CHADEMA Kulikoni Wilaya ya Kilosa???

CHADEMA Kulikoni Wilaya ya Kilosa???

- Toka Jumapili nipo hapa Kilosa, hakuna Chadema presence kabisa, yaani hata Madiwani wote ni wa CCM, I mean ni vigumu sana kwetu CCM kutawala bila kukumbushwa mapungufu yetu na Chadema sasa wanapokuwa hawapo kabisa mara nyingi inapelekea Viongozi wetu wa CCM kujisahau.

- Halafu inakuja hoja yangu ya msingi, Vipi Chadema kumpeleka Slaa DC Washington badala ya kumleta huku Kilosa aje ajaribu kufungua matawi? I mean Tawi la Kilosa si linaweza kuwa muhimu kwa Chadema kuliko tawi la wanachama wanne la DC Washington/USA? Chadema ni muhimu sana mkaangalia priorities zenu kwa sababu hii no moja ya changamoto kubwa inayowatesa sana ya kukimbilia kuanzisha matawi ambayo ni fruitless huko nja na kwa gharama kubwa kuliko kuhangaikia hapa Bongo kwa gharama ndogo na yenye matokeo ya kura kwa chama chenu.
Le Mutuz

Mkuu Wille, kati ya mambo ambayo mimi ninakukubali ni pale unapokuwa mkweli, kama hapo kwenye bold!. Kumbe ni kweli CCM imejisahau, japo sikubaliani na wewe kuwa ni lazima kukumbushwa na Chadema tuu, no, hata sisi ambao hatuna vyama tumekuwa tunaikumbusha CCM ila kwa vile ni Chadema tuu ndio inayowakosesha usingizi, then kukumbushwa kwenu ni na Chadema tuu!.

Hili la ushauri wako kwa Chadema kuhusu priorities nalo ni la kweli, ila japo mimi sio Chadema, ila naamini lengo la ziara ya Dr. kule sio tuu kufungua matawi, kama kuna ufunguzi wa matawi, itakuwa ni just one of!.

Kwangu mimi kuelekea uchaguzi wa 2015, issue sio CCM ina matawi mangapi au Chadema ina matawi mangapi mahali, kwa sababu wanaopiga kura sio CCM au Chadema bali ni wananchi!. Ili chama fulani kishinde, kinategemea mwamko wa watu husika kujitambua na kupiga kura wakiwa na informed decision wanakipigia chama gani na kwa sababu zipi!.

Unaweza kushangaa hapo Kilosa hakuna tawi hata moja la Chadema, ukafanyika uchaguzi, Chadema ikasimamisha mgombea na akachaguliwa!.

Hii ni kutokana na kwenye baadhi ya maeneo, CCM imekuwa ikichaguliwa kwa mazoea tuu, huku asilimia kubwa zaidi ya wapiga kura wakiwa wamejilalia zao!. Hawa waliolala wakiamka ni hatari sana!. Ndio maana nawaona watu wakipita huku na kule kuwahimiza watu waendelee kulala, huku wengine wakipita huko na huku wakiwaamsha!. Japo amsha amsha haijaipitia Kilosa, kuna uwezekano wakaamka tuu hata kwa kele za jirani!.

Niliwahi kusema humu kuwa kwenye baadhi ya maeneo, CCM imechokwa mpaka basi, kiasi kwamba hata Chadema wakisimamisha jiwe, jiwe litachaguliwa!. Hii ni changamoto kwa Chadema, hata kama haina tawi, kuhakikisha chaguzi zijazo, inasimamisha wagombea kila kitongoji, kila kata, kila tarafa, kila kijiji, kila wilaya, na kila jimbo na ikitokea hakuna mwanachama hata mmoja, basi kisimamishe tuu hata jiwe, liandikwe Chadema!, nakuhakikishia jiwe litapita!.

