Chadema kulikoni? Utitiri wa Vyeo (Mpango madhubuti wa kulindana huku mkibomoa chama)

Status
Not open for further replies.
Hata Mwenyewe Kimoyomoyo Unamkibali Padre Slaa. Asante sana Dr. Padre Slaa kwa Kupanua wigo wa Utumishi wako. Hapo kabla Ulikuwa Mchunga Kondoo wa Wakristo lakini leo hii Mamilioni ya Watanzania Akiwemo Topical wanakutegemea. Long Live Dr. Padre Slaa

Bado anawatumikia wakristo mkuu..chadema = kanisa =christian democratic party..ok
 
Molemo,
Endelea kutetea kiti chako,maana naona mangi umesha ula Million 19 zimeshaisha?maana juzi naona A.K amaleta million 251.Na tunaweza leta check no. hapa na muda alio droo pesa ile.
wewe ni Mkurugenzi wa Halmashauri na Bunge wa chadema Taifa,Imekuwaje umepata cheo hicho?
wakati hujawahi hata kuwa mtendaji wa kiji,kitongoji,mtaa na hata udiwani hujawahi uona,ubunge umeishia kupumulia visogo vya ccm na tlp.
Vipi mangi hujafungua Duka huko arumeru amaunarudisha pesa zako ulizotoka kuolea mwanamke ile juzi mwakajana mwishoni.
Vipi Nilona Riz one umempa maiki aseme neno lolote pale ukumbini,umeshafanikisha kuuza jimbo la Arumeru kama ulivyofanya mbeya vijini?(john mrema).

Naona Mbowe kakutuma uje kumtetea,lakini sisi tunajua kuwa unapata pa vijicent vya kulelea ndoa yako.
Rudi tena hapa...tunyooshane
 
Ha ha ha Angekuwa anatumika Wakristo tungepata japo kura 200 za Waislam Uzini?

Kura 200 kila aliyepiga kura kapewa @ 200,000/- siyo haba ili kuendelea kudanganya umma..

Vipi uhusiano wenu na christian development party..ujeruman..mnategemea kubatiza Tanzania..lol
 
Albedo,
Kama umechoka ni bora uupotee hapa, au kamwite Dr.slaa aje ajibu hoja hapa
Umetumwa kuvuruga hoja hapa kwa kuleta mambo ya CUF,Umesihiwa yakuwa tetea ndugu zako?
Acha kuwamzembe kiasi hicho,hivi hujui inatutupashida kugundua jinsia yako?
Hoja haujibu unakimbilia mambo ya cuf hapa,cuf wana thread yao kule na hapa sio pemba.
Hapa sio pa ccm,hapa ni kona kwa kona juu ya Chadema na watawala wake.
 
Kura 200 kila aliyepiga kura kapewa @ 200,000/- siyo haba ili kuendelea kudanganya umma..

Vipi uhusiano wenu na christian development party..ujeruman..mnategemea kubatiza Tanzania..lol

Topical achana na hawa,wanampango wa kuvuruga hoja hapa.
Naomba molemo ,Albedo na Mshika chuma mjibu hoja hapa sio cuf mara ccm...kama hamna jipya go to hell.
Ufisadi wa Dr.slaa upo wazi sana na tunaujua ndani ya chama tunauandaliaa documment yake.
 
a. Mnyika ana uroho wa madaraka na hii ni hatari huwezi kusema no please..unajua vyao hadi 10 lol..

b. Mnyika ameziba nafasi 7 muhimu za vijana wengine kuonyesha uwezo wao...na ajira pia..

c. Mnyika either ana uwezo sana au ni kwamba ni yes man..vyeo zaidi ya 10?

conclusion: Nimesahau kumbe tunaongelea chagga development manifesto..lol
1. Mnyika mchaga?
2.Zitto Mchaga?
3.Slaa mchaga?
4.Wenje Mchaaga?
5.Halima ni Mchaga
MAGAMBA HAMUWEZI KUTUCHONGANISHA KWA UKABILA NA UDINI ILI MBAKI MADARAKANI! KILA MTAKAPOPANDIKIZA UDINI NA UKABILA LAANA YA MUNGU INAWASHUKIA NDIO MAANA MMEKOSA KUTATUA MAMBO YA MSINGI MMEBAKI KUTANDIKA RAIA WEMA RISASI ZA MOTO! MLAANIWE MLAANIWE MLAANIWE!!!!!!!!!!!!!!
 
nchi inauzwa, mali zinaliwa na wachache na wengine wamekalia majungu inaonekana topic ni John Mnyika kwani kwenye orodha ya mwandishi wa thread ameweka mpaka watu wenye cheo kimoja na Mnyika mwenyewe kapewa vyeo visivyo vyake kama Naibu katibu mkuu, na pia vyeo vingine havina uhusiano na CDM, nakuomba sahihisha kwa kuweka vyeo vinavyohusiana na CDM ili hoja ieleweke zaidi.

wewe unaonekana unajua vizuri vyeo vya mnyk ,kimsingi ni vingi means more than 4 wakati kuna vijana wengi hawana hataj k1
 
Topical achana na hawa,wanampango wa kuvuruga hoja hapa.
Naomba molemo ,Albedo na Mshika chuma mjibu hoja hapa sio cuf mara ccm...kama hamna jipya go to hell.
Ufisadi wa Dr.slaa upo wazi sana na tunaujua ndani ya chama tunauandaliaa documment yake.

