CHADEMA, Kulikoni Jengo la Ghorofa Lililoporomoka?

Ni kweli janga limetupata kama taifa na watu wengi kuguswa ama na maafa au kujeruhiwa katika jengo lililoanguka hapa jijini Dar hivi majuzi lakini katu sikubaliani na wewe kwamba sasa tukio la kusikitisha kama hilo sasa TUKALIGEUZE KUWA SEHEMU YA MAONYESHO YA ULIMBWENDE WA KISIASA kiasi kwamba ushiriki wa chama chochote cha siasa ni sharti ipate kumulikwa na ving'amuzi vya vituo vya televisheni, radio au magazeti nchini; laa hasha!!!!!!!

Isitoshe, siku zote CHADEMA hakina hiyo tabia ya kutumia ama misiba au majanga ya taifa kuwa ni uwanja wake rasmi wa kutafuta kujinadi ki-siasa. Na kama kuna chama chochote kingine chenye hulka kutumia majonzi ya umma kuwa ni shughuli rasmi pa kujinadi kisiasa basi ni bore ukawafahamishe kwamba kamwe wasisubiri kuja kutangaziwa kule kufilisika kwao mbele ya uso wa jamii yetu hii.

Watanzania tunashangaa chama ambacho kinajitangaza kuwa kina kusudio la kuingia magogoni mwaka 2015 hadi leo hawajatia mguu katika tukio la kuanguka ghorofa 17.

Haijulikani kwa nini Dr. Slaa na Mheshimiwa Mbowe ambaye ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni hawajaonekana katika eneo la tukio ama kutoa kauli kuhusiana na tukio husika.

Watz tunazidi kujiuliza hawa CHADEMA wana nia njema na wananchi ama nia yao ni kuingia IKULU tu! Tafadhali wafuasi wa CHADEMA mliopo JF chukueni hatua kwa kutoa ushauri kwa viongozi wenu waandamizi kuwa wabadilike ili wawe serious latika matukio ya kitaifa.
 
Mbona kwa Daudi Mwangosi hata salamu tu hakutoa huyu dhaifu wenu? Huyu ni janga la taifa mnaruhusu majengo viwango duni sababu ya ufisadi halafu mnajidai kutoa rambirambi? CCM ni janga la taifa umaarufu wa kijinga unawaumiza Watanzania wasio na hatia
 
Kuporomoka kwa magorofa ni matokea ya serikali ya CCM kutokuwa makini. Watendaji wake wamekalia ufisadi ndiyo maana hawakagui magorofa. CHADEMA SIYO KITENGO CHA MAHAFA
 
Ma engineer wa kuunga unga, hawasa sifa wanaomba kazi kwenye mfumo wa chama cha mafisadi unategemea nini? Jk kaja kwenye tukio je tatizo limeisha? ndio maana tunasema ccm inasababisha majanga kwa lazima.
 
Dr Jakaya yupo pamoja kwenye raha na dhiki: tangia eneo la tukio, MOI na sewahaji kaonekana

Sisi tunataka kuona serikali inaiwajibisha vipi mamlaka husika juu ya tukio hili, ndilo jambo la msingi, msianze kuleta hoja zisizo na umuhimu hapa.
 
Watanzania tunashangaa chama ambacho kinajitangaza kuwa kina kusudio la kuingia magogoni mwaka 2015 hadi leo hawajatia mguu katika tukio la kuanguka ghorofa 17. Haijulikani kwa nini Dr. Slaa na Mheshimiwa Mbowe ambaye ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni hawajaonekana katika eneo la tukio ama kutoa kauli kuhusiana na tukio husika. Watz tunazidi kujiuliza hawa CHADEMA wana nia njema na wananchi ama nia yao ni kuingia IKULU tu! Tafadhali wafuasi wa CHADEMA mliopo JF chukueni hatua kwa kutoa ushauri kwa viongozi wenu waandamizi kuwa wabadilike ili wawe serious latika matukio ya kitaifa.
Alienda Jk imesaidia nini mbona mpka sasa watu 41 wameshakufa.au unazani pale ni pa kuuza sura na kutafuta cheap popularity
 
Watanzania tunashangaa chama ambacho kinajitangaza kuwa kina kusudio la kuingia magogoni mwaka 2015 hadi leo hawajatia mguu katika tukio la kuanguka ghorofa 17. Haijulikani kwa nini Dr. Slaa na Mheshimiwa Mbowe ambaye ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni hawajaonekana katika eneo la tukio ama kutoa kauli kuhusiana na tukio husika. Watz tunazidi kujiuliza hawa CHADEMA wana nia njema na wananchi ama nia yao ni kuingia IKULU tu! Tafadhali wafuasi wa CHADEMA mliopo JF chukueni hatua kwa kutoa ushauri kwa viongozi wenu waandamizi kuwa wabadilike ili wawe serious latika matukio ya kitaifa.

Si muuaji ni kada wa MAGAMBA? Mnaua halafu mtafute watu wamisaidie kutoa POLE!!!! Si kwenu kutoa rambirambi ni mtaji wa ushindi, eti!!!!??
 