Uchahuzi uliopita, waliojiandikisha kupiga kura ni milioni 20, waliojitokeza ni milioni 8 na CCM imechaguliwa na kura milioni 6 tuu!. Wale milioni 12 ambao hawakujitokeza, ni ama wamelala, ama wamekata kabisa tamaa kuwa hata ufanye nini CCM itapita tuu, hivyo kuamua kutojisumbua kwenda kupiga kura, bora wajilalie zao!. Hawa 12 ambao hawakupiga kura ndio hatari zaidi kuliko wale 6 waliopigia kura CCM, kwa sababu wakiamka na kujiunga na wale wawili, watakuwa ni 14!, hivyo kiukweli, bora kuendeleza hiyo kazi mzuri ya kuwasisitiza waendelee kulala ndio salama ya CCM 2015!, wakiamka, au hata kuamshwa tuu na kelele za majirani, kiukweli Wile, uchaguzi wa 2015, CCM kazi mnayo!.
Pasco.
 
japo uwezo wako wa kufikiri ni mdogo leo umeongea pointi mkuu, kwenye ziara zako kama kuna maeneo mengine chadema haipo usisite kutushauri, baniani mbaya kiatu chake dawa
 
- Toka Jumapili nipo katika ziara ya kikazi ya Wazazi/CCM Taifa katika Wilaya zote za Mkoa wa Morogoro, tulianza na Gairo, Ifakara, Mahenge na leo ilikuwa zamu ya Kilosa na nipo hapa sasa hivi na kesho nitakuwa Mvomero na Mzumbe University. Kilichonishitua hapa Kilosa ni kuona kwamba hakuna Chadema presence kabisa, yaani hata Madiwani wote ni wa CCM, I mean ni vigumu sana kwetu CCM kutawala bila kukumbushwa mapungufu yetu na Chadema sasa wanapokuwa hawapo kabisa mara nyingi inapelekea Viongozi wetu wa CCM kujisahau.

- Halafu inakuja hoja yangu ya msingi, Vipi Chadema kumpeleka Slaa DC Washington badala ya kumleta huku Kilosa aje ajaribu kufungua matawi? I mean Tawi la Kilosa si linaweza kuwa muhimu kwa Chadema kuliko tawi la wanachama wanne la DC Washington/USA? Chadema ni muhimu sana mkaangalia priorities zenu kwa sababu hii no moja ya changamoto kubwa inayowatesa sana ya kukimbilia kuanzisha matawi ambayo ni fruitless huko nja na kwa gharama kubwa kuliko kuhangaikia hapa Bongo kwa gharama ndogo na yenye matokeo ya kura kwa chama chenu.

- I mean kesho Mvomero, it was great kufika Mhenge tena jana the place that was once my second home kwa sababu ndipo niliposoma Sekondari, I went there jana na kuwaahidi Shule kwa ujumla kwamba nitawakusanya watu wote maarufu waliowahi kusoma pale kusudi tuwasaidie na changamoto zao, pia niliongea sana na DC na Mkurugenzi wa Wilaya kuhusu kuwapatia gari la Shule, wameniahidi watalifanyia kazi so Mahenge angalau kidogo Chadema wapo, jamani ni muhimu sana Chadema mnapokuwepo maana mnasaidia sana kutuamsha CCM tunapolala kidogo!!

- Hapa ni bwenini Nyerere Dom na hiki ni kitanda cha deka nilicholalia Miaka 30 iliyopita nilipokuwa nasoma hapa Kwiro Sekondari, it was great to be here again ninamshukuru sana Mungu kwa kunipa nafasi ya kurudi tena hapa nikiwa mzima.

Le Mutuz

kaka usiwe biased!!!!!!!!!! Hivi upinzani ni Chadema tu CUF, NCCR,TLP,TPP,ADC,JAHAZI ASILIA and DP... vyenyewe vipi???
 
Chadema ipo mioyoni mwa watz na wanakilosa sio kwenye bendera. Na kama mpo madarakani na mnataka kila kitu mkumbushwe hakuna maana ya CCM KUENDELEA KUWEPO MADARAKANI KWANI HAMJUI WAJIBU WENU.
 