Mkuu Tuntemeke Kubali kataa Nyota ya Mnyika, Zitto zinang'aa sana Unachofanya hapa Tanga na Sumbawanga wanasema "Unajaribu Kusafiria Nyota za Jamaa".

Mi Nakushauri Kuliko kupigania Kuia CDM ili Tikose wote ni Vyema Muangalie nini Kilichofanya Chama Chenu cha KAFU KIFE
 
Magamba bana!hawana hata haya,baada ya kutafakari kwa kina na kutambua kuwa sera zao za UDINI na UKABILA hazina nafasi katika uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki basi wameamua kumtuma kinara wao wa UZUSHI aje kuumwaga humu.

Kijana kawaambie ndugu zako hao kuwa SISI VIJANA WAZALENDO TUMEAMUA KUJITOLEA KUFA NA KUPONA KWA AJILI YA NCHI YETU YA TANZANIA HIVYO PROPAGANDA ZENU CHAFU HAZINA NAFASI NDANI YA CHAMA CHETU.
Kama mleta mada si mnafiki kwa nini aanike chupi yake chafu mbele ya kadamnasi?
HATUDANGANYIKI!!!

Afadhali Zitto amechangia hii mada na kukupinga maana mimi nilidhani yeye ndo analeta huuu *****
 
1. Mnyika mchaga?
2.Zitto Mchaga?
3.Slaa mchaga?
4.Wenje Mchaaga?
5.Halima ni Mchaga
MAGAMBA HAMUWEZI KUTUCHONGANISHA KWA UKABILA NA UDINI ILI MBAKI MADARAKANI! KILA MTAKAPOPANDIKIZA UDINI NA UKABILA LAANA YA MUNGU INAWASHUKIA NDIO MAANA MMEKOSA KUTATUA MAMBO YA MSINGI MMEBAKI KUTANDIKA RAIA WEMA RISASI ZA MOTO! MLAANIWE MLAANIWE MLAANIWE!!!!!!!!!!!!!!

Wasikilize vijana wenu siyo kila kitu mnyika vyeo 10 mtu mmoja agh! anapendwa zaidi kwanini? ndio maana nikasema ni etiher
a. Ana akili sana b. ni yes man au c. ni fisadi wanaficha mambo ya wakubwa wao
 
Mkuu Tuntemeke Kubali kataa Nyota ya Mnyika, Zitto zinang'aa sana Unachofanya hapa Tanga na Sumbawanga wanasema "Unajaribu Kusafiria Nyota za Jamaa".

Mi Nakushauri Kuliko kupigania Kuia CDM ili Tikose wote ni Vyema Muangalie nini Kilichofanya Chama Chenu cha KAFU KIFE

Vyeo 10 mtu moja; kweli anang'aa aisee!
 
Molemo,
Endelea kutetea kiti chako,maana naona mangi umesha ula Million 19 zimeshaisha?maana juzi naona A.K amaleta million 251.Na tunaweza leta check no. hapa na muda alio droo pesa ile.
wewe ni Mkurugenzi wa Halmashauri na Bunge wa chadema Taifa,Imekuwaje umepata cheo hicho?
wakati hujawahi hata kuwa mtendaji wa kiji,kitongoji,mtaa na hata udiwani hujawahi uona,ubunge umeishia kupumulia visogo vya ccm na tlp.
Vipi mangi hujafungua Duka huko arumeru amaunarudisha pesa zako ulizotoka kuolea mwanamke ile juzi mwakajana mwishoni.
Vipi Nilona Riz one umempa maiki aseme neno lolote pale ukumbini,umeshafanikisha kuuza jimbo la Arumeru kama ulivyofanya mbeya vijini?(john mrema).