Watanzania tunashangaa chama ambacho kinajitangaza kuwa kina kusudio la kuingia magogoni mwaka 2015 hadi leo hawajatia mguu katika tukio la kuanguka ghorofa 17. Haijulikani kwa nini Dr. Slaa na Mheshimiwa Mbowe ambaye ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni hawajaonekana katika eneo la tukio ama kutoa kauli kuhusiana na tukio husika. Watz tunazidi kujiuliza hawa CHADEMA wana nia njema na wananchi ama nia yao ni kuingia IKULU tu! Tafadhali wafuasi wa CHADEMA mliopo JF chukueni hatua kwa kutoa ushauri kwa viongozi wenu waandamizi kuwa wabadilike ili wawe serious latika matukio ya kitaifa.

​Waende ili mpate ya kusema........wanatafuta cheap popularity!
 
acha umbwiga,wakija lazima waripoti kwako? fikiria kama hujaandika mavi hapa
 
chizi kweli swali gani hili? wakija waripoti kwako? acha ubwege
 
hivi aliyeposti uzi huu anashangaza sana? hivi lile tukio lilikuwa lakuchukulia umaarufu kwa CCM au la kupunguza umaarufu wa CCM? MAKANDARASI aliyejenga ghorofa lile ni diwani wa CCM, Alitakiwa ajenge ghorofa 9 yeye akajenga ghorofa 16, uongozi wenyewe wa CCM ni wakutoa matamko tuu. usifikiri kila propaganda inayoletwa inafanikiwa ili propaganda ifanikiwe inatakiwa ipangiliwe na ibuniwe vizuri ikitarget karibu na uhalisia, utoaji holela wa propaganda ndani ya CCM ndiyo unaofanya wasiaminike kwa lolote
 
Watanzania tunashangaa chama ambacho kinajitangaza kuwa kina kusudio la kuingia magogoni mwaka 2015 hadi leo hawajatia mguu katika tukio la kuanguka ghorofa 17. Haijulikani kwa nini Dr. Slaa na Mheshimiwa Mbowe ambaye ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni hawajaonekana katika eneo la tukio ama kutoa kauli kuhusiana na tukio husika. Watz tunazidi kujiuliza hawa CHADEMA wana nia njema na wananchi ama nia yao ni kuingia IKULU tu! Tafadhali wafuasi wa CHADEMA mliopo JF chukueni hatua kwa kutoa ushauri kwa viongozi wenu waandamizi kuwa wabadilike ili wawe serious latika matukio ya kitaifa.

Ujinga mfanye nyie na serikali yenu kuuwa watanzania wasio na hatia lawama mzitupe kwa Mbowe na Slaa, kweli nyie ni punguwani kabisa. Huyo diwani wa chama chenu aliyekandarasi hilo jengo alifanya makusudi liporomoke ili Mbowe na Slaa wasipokuja mpate cha kuongea, ndo maana yule mwenzenu alisema huwa mnafikiria kwa kutumia makalio, mie nilifikiri anatania lakini kwa haya mnayoendelea nayo napelekea kuiamini kauli yake.
 
Tafadhali fuateni mfano wa NCCR Mageuzi na CUF mabao wameonekana eno la tukio

Walipoonekana eneo la tukio roho ngapi za watanzania wasio na hatia waliofukiwa na kifusi zimepona? tumeshawazoea nyie kujionesha na kujichekesha mbele ya ving'amuzi ndo jadi yenu. Mnatafuta umaarufu rahisi kwa kutegemea roho za watu wasio na hatia. Mmefilisika kweli kihekima.
 
Mbowe kasema kutoa rambirambi kwa wafiwa wa ajali hiyo SIO MUHIMU!!!

We unafikiri mkitoa hizo rambirambi ndio roho za hao waliokufa zitarejea?? kwahiyo mmeporomosha hilo ghorofa ili mkitoa rambirambi mpigwe mipicha mje muitumie kwenye kampeni zenu na propaganda zenu za kitoto?? Cheap popularity
 
Watanzania tunashangaa chama ambacho kinajitangaza kuwa kina kusudio la kuingia magogoni mwaka 2015 hadi leo hawajatia mguu katika tukio la kuanguka ghorofa 17. Haijulikani kwa nini Dr. Slaa na Mheshimiwa Mbowe ambaye ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni hawajaonekana katika eneo la tukio ama kutoa kauli kuhusiana na tukio husika. Watz tunazidi kujiuliza hawa CHADEMA wana nia njema na wananchi ama nia yao ni kuingia IKULU tu! Tafadhali wafuasi wa CHADEMA mliopo JF chukueni hatua kwa kutoa ushauri kwa viongozi wenu waandamizi kuwa wabadilike ili wawe serious latika matukio ya kitaifa.

Mnatengeneza mabalaaa, ili mkusanye wapinzani? Kwani hili ni jingo la kwanza kuanguka Dar? JK na serikali yake walijifunza nini na wanafanya nini kuzuia balaa hizi? CDM wapo busy na mikakati ya kuokoa nchi
 
Kwani cdm ni rescue?
Mbona Mnyika alikuwepo au unataka tuchukue waandishi habar?
 
Back
Top Bottom