kuta ana kadi ya chadema na atampigia dr slaa sema tuu kwa vile jk ni mumewe hana ujanja lazima a show up mbele ya jamii,mama salma nakupendaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa eeeeeeeeh;;;jk samahani
Ndiyo tunajua tatizo letu ni JK na CCM yake. Lakini wooote tuliowataja wapo ktk system na CCM. Hivyo ni ruksa kumkosoa mke wa rais ambaye ana nafasi kubwa ndani ya CHAMA.
Kama hawajui mipaka ya RUSHWA sisi tunapiga mbiu ya kuwaonya kwa kuwa tunawapenda maana kama si leo basi kesho wananchi wakiamua wanawafikisha mahakamani kwa kutumia madaraka ya ndugu yao (rais) kwa manufaa ya kifamilia.
Endelea kumpendaaaaaaaaaa halafu mshkaji aje kusoma humu uone huo MOTO WAKE.

Salma kikwete, usidhani kila siku ni alhamisi. Kuna wakati jua huzama mchana kweupeee tukabaki tunashuhudia tu!
 
Back
Top Bottom