CHADEMA kukutana Mlimani City ni matumizi mabaya ya Ruzuku ambazo ni kodi za watanzania ina maana hawana Ofisi mpaka wafanyie kikao Mlimani City?!!

Tupo concerned na mambo ya Chadema kwasababu ni chama cha siasa na ipo (Ila sina uhakika) siku inaweza kuchukua dola. Hofu yetu, mambo ya ovyo wanayofanya chamani wanaweza yafanya serikalini! Unless Mshana Jr ututhibitishie kuwa Chadema haitaingia madarakani hivyobtuachane nayo. Ukinithibitishia hill, sitaiongelea tens Chadema.
Unaishi kwa dhana!
Expand dhana yako kuwa inakuja siku tutamuombolezea mwenyekiti wenu na kondoo mtatawanyika.
 
Huu ni muendelezo wa kutumia vibaya na kufuja Mali za umma kwa nini wakutane kwenye kumbi za gharama halafu eti ndo mnasema mtashika dolla labda dollars ya Marekani matumizi ya hovyohovyo ya Mali za umma utakuta wamejiandikia mahela meeengi ukizingatia mkewe ndiye mtunza hazina
Umasikini utakuuwa au kukugeuza Bwabwa
Huo ukumbi kwani kwa siku Sh ngapi Mpaka ushangae
 
Fikiria wanakutana wanaCDM wa Tanzania nzima ni ofisi gani hiyo itakayo afford watu wote hao
 
Huu ni muendelezo wa kutumia vibaya na kufuja Mali za umma kwa nini wakutane kwenye kumbi za gharama halafu eti ndo mnasema mtashika dolla labda dollars ya Marekani matumizi ya hovyohovyo ya Mali za umma utakuta wamejiandikia mahela meeengi ukizingatia mkewe ndiye mtunza hazina
Wangeomba hukumbi wa jakaya Ikului. Au kuomba JNICC. Wangepewa
 
Kodi zetu ndizo wanafuja ndio maana Naumia

Mlimani City ni ukumbi ulioko hapa nchini, na yoyote anayekodi ukumbi analipia na nchi inapata kodi. Wangeenda kufanyia Afrika Kusini ungekuwa na hoja. Unajaribu kujibu mapigo, ila huna hoja wala mvuto kwenye hoja, sana sana inaonekana muuza face tu.
 
Huu ni muendelezo wa kutumia vibaya na kufuja Mali za umma kwa nini wakutane kwenye kumbi za gharama halafu eti ndo mnasema mtashika dolla labda dollars ya Marekani matumizi ya hovyohovyo ya Mali za umma utakuta wamejiandikia mahela meeengi ukizingatia mkewe ndiye mtunza hazina
Kujenga majengo na kukodisha kumbi kipi ni gharama zaidi?
Mi nadhani ndo wanasave kodi zenu ati!
Usitangulize chuki kifikiri tanguliza bongo.
 
Kwani huo ukumbi wa Mlimani City umejengwa kwa ajili ya kazi gani?!

Tupunguze umbumbumbu!

Nilidhani wamefanyia msikitini au kanisani.......kumbe ukumbini!!
Mleta mada ni new comer hapo Lumumba ni hii ni intake mpya ya buku 3, sio ile Lumumba ya zamani ya intake yenu ya buku 7.
 
Usitegemee hata siku moja wezi wakabana matumizi
Wezi huoenda sehemu ghali ili kupata fursa ya kupiga
Hapo hapo mnaambiwa chama hakina pesa
 
Back
Top Bottom