Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,977
- 25,303
swali lipi...ilo mmpumbavu wewe..
Mkuu wacha kunipa sifa!!!!
swali lipi...ilo mmpumbavu wewe..
TUSIPOKUWA MAKINI KWA
JINSI CHADEMA WANAVYOENDESHA SIASA JIJINI ARUSHA HUENDA WATALII
WAKAPUNGUA SN NA KSHUSHA MAPATO YA UTALII, SUALA LA MAANDAMANO NA VURUGU
KWA SASA HAVINA TIJA KWA WANANCHI WA ARUSHA AMBAO WENGI WANATEGEMEA
BIAshara YA UTALII.
weliTUSIPOKUWA MAKINI KWA JINSI CHADEMA WANAVYOENDESHA SIASA JIJINI ARUSHA HUENDA WATALII WAKAPUNGUA SN NA KSHUSHA MAPATO YA UTALII, SUALA LA MAANDAMANO NA VURUGU KWA SASA HAVINA TIJA KWA WANANCHI WA ARUSHA AMBAO WENGI WANATEGEMEA BIAshara YA UTALII.
TUSIPOKUWA MAKINI KWA JINSI CHADEMA WANAVYOENDESHA SIASA JIJINI ARUSHA HUENDA WATALII WAKAPUNGUA SN NA KSHUSHA MAPATO YA UTALII, SUALA LA MAANDAMANO NA VURUGU KWA SASA HAVINA TIJA KWA WANANCHI WA ARUSHA AMBAO WENGI WANATEGEMEA BIAshara YA UTALII.
Hiyo Halmashauri ya Jiji la Arusha ipo chini ya Pinda
ni saa yoyote anaweza teua TUME YA JIJI LA ARUSHA na visiasa vyenu CHADEMA vikazimika wulizeni NCCR kule DSM walipowekewa Tume ya Keenja na SUMAYE km alijitokeza Mbunge yeyote kuanzia Mrema wa TEMEKE mpaka Lamwai wa UBUNGO
NINYI MGESUBIRI HIYO 14/ Julai kwani hamna ubabe mbele ya Wizara ya Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa iliyo chini ya Pinda
weli
ndugu maneno yako ni ya ukweli mtupu, wageni walio cancel booking zao za hoteli Arusha wamefikia zaidi ya 9000, toka lile tukio, na wote wameteremkia moshi, hivi sasa moshi hoteli za kitalii hupati chumba, na wanakwenda bungani kutokea huko. hata biashara za kawaida zimeanza kuharibika. Amani ni kitu kizuri, Hivyo mbowe na Lema wanfurahia Arusha ikizidi kudidimia. au hiyo ndio peoples power.
Chadema wamewakimbiza Watalii wamekimbilia KENYA. kila siku maandamano.
Hicho ni Kijiji kwa Pinda,kwa Dar iliwezekana....Arusha ni sawa na kusaga mawe kwa meno........
Thread yako wameifunga kuhusu Jiji la ArushaHicho ni Kijiji kwa Pinda,
aliiweza Halmashauri ya Ujiji iliyokuwa na Madiwani sawa kwa CCM na CHADEMA aje aishindwe Arusha au Mwanza,
Kwa vile Fredrick Tulwaye Sumaye yupo tutamshauri auone Pinda hako ka Jiji kawekewe tume angalau kwa miaka mitano
cc Chris Lukosi
Baadhi ya Waarusha akili zenu ni ndogo. Mnahisi mtashiba hivo viroba. Mleta mada kaongea fact lakini mnakuja na mibangi yenu.
TUSIPOKUWA MAKINI KWA JINSI CHADEMA WANAVYOENDESHA SIASA JIJINI ARUSHA HUENDA WATALII WAKAPUNGUA SN NA KSHUSHA MAPATO YA UTALII, SUALA LA MAANDAMANO NA VURUGU KWA SASA HAVINA TIJA KWA WANANCHI WA ARUSHA AMBAO WENGI WANATEGEMEA BIAshara YA UTALII.
Povu la kifafa hilo dogo!we mavi kunuka toa ujinga wako hapa
Usiwe PINDA kama mleta mada hii watalii wanajuwa wao hawaguswi kwa hiyo hawawezi kuacha kuja.maana mabamu hawapigwi wao.weli
ndugu maneno yako ni ya ukweli mtupu, wageni walio cancel booking zao za hoteli Arusha wamefikia zaidi ya 9000, toka lile tukio, na wote wameteremkia moshi, hivi sasa moshi hoteli za kitalii hupati chumba, na wanakwenda bungani kutokea huko. hata biashara za kawaida zimeanza kuharibika. Amani ni kitu kizuri, Hivyo mbowe na Lema wanfurahia Arusha ikizidi kudidimia. au hiyo ndio peoples power.
weli
ndugu maneno yako ni ya ukweli mtupu, wageni walio cancel booking zao za hoteli Arusha wamefikia zaidi ya 9000, toka lile tukio, na wote wameteremkia moshi, hivi sasa moshi hoteli za kitalii hupati chumba, na wanakwenda bungani kutokea huko. hata biashara za kawaida zimeanza kuharibika. Amani ni kitu kizuri, Hivyo mbowe na Lema wanfurahia Arusha ikizidi kudidimia. au hiyo ndio peoples power.
Hamchoki? Hamna jopya la kuandika ni hauohayo tu. CCM haina nafasi hapaTUSIPOKUWA MAKINI KWA JINSI CHADEMA WANAVYOENDESHA SIASA JIJINI ARUSHA HUENDA WATALII WAKAPUNGUA SN NA KSHUSHA MAPATO YA UTALII, SUALA LA MAANDAMANO NA VURUGU KWA SASA HAVINA TIJA KWA WANANCHI WA ARUSHA AMBAO WENGI WANATEGEMEA BIAshara YA UTALII.