CHADEMA kuharibu jiji la utalii (Arusha)

CHADEMA kuharibu jiji la utalii (Arusha)

Dodoma, Singida, Mbeya, Lindi, nk. wanaishi kwa utalii? acha kutishia watu wewe!
Huo utalii unakufaidisha wew na hao mashetani wauaji.
Kwa hiyo tunyamaze maccm waendelee kubaka nchi kwa kisingizio kwamba utalii unashuka na kuhatarisha amani? Usirudie tena kuleta taarifa za uoga kama hii.

Achana na Mliberal huyo!
Anaona utalii ni bora kuliko roho za watu!
Hawa ndo wale wanaopenda fedha kuliko ubinadamu!
JANGILI ndiye tishio la utalii kuliko alichokisema mleta mada!
Majangili yote yakikamatwa utalii utakuja hata miaka 2 ijayo baada ya magamba kuondoshwa madarakani!
 
Watalii wote wamekimbilia Kenye, wanaogopa fujo za Chadema.

Wasiende kenya tu waende Bagamoyo! huo utalii ni kwa faida ya nani? nani aliyekuambia utalii pekee ndo maisha?
Ninyi ni kundi la wale mnaodhani bila ccm hakuna maisha....acheni watu wa Arusha wachague wanachokitaka msiwatishe!

 
Watalii wote wamekimbilia Kenye, wanaogopa fujo za Chadema.
Kama "muuaji wa tembo" atadhibitiwa, hakuna shida!
Acha wakimbie tu maana hata kukimbia ni sehemu ya burudiko la mwili!
 
Chadema wamewakimbiza Watalii wamekimbilia KENYA. kila siku maandamano.
 
Ni bora ukichaa kuliko Upumbavu. Ofisi yangu iko katikati ya mji na kina kona unayopita unapishana na watalii wakiwa wenyewe na bila bughudha. Mbona kamapeni za udiwani zilifanyika mwezi mzima bila tatizo hadi tar 15/06/2013 pale polisi walipotupa bomu na kuua raia?

Hizo vurugu au kutokuwepo Amani arusha kunatokea maeneo gani mbona naona mji uko shwari kila siku? Mtoa mada atuambie amekutana wapi na watalii wakikimbilia Kenya?. Habari nyingi za kuelezea plight ya jiji la Arusha ni za uongo na hazina ukweli wowote. Wataliii wako kibao na wanaongezeka si kwenye ATMs, mahotelini, Mitaani na kila mahali kama kawaida
 
Baadhi ya Waarusha akili zenu ni ndogo. Mnahisi mtashiba hivo viroba. Mleta mada kaongea fact lakini mnakuja na mibangi yenu.

wewe ndo umevuta mibangi.. unajificha kwenye kichaka cha karanga ukidhani huonekani kumbe tunakuona. kati ya Chadema na mwigulu nani alienda CHINA??.... Je mabomu yaliyolipuw watu yalitoka wapi kama siyo China?? Je kati ya chema na ccm nani anaharibu Arusha??
 
TUSIPOKUWA MAKINI KWA JINSI CHADEMA WANAVYOENDESHA SIASA JIJINI ARUSHA HUENDA WATALII WAKAPUNGUA SN NA KSHUSHA MAPATO YA UTALII, SUALA LA MAANDAMANO NA VURUGU KWA SASA HAVINA TIJA KWA WANANCHI WA ARUSHA AMBAO WENGI WANATEGEMEA BIAshara YA UTALII.
kila maandamano yana malengo yake kama kweli wewe ni mkweli ebu tueleze maandamano ya chadema Arusha yalikuwa na ujumbe gani? vinginevyo kama utakuwa unasema tu,maandamano ya vurugu,utaonekana ni mjinga na zaidi utakuwa unawapa sifa chadema maana utaonekana huna hoja kama walivyo magamba
 
TUSIPOKUWA MAKINI KWA JINSI CHADEMA WANAVYOENDESHA SIASA JIJINI ARUSHA HUENDA WATALII WAKAPUNGUA SN NA KSHUSHA MAPATO YA UTALII, SUALA LA MAANDAMANO NA VURUGU KWA SASA HAVINA TIJA KWA WANANCHI WA ARUSHA AMBAO WENGI WANATEGEMEA BIAshara YA UTALII.

Umeandika kwa akili yako au ni zile za kuazima.Amani ya Arusha inavurugwa na nani kama sio serikali ya CCM kwa kushirikiana na Police, RC kama CDM ndiyo chanzo cha vurugu je ni wao waliolipua bomu kanisani na kwenye mkutano wao? Na maandamano yaliyoleta vurugu ni yale yaliyoingiliwa na polisi au walifanya vurugu pasipo kuingiliwa?
 
Hii thread ni nzuri sana ila naomba mods Au mleta hoja ubadili heading na isomeke hivi. (SERIKALI kupitia CCM)Kuharibu soko la utalii Tanzania. Arusha sio Kenya na chadema hawaui Nawasilisha
Acha U-pinda ar ipo chin ya CDM polisi na waume zao wana lazimisha.
we mavi kunuka toa ujinga wako hapa

Hiyo Halmashauri ya Jiji la Arusha ipo chini ya Pinda
ni saa yoyote anaweza teua TUME YA JIJI LA ARUSHA na visiasa vyenu CHADEMA vikazimika wulizeni NCCR kule DSM walipowekewa Tume ya Keenja na SUMAYE km alijitokeza Mbunge yeyote kuanzia Mrema wa TEMEKE mpaka Lamwai wa UBUNGO
NINYI MGESUBIRI HIYO 14/ Julai kwani hamna ubabe mbele ya Wizara ya Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa iliyo chini ya Pinda
 
Back
Top Bottom