Le Mutuz wewe ni mgeni sana hapo Kilosa. Muulize Mkulo au Ameir (M/Kiti wa halmashaur) watakwambia. Chama hakitundikwi shingoni, kipo moyoni. Utaona 2014
 
- Toka Jumapili nipo katika ziara ya kikazi ya Wazazi/CCM Taifa katika Wilaya zote za Mkoa wa Morogoro, tulianza na Gairo, Ifakara, Mahenge na leo ilikuwa zamu ya Kilosa na nipo hapa sasa hivi na kesho nitakuwa Mvomero na Mzumbe University. Kilichonishitua hapa Kilosa ni kuona kwamba hakuna Chadema presence kabisa, yaani hata Madiwani wote ni wa CCM, I mean ni vigumu sana kwetu CCM kutawala bila kukumbushwa mapungufu yetu na Chadema sasa wanapokuwa hawapo kabisa mara nyingi inapelekea Viongozi wetu wa CCM kujisahau.

- Halafu inakuja hoja yangu ya msingi, Vipi Chadema kumpeleka Slaa DC Washington badala ya kumleta huku Kilosa aje ajaribu kufungua matawi? I mean Tawi la Kilosa si linaweza kuwa muhimu kwa Chadema kuliko tawi la wanachama wanne la DC Washington/USA? Chadema ni muhimu sana mkaangalia priorities zenu kwa sababu hii no moja ya changamoto kubwa inayowatesa sana ya kukimbilia kuanzisha matawi ambayo ni fruitless huko nja na kwa gharama kubwa kuliko kuhangaikia hapa Bongo kwa gharama ndogo na yenye matokeo ya kura kwa chama chenu.

- I mean kesho Mvomero, it was great kufika Mhenge tena jana the place that was once my second home kwa sababu ndipo niliposoma Sekondari, I went there jana na kuwaahidi Shule kwa ujumla kwamba nitawakusanya watu wote maarufu waliowahi kusoma pale kusudi tuwasaidie na changamoto zao, pia niliongea sana na DC na Mkurugenzi wa Wilaya kuhusu kuwapatia gari la Shule, wameniahidi watalifanyia kazi so Mahenge angalau kidogo Chadema wapo, jamani ni muhimu sana Chadema mnapokuwepo maana mnasaidia sana kutuamsha CCM tunapolala kidogo!!

- Hapa ni bwenini Nyerere Dom na hiki ni kitanda cha deka nilicholalia Miaka 30 iliyopita nilipokuwa nasoma hapa Kwiro Sekondari, it was great to be here again ninamshukuru sana Mungu kwa kunipa nafasi ya kurudi tena hapa nikiwa mzima.

Le Mutuz
Pole. Hilo gamba la kijani ulilovaa linakufanya uonekane kama jini mahaba!
 
- Waalimu hawajalipwa mishahara kwa sababu ya wizi wa waalimu wakuu wao kwa sababu wanafunzi wapo na wanalipa ada, otherwise it is not a topic here fungua topic yake hapa ninasema Kilosa hakuna Chadema, that is the point mkuu sana! ha! ha! ha!

Le Mutuz

Mkuu ni nini ambacho huelewi upo KILOSA kwa ziara ya jumuiya ya wazazi ya CCM ambayo ndio mmiliki wa hizo shule, ambazo walimu hawalipwi mishahara yao sasa unaona ni busara nyie kutumia mamilioni kuzunguka na kutuletea hoja hapa CHADEMA haipo KILOSA, kuliko kutumia hayo mamilioni kusaidia shule zilizo chini ya JUMUIYA yenu. Once again SHAME ON YOU PEOPLE.
 
- Waalimu hawajalipwa mishahara kwa sababu ya wizi wa waalimu wakuu wao kwa sababu wanafunzi wapo na wanalipa ada, otherwise it is not a topic here fungua topic yake hapa ninasema Kilosa hakuna Chadema, that is the point mkuu sana! ha! ha! ha!

Le Mutuz
Aitha sijakuelewa swali lako vizuri.Kwani kutokuwepo Kilosa ina maana huko bado usingizi wa CCM umewazidi nguvu,isipokuwa hakuna usingizi usio na mwisho wataamka tu upende usipende.
 
