samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 213
Chama cha demokrasi na maendeleo chadema kimesema kitachukua hatua za kumfukuza kazi mkurugenzi wa manispaa ya moshi kama ataendelea na tabia yake ya kususia vikao na kuwaacha madiwani na meya wa manispaa hiyo ambao kimsingi ndio waajiri wake. Amesema wanayo mamlaka ya kumfukuza kazi na kama serikali itamlindi basi watamfungia nje ya ofisi. Zaid ya hapo mbowe amezitaka halmashauri kujifunza kuongoza halmashauri katika mfumo wa vyama vingi. Source: mlimani tv habari.