Naona Mbowe kakutuma uje kumtetea,lakini sisi tunajua kuwa unapata pa vijicent vya kulelea ndoa yako.
Rudi tena hapa...tunyooshane
Tuntemeke kaka angu! acha wivu wa kike....kama umesoma na kuelimika ningekuomba utafute kazi ya kufanya, hasa kazi
uliyoisomea kuliko upuuzi huu unaoufanya hapa! yaani ulitegemea au bado unategemea siasa ikutoe kimaisha? Achana na
fikra hizo ndugu yangu....si unaona sasa unavyojionesha kuwa wewe ni bonge la mswahili na una wivu wa kike? Mkuu acha kutegemea siasa,tafuta kazi,uipende kazi na hiyo kazi itakutoa kimaisha....siasa fanya kama part time tu na si vinginevyo.
Binafsi mie mwenzio ni kijana,umri wangu siko chini ya miaka 30 na sijafikisha miaka 35....huwezi amini nina ofisi yangu na
nina mastaff kama 9 hivi tena wengine ni watu wazima kabisa na wananitegemea mimi! Japo sometime silali usingizi kwa
presure za mikopo ya bank,lakini siku zinakwenda na ofisi yangu inazidi kuwa kubwa ndani ya bongo. Naipenda ofisi yangu,naipenda kazi yangu na ninawapenda mastaff wangu....ila pia imetokea tu kuwa mimi ni mshabiki wa Chadema,lakini oneday nitakwenda pale K/ndoni kuchukua kadi ya uwanachama. So fanyakazi mkuu na uache majungu.
 
Pole sana Tuntemeke najua unasema ukweli ndiyo maana unashambuliwa na watu wenye mawazo mgando endelea kusema ukweli naamini siku moja ukweli wako utakumbukwa, unajua hapa jamvini kuna watu wanapenda kukurupuka kuchangia maada bila kuelewa kinachozungumzwa hao ni mashabiki tu wa kutetea jambo lolote ata kama lina ubovu,usikate tamaa wewe pambana mpaka kitaeleweka ila katika harakati zako kuwa makini si unajua hivi ni vyama vya watu fulani kwa masilahi ya watu fulani usipokuwa makini watakufanya kama Chacha Wangwe!
 
Magamba bana!hawana hata haya,baada ya kutafakari kwa kina na kutambua kuwa sera zao za UDINI na UKABILA hazina nafasi katika uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki basi wameamua kumtuma kinara wao wa UZUSHI aje kuumwaga humu.

Kijana kawaambie ndugu zako hao kuwa SISI VIJANA WAZALENDO TUMEAMUA KUJITOLEA KUFA NA KUPONA KWA AJILI YA NCHI YETU YA TANZANIA HIVYO PROPAGANDA ZENU CHAFU HAZINA NAFASI NDANI YA CHAMA CHETU.
Kama mleta mada si mnafiki kwa nini aanike chupi yake chafu mbele ya kadamnasi?
HATUDANGANYIKI!!!

Afadhali Zitto amechangia hii mada na kukupinga maana mimi nilidhani yeye ndo analeta huuu *****

Ngoma usio ijua,huwezi kuicheza.Utashia hivyo hivyo kuja hapa na kushangilia
 
Tuntemeke kaka angu! acha wivu wa kike....kama umesoma na kuelimika ningekuomba utafute kazi ya kufanya, hasa kazi
uliyoisomea kuliko upuuzi huu unaoufanya hapa! yaani ulitegemea au bado unategemea siasa ikutoe kimaisha? Achana na
fikra hizo ndugu yangu....si unaona sasa unavyojionesha kuwa wewe ni bonge la mswahili na una wivu wa kike? Mkuu acha kutegemea siasa,tafuta kazi,uipende kazi na hiyo kazi itakutoa kimaisha....siasa fanya kama part time tu na si vinginevyo.
Binafsi mie mwenzio ni kijana,umri wangu siko chini ya miaka 30 na sijafikisha miaka 35....huwezi amini nina ofisi yangu na
nina mastaff kama 9 hivi tena wengine ni watu wazima kabisa na wananitegemea mimi! Japo sometime silali usingizi kwa
presure za mikopo ya bank,lakini siku zinakwenda na ofisi yangu inazidi kuwa kubwa ndani ya bongo. Naipenda ofisi yangu,naipenda kazi yangu na ninawapenda mastaff wangu....ila pia imetokea tu kuwa mimi ni mshabiki wa Chadema,lakini oneday nitakwenda pale K/ndoni kuchukua kadi ya uwanachama. So fanyakazi mkuu na uache majungu.

Acha kutukana humu unaposema wivu wa kike ni matusi ujue kila mtu ana malengo katika maisha yake Tuntemeke anaonekana anapenda kufanya kazi za kisiasa ndoto zake zipo huko huwezi kumlazimisha awe mjasiriamali kama wewe muache apambane mpaka ndoto zake zitakapotimia,wewe unaonekana unatumika na mababu wa chama ili kumkatisha tamaa mwenzio!
 
mbona sisi wengine hatuna cheo chochote zaidi ya kuwa waziri wa mambo ya ndani wa familia yako na maisha yanaenda tu? tuchape kazi jamani siyo kung'ang'ania vyeo. sasa kila mtu akiwa na cheo nani ataongozwa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom