CHADEMA kukutana Mlimani City ni matumizi mabaya ya Ruzuku ambazo ni kodi za watanzania ina maana hawana Ofisi mpaka wafanyie kikao Mlimani City?!!

Jana kamati kuu ya Chadema imekutana katika moja ya maeneo ya kifahari mno hapa Tanzania

Wamejifungia kule hatujaambiwa walikuwa wanajadili lini

Ila wametoa tamko kuwa watahudhiria maadhimisho ya Uhuru huko mwanza wakiongozwa na Mbowe

Ile kamati kuu kupanda ndege ya go and return
Kwenda kulala five star hotel

Ni gharama za walipa kodi! Kwanini wanafuja pesa za Wananchi? Hizo fedha Kwanini wasingeenda kusaidia kina mama kuanzisha sacos kwenye majimbo yao?

Inasikitisha kwa kweli tuliwaamini tukawachagua watutumikie ila wao wamekuwa wanakula peke yao hii ni haki kweli

Mbona Rais Magufuli alienda mwanza kwa kutumia gari wao Kwanini wasikodishe basi moja waende mwanza? Ili kupunguza gharama

Sisi kama Wananchi tunamwomba CAG afatilie kwa makini hili jambo ili tujue mbivu na bichi

Kama inawezekana ruzuku ziwe zinaenda kwa Wananchi moja kwa moja

Je mama aliyewapigia kura anafaidika vipi na nyinyi?

CAG fanya kazi Tafadhali
.....Wamejifungia kule hatujui walikuwa wanajadili nini...? Mwehu utamjua kwa maneno tu, mnapojadili watu wa kuteka huko Lumumba huwa mnamwambia Nani?
 
roho mbaya zingine hazijengi mm ni mwanaharakati huru hakuna sababu yakuwazuia wasihudhurie ,tuwaache wanataka kupima upepo wakushangiliwa au kuzomewa
 
Jana kamati kuu ya Chadema imekutana katika moja ya maeneo ya kifahari mno hapa Tanzania

Wamejifungia kule hatujaambiwa walikuwa wanajadili lini

Ila wametoa tamko kuwa watahudhiria maadhimisho ya Uhuru huko mwanza wakiongozwa na Mbowe

Ile kamati kuu kupanda ndege ya go and return
Kwenda kulala five star hotel

Ni gharama za walipa kodi! Kwanini wanafuja pesa za Wananchi? Hizo fedha Kwanini wasingeenda kusaidia kina mama kuanzisha sacos kwenye majimbo yao?

Inasikitisha kwa kweli tuliwaamini tukawachagua watutumikie ila wao wamekuwa wanakula peke yao hii ni haki kweli

Mbona Rais Magufuli alienda mwanza kwa kutumia gari wao Kwanini wasikodishe basi moja waende mwanza? Ili kupunguza gharama

Sisi kama Wananchi tunamwomba CAG afatilie kwa makini hili jambo ili tujue mbivu na bichi

Kama inawezekana ruzuku ziwe zinaenda kwa Wananchi moja kwa moja

Je mama aliyewapigia kura anafaidika vipi na nyinyi?

CAG fanya kazi Tafadhali

Magufuli mwanza, Majaliwa mara, Jafo shinyanga, je, wametumia hela za mishahara yao? Je, Mwananchi mnyonge wa mtwara, lindi, songwe na au Kigoma amenufaikaje na hayo matumizi ya pesa ya mlipa kodi?

Katiba ya Tz ni ya Vyama vingi, uwepo wa Chadema mza upo kisheria.

CAG akague matumizi ya kung'oa bendera za CHADEMA na malipo ya kuzuia mikutano ya vyama vya siasa.
 
Hao wanakagua miradi Mkuu
Sasa kina Mbowe pale mlimani city walikuwa wanafanyaje
Magufuli mwanza, Majaliwa mara, Jafo shinyanga, je, wametumia hela za mishahara yao? Je, Mwananchi mnyonge wa mtwara, lindi, songwe na au Kigoma amenufaikaje na hayo matumizi ya pesa ya mlipa kodi?
 
Kwa akili ndogi kama hii nchi itaendelea kuumia. Yaani mwanaume mzima na akili zake timamu za shule anashangaa Chama kikuu cha Upinzani nchini kufanya mkutano wake Malimani City? Hivi elimu hii tunayopata kwenye shule na vyuo vyetu inatupeleka wapi?

Mbona kuna mabilion mengi ya walipa kodi yanatafunwa hovyo na mengine CAG kayafumua huko lkn hatujakasirka? Tunakuja kulalamikia Chadema kufanya vikao vyake in style kwa kutumia kumbi za kisasa na eneo nyeti kama Mlimani City?

Ngoja utaletewa data za ufujaji ruzuku ndani ya CCM hapa. Subiri FACTS zikusanywe. Usibadili stori lakini. Kama tayari.
 
Jana kamati kuu ya Chadema imekutana katika moja ya maeneo ya kifahari mno hapa Tanzania

Wamejifungia kule hatujaambiwa walikuwa wanajadili lini

Ila wametoa tamko kuwa watahudhiria maadhimisho ya Uhuru huko mwanza wakiongozwa na Mbowe

Ile kamati kuu kupanda ndege ya go and return
Kwenda kulala five star hotel

Ni gharama za walipa kodi! Kwanini wanafuja pesa za Wananchi? Hizo fedha Kwanini wasingeenda kusaidia kina mama kuanzisha sacos kwenye majimbo yao?

Inasikitisha kwa kweli tuliwaamini tukawachagua watutumikie ila wao wamekuwa wanakula peke yao hii ni haki kweli

Mbona Rais Magufuli alienda mwanza kwa kutumia gari wao Kwanini wasikodishe basi moja waende mwanza? Ili kupunguza gharama

Sisi kama Wananchi tunamwomba CAG afatilie kwa makini hili jambo ili tujue mbivu na bichi

Kama inawezekana ruzuku ziwe zinaenda kwa Wananchi moja kwa moja

Je mama aliyewapigia kura anafaidika vipi na nyinyi?

CAG fanya kazi Tafadhali
Tuelezeni kwanza zilipo 1.5 Tilion ,ndio muje na ugoro wenu.
 
kwani kufanya hivyo wanakiuka kanuni za matumizi ya fedha za ruzuku?
Chadema wanaweza kununua majengo kwa bei laisi tu, kipindi hiki cha magufur watu wanauza maeneo na majumba kwa bei yakutupa kwanini wanakuwa wagumu kununua vitega uchumi?
 
Huu ni muendelezo wa kutumia vibaya na kufuja Mali za umma kwa nini wakutane kwenye kumbi za gharama halafu eti ndo mnasema mtashika dolla labda dollars ya Marekani matumizi ya hovyohovyo ya Mali za umma utakuta wamejiandikia mahela meeengi ukizingatia mkewe ndiye mtunza hazina
Unakumbuka semina elekezi pale ngurdoto..??
 
Back
Top Bottom