Bado dawa za usingizi walizopewa na CCM hazijawaisha.Punde tutawapa kidonge zinduka kinaitwa CDM
 
wewe sii wa jumuiya ya wazazi kigamboni?mbona unalazimisha wazazi Taifa kw anguvu hivyo mkuu.Tuonyeshe kwanza kama una familia na unaijali,sio kutumia mwanya wa jumuiya kupata madaraka wakati hata ada ya kusomesha mtoto huijui.Mkuu usisahau yale mambo yetu ya umiss mlimani city jmosi usikose wewe ndiye vip
 
kilosa chadema ipo kwan kuna kijana mmoja anaitwa seleman simba ndo mwenyekiti na anawasumbua sana madiwani wa ccm wa kata za kilosa mjini. cha muhimu huyu seleman simba na wenzake wapewe support ya hali ya juu ili kuimarisha chama pale kilosa.
Angalau wewe umejibu.
Siku hizi najiuliza kwanini wana jf wengi wanakimbia hoja na kuandika nje ya mada, hii ilikuwa chgamoto to, kama chama kipo ila hakina nguvu ni vizuri kujibu.
NB: pengine bajeti ya kununua oposition member haijatumia, ndo maana pro-CCM wanauliza
 
Nyie vijana wa viongozi wastaafu na waliopo madarakani kuleni nchi tu.ila 40 yenu itafika tu.lazima tuwaning'inize kichwa chini miguu juu.unapost upuuzi kutuenjoy.mzee wako katawala miaka yote kashindwa hata kupeleka maji tu mtela kamwachia huyu mwingie ndo kameza dvd na flash disk zilizojaa matusi
 
Malecela, si wanasema adui muombee njaa? Kama CHADEMA haipo Kilosa si ndiyo raha ya CCM? au ndiyo ule utaratibu wenu ili siku iende lazima chochote unachoaandika neno CHADEMA litokee?

Msamehe bure, mafuta yameingia kwenye akili. Ndiyo maana unene siyo jambo la kujivunia.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
- Toka Jumapili nipo katika ziara ya kikazi ya Wazazi/CCM Taifa katika Wilaya zote za Mkoa wa Morogoro, tulianza na Gairo, Ifakara, Mahenge na leo ilikuwa zamu ya Kilosa na nipo hapa sasa hivi na kesho nitakuwa Mvomero na Mzumbe University. Kilichonishitua hapa Kilosa ni kuona kwamba hakuna CHADEMA presence kabisa, yaani hata Madiwani wote ni wa CCM, I mean ni vigumu sana kwetu CCM kutawala bila kukumbushwa mapungufu yetu na Chadema sasa wanapokuwa hawapo kabisa mara nyingi inapelekea Viongozi wetu wa CCM kujisahau.

- Halafu inakuja hoja yangu ya msingi, Vipi CHADEMA kumpeleka Slaa DC Washington badala ya kumleta huku Kilosa aje ajaribu kufungua matawi? I mean Tawi la Kilosa si linaweza kuwa muhimu kwa Chadema kuliko tawi la wanachama wanne la DC Washington/USA? Chadema ni muhimu sana mkaangalia priorities zenu kwa sababu hii no moja ya changamoto kubwa inayowatesa sana ya kukimbilia kuanzisha matawi ambayo ni fruitless huko nja na kwa gharama kubwa kuliko kuhangaikia hapa Bongo kwa gharama ndogo na yenye matokeo ya kura kwa chama chenu.

- I mean kesho Mvomero, it was great kufika Mhenge tena jana the place that was once my second home kwa sababu ndipo niliposoma Sekondari, I went there jana na kuwaahidi Shule kwa ujumla kwamba nitawakusanya watu wote maarufu waliowahi kusoma pale kusudi tuwasaidie na changamoto zao, pia niliongea sana na DC na Mkurugenzi wa Wilaya kuhusu kuwapatia gari la Shule, wameniahidi watalifanyia kazi so Mahenge angalau kidogo CHADEMA wapo, jamani ni muhimu sana Chadema mnapokuwepo maana mnasaidia sana kutuamsha CCM tunapolala kidogo!!

- Hapa ni bwenini Nyerere Dom na hiki ni kitanda cha deka nilicholalia Miaka 30 iliyopita nilipokuwa nasoma hapa Kwiro Sekondari, it was great to be here again ninamshukuru sana Mungu kwa kunipa nafasi ya kurudi tena hapa nikiwa mzima.

