CHADEMA, Kulikoni Jengo la Ghorofa Lililoporomoka?

CHADEMA, Kulikoni Jengo la Ghorofa Lililoporomoka?

Tumemwachia James Mbatia atuwakilishe.
 
Tafadhali fuateni mfano wa NCCR Mageuzi na CUF mabao wameonekana eno la tukio

wasiliana na wanaokusanya kodi nakutoa vibali vya ujenzi!...umesahau chama na serikali sikivu wanavyoishi kwa anasa wakati kitengo cha maafa kikiwa hoi? kama mmeshindwa kuongoza nchi si mseme?
 
ingekuwa busara sana kama tungekuwa na viongozi Wazalendo na wawajibikaji haya yote yasingetokea.Kutoa pole haitasaidia kitu wakati tuunasubiri majanga mengine kama haya kutoka muda wowote,kwa nn wasizuie(inafika mahala naamini kauli niliyowahi kuisikia kuwa Mkulu ni dhaifu).
 
Bushman anaweweseka na propaganda za Mbowe na Dr. Slaa; sie wenzio huku mkoani Njombe tumeshituka hicho chama cha wachaga tumeachana nacho
 
Watanzania tunashangaa chama ambacho kinajitangaza kuwa kina kusudio la kuingia magogoni mwaka 2015 hadi leo hawajatia mguu katika tukio la kuanguka ghorofa 17. Haijulikani kwa nini Dr. Slaa na Mheshimiwa Mbowe ambaye ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni hawajaonekana katika eneo la tukio ama kutoa kauli kuhusiana na tukio husika. Watz tunazidi kujiuliza hawa CHADEMA wana nia njema na wananchi ama nia yao ni kuingia IKULU tu! Tafadhali wafuasi wa CHADEMA mliopo JF chukueni hatua kwa kutoa ushauri kwa viongozi wenu waandamizi kuwa wabadilike ili wawe serious latika matukio ya kitaifa.

Badala ya kufika kuokoa nyie mnataka kufika na kupiga picha....muwekwe kwenye blogs na ku-capture media mbali mbali.....!
Waacheni "resque team" wafanye kazi....kama ni tamko Mbowe alishatoa zamani sana labda kama sio mfuatiliaji....
 
Watanzania tunashangaa chama ambacho kinajitangaza kuwa kina kusudio la kuingia magogoni mwaka 2015 hadi leo hawajatia mguu katika tukio la kuanguka ghorofa 17. Haijulikani kwa nini Dr. Slaa na Mheshimiwa Mbowe ambaye ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni hawajaonekana katika eneo la tukio ama kutoa kauli kuhusiana na tukio husika. Watz tunazidi kujiuliza hawa CHADEMA wana nia njema na wananchi ama nia yao ni kuingia IKULU tu! Tafadhali wafuasi wa CHADEMA mliopo JF chukueni hatua kwa kutoa ushauri kwa viongozi wenu waandamizi kuwa wabadilike ili wawe serious latika matukio ya kitaifa.

Nani mwenye dola? Ulitaka wafanye kama Mbatia?
 
Mbowe kasema kutoa rambirambi kwa wafiwa wa ajali hiyo SIO MUHIMU!!!

Am not sure kama alitumia maneno uliyoyaweka hapa ila ninaamini Maafa yatufikayo mengi ni ya kujitakia,yanasababishwa na uzembe,udhaifu wa serikali ya ccm katika mfumo wake wa utawala kunako nyanja nyingi.,TUMEKUWA TAIFA LA MAJANGA NA BADO HATUJIFUNZI.Nilitegemea watu makini leo kujadili REASQUE TEAM yetu iwapi???Ipo??Na kama ipo shida ni nini?TUMEONA PALE HATUNA TIMU WALA VIFAA PAMOJA NA OFISI YA WAZIRI MKUU KUWA NA KITENGO CHA MAAFA NA KUPATA FUNGU. Ni kwa nini uzembe ktk ujenzi wajirudia?ZAIDI HUYO SIJUI WAZIRI WENU STAR WA UJENZI ANGETAKIWA AWE AMESHAACHIA NGAZI KITAMBO.,La sivyo tutatoa rambirambi kila siku huku watu wanaendelea kuangamia kwa uzembe wa usimamizi wa kazi zetu na hayo ni mazoea mabaya.RAMBIRAMBI INARUDISHA UHAI???Ni tegemeo langu kama nitawasikia viongozi wa juu wa juu chadema wakilizungumzia jambo hili nisikie tamko la KUMTAKA WAZIRI WA UJENZI NA MTIRIRIKO STAHIL WAJIUZULU MARA MOJA!!!
 
Chadema wanaangalia tukio kama litawapa populality ndio waende. Hawana uzalendo kama wanavyojitangaza.
 
Naamini tungekuwa na kiongozi mzalendo kama Mwalimu Nyerere, Sokoine.. wangefika na kusaidia na si kufika na kushangaa shangaa na mara mbio unakimbia..
Hapo ndo viongozi wetu walipotufikisha..
 
vipi hamjapata mkanda wa video viongozi wa chadema wakipanga mpango wa kuangusha hilo ghorofa.?
teh teh teh
povu linawatoka!
safari hii watasema kuwa wana mkanda wa viongozi wa chadema wakipanga kuzuia mvua isinyeshe..
teh teh teh
povu linawatoka..
2015 ileeeeeeeeee
 
Kila kitu mnaingiza siasa tu watoto wa mafisadi, wekeni kitabu cha wageni basi hapo ili wakifika viongozi wa CDM waandike majina yao!!!!!!
 
Waache wafu wawazike wafu wao!Hasa kwa wakazi wa DSM ambao wengi wako kinyume na mabadiliko na wanaisupport CCM kwa % kubwa
Ilo janga lilitengenezwa na kusukwa kiustadi na viongozi wa jiji kwa kuruhusu ufisadi wa kujenga ghorofa 16 kwa kibali cha ghorofa 10.
Hao viongozi wengine wamewakilisha viongozi wenzao yatosha
 
Magamba acheni hoja za kipuuzi,hivi kufika au kutofika kwa viongozi wa chadema kungeongeza au kupunguza kitu gani?Upuuzi wa serikali ya magamba ndio umetufikisha hapa na kushuhudia watu wakipoteza maisha ambapo kama kungekuwa na umakini wa utendaji tusingefika hapa halafu leo wapuuzi wengine wanazungumzia habari ya chadema kufika eneo la tukio,kweli hizi akili ni za kimagambamagamba,ebu acheni upuuzi wenu.
 
Ni kawaida yenu. Mnaua halafu mnakimbilia kuhani, mkiongozwa na mwenyekiti wenu

kweli kaka, kwanza walitakiwa watueleze posho za kukaa kitako walizokula baada ya kuunda Tume kipindi kile ghorofa lilipoanguka pale Chang'ombe na walizunguka jiji zima kukagua maghorofa watupe taarifa ya utekelezaji. waache kupiga kelele kama chiriku

pia ni watu wa ajabu ndugu zetu wanakufa halafu wao wanataka kauli, hv watatudharau hadi ln hawa mafisadi, subirini mwisho wenu hauko mbali, tunaewaambia hata mdudu ndani ya nyumba zao anaweza asibaki
 
Back
Top Bottom