""Bila ya kujali masharti ya ibara ya 46 ya Katiba hii,
Bunge linaweza kupitisha azimio la kumuondoa Rais madarakani
endapo itatolewa hoja ya kumshtaki Rais na ikapitishwa kwa
mujibu wa masharti ya ibara hii.
(2) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya ibara hii, hoja
yoyote ya kumshtaki Rais haitatolewa isipokuwa tu kama
inadaiwa kwamba Rais-
Sheria ya …. (a) ametenda vitendo ambavyo kwa jumla vinaivunja
Katiba au Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma;
(b) ametenda vitendo ambavyo vinakiuka maadili
yanayohusu uandikishwaji wa vyama vya siasa
yaliyotajwa katika ibara ya 20(2) ya Katiba, au
(c) amekuwa na mwenendo unaodhalilisha kiti cha Rais
CUF ,TLP,NCCR-MAGEUZI,UDP na CCM watalipinga kwa nguvu zote!

CHADEMA IMEPANIA KUTUMIA IBARA YA 46 YA KATIBA YA JAMHURI KUMUONDOA JK MADARAKANI IBARA HII INASEMA
""Bila ya kujali masharti ya ibara ya 46 ya Katiba hii,
Bunge linaweza kupitisha azimio la kumuondoa Rais madarakani
endapo itatolewa hoja ya kumshtaki Rais na ikapitishwa kwa
mujibu wa masharti ya ibara hii.
(2) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya ibara hii, hoja
yoyote ya kumshtaki Rais haitatolewa isipokuwa tu kama
inadaiwa kwamba Rais-
Sheria ya …. (a) ametenda vitendo ambavyo kwa jumla vinaivunja
Katiba au Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma;
(b) ametenda vitendo ambavyo vinakiuka maadili
yanayohusu uandikishwaji wa vyama vya siasa
yaliyotajwa katika ibara ya 20(2) ya Katiba, au
(c) amekuwa na mwenendo unaodhalilisha kiti cha Rais
wa Jamhuri ya Muungano""jAMAA HAFAI KWANZA AMEVUNJA SHERIA KATIKA KUINGIA MADARAKANI NA PILI ANAKIDHLILISHA KITI CHA URAISI SASA HUU NI WAKATI WA UPINZANI WA KWELI NA BINAFSI NAWAUNGA MKONO CHADEMA ENDELEENI MBELE HUYU MKWERE HATUMTAKI.
Maalimu ndicho alichokuwa anakitaka na si upinzani wa dhati,nawaonea huruma watu ambao ndugu zao wamepoteza maisha kwa ajili ya kutetea CUF huko Zanzibar na wengine waliopata vilema vya maisha,Seifu kawatupa yeye anaishi kwa raha mustarehe,hizi ndio siasa za waswahiliKinacho niuzi ni jinsi CUF walivyodanganyika, embu angali Seif kadanganywa na u makamu wa rais huu ni uchu wa madaraka na sio upinzani sas yeye ni mtumishi wa serikali ya CCM lazima aitete serikali na sio wananchi sasa maanake nini? Asinge kubali angebakia kwenye upinzani wana wabunge wa kutosha Zanzibar upinzani halisi ungeanzia bungeni. Sasa hivi yupo kwenye magari ya serikali tuangalie kama atawaona wana CUF au ndio kesha jiunga na CCM kinyemela
Maalimu ndicho alichokuwa anakitaka na si upinzani wa dhati,nawaonea huruma watu ambao ndugu zao wamepoteza maisha kwa ajili ya kutetea CUF huko Zanzibar na wengine waliopata vilema vya maisha,Seifu kawatupa yeye anaishi kwa raha mustarehe,hizi ndio siasa za waswahili
Angalia seif anavyokula kwa raha zake. CUF kwisha kazi. Nawashauri CUF watafute viongozi wengine ambao ni wapinzani wa kweli. Seif na wenzake wamewauza wanapigania haki wa CUF. Eti CUF ni chama cha upinzani. Hakuna kitu kama hicho tena. Exhibit hii hapa
Kinacho niuzi ni jinsi CUF walivyodanganyika, embu angali Seif kadanganywa na u makamu wa rais huu ni uchu wa madaraka na sio upinzani sas yeye ni mtumishi wa serikali ya CCM lazima aitete serikali na sio wananchi sasa maanake nini? Asinge kubali angebakia kwenye upinzani wana wabunge wa kutosha Zanzibar upinzani halisi ungeanzia bungeni. Sasa hivi yupo kwenye magari ya serikali tuangalie kama atawaona wana CUF au ndio kesha jiunga na CCM kinyemela
utapata burevidonda vwatumbo kwakiraunachofikiri kuwakiwezekane pabayaunapotakakugusa unajuwa? ataikiruhusiwakwakura ccm wakowangapi?mjengonCHADEMA IMEPANIA KUTUMIA IBARA YA 46 YA KATIBA YA JAMHURI KUMUONDOA JK MADARAKANI IBARA HII INASEMA
""Bila ya kujali masharti ya ibara ya 46 ya Katiba hii,
Bunge linaweza kupitisha azimio la kumuondoa Rais madarakani
endapo itatolewa hoja ya kumshtaki Rais na ikapitishwa kwa
mujibu wa masharti ya ibara hii.
(2) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya ibara hii, hoja
yoyote ya kumshtaki Rais haitatolewa isipokuwa tu kama
inadaiwa kwamba Rais-
Sheria ya . (a) ametenda vitendo ambavyo kwa jumla vinaivunja