Le Mutuz
Iwe umeongea kwa hila au kwa kumaanisha leo Le Mutuz,hiyo nimeikubali,lakini hili la Dr.Slaa kwenda Marekani usilichomekee hapa havihusiani kabisa,kwenda Marekani ni zaidi ya ziara ya kawaida,mbona na wewe uliwahi timkia huko kwani usingweza kuwa baharia kwenye meli za uvuvi hapa,au moja kwa moja ungeingia kwenye kilimo tokea kipindi ile badala ya kwenda ungekuwa umetoka mbaya,ume wakumbusha CDM kitu kizuri kabisa lakini baadae ukashindwa kuuasi uwezo wako mdogo wa akili ukachomekea safari ya Dr.Slaa Washington.Wakati huo TANU haipo nchi nzima JK.Nyerere aliwahi kwenda huko,hivi hulijui hilo.
 
Malecela, si wanasema adui muombee njaa? Kama CHADEMA haipo Kilosa si ndiyo raha ya CCM? au ndiyo ule utaratibu wenu ili siku iende lazima chochote unachoaandika neno CHADEMA litokee?

Mkuu siku zote magamba popote wanapokuwa ndo mameneja kampeni wa CDM, so ipo haja ya kuwapongeza hasa mkuu wao wa kitengo cha propaganda, iwe kwa uzuri au ubaya inasababisha eyebrows na kusababisha watu wafanye uchunguzi hivyo hutofautisha ngano na pumba
 
- Toka Jumapili nipo katika ziara ya kikazi ya Wazazi/CCM Taifa katika Wilaya zote za Mkoa wa Morogoro, tulianza na Gairo, Ifakara, Mahenge na leo ilikuwa zamu ya Kilosa na nipo hapa sasa hivi na kesho nitakuwa Mvomero na Mzumbe University. Kilichonishitua hapa Kilosa ni kuona kwamba hakuna CHADEMA presence kabisa, yaani hata Madiwani wote ni wa CCM, I mean ni vigumu sana kwetu CCM kutawala bila kukumbushwa mapungufu yetu na Chadema sasa wanapokuwa hawapo kabisa mara nyingi inapelekea Viongozi wetu wa CCM kujisahau.
- Halafu inakuja hoja yangu ya msingi, Vipi CHADEMA kumpeleka Slaa DC Washington badala ya kumleta huku Kilosa aje ajaribu kufungua matawi? I mean Tawi la Kilosa si linaweza kuwa muhimu kwa Chadema kuliko tawi la wanachama wanne la DC Washington/USA? Chadema ni muhimu sana mkaangalia priorities zenu kwa sababu hii no moja ya changamoto kubwa inayowatesa sana ya kukimbilia kuanzisha matawi ambayo ni fruitless huko nja na kwa gharama kubwa kuliko kuhangaikia hapa Bongo kwa gharama ndogo na yenye matokeo ya kura kwa chama chenu.

- I mean kesho Mvomero, it was great kufika Mhenge tena jana the place that was once my second home kwa sababu ndipo niliposoma Sekondari, I went there jana na kuwaahidi Shule kwa ujumla kwamba nitawakusanya watu wote maarufu waliowahi kusoma pale kusudi tuwasaidie na changamoto zao, pia niliongea sana na DC na Mkurugenzi wa Wilaya kuhusu kuwapatia gari la Shule, wameniahidi watalifanyia kazi so Mahenge angalau kidogo CHADEMA wapo, jamani ni muhimu sana Chadema mnapokuwepo maana mnasaidia sana kutuamsha CCM tunapolala kidogo!!

- Hapa ni bwenini Nyerere Dom na hiki ni kitanda cha deka nilicholalia Miaka 30 iliyopita nilipokuwa nasoma hapa Kwiro Sekondari, it was great to be here again ninamshukuru sana Mungu kwa kunipa nafasi ya kurudi tena hapa nikiwa mzima.

Le Mutuz
toobah hivyo na wewe ni mzazi?
 
Back
Top Bottom