CHADEMA kugeuza Changamoto kuwa Fursa: Dr. Kitila aongezewe adhabu!

Huyu Betlehem huwa simtofautishi na mageti sita....Mageti sita alianza hivi hivi anajifanya anatoa ushauri wa kinafiki .
Hivi unadhani kunijadili mimi kuna faida kwako, kwangu au kwa jamii?Any way maana ya unafiki ni nini kwa uelewa wako?
 
Haya ni maajabu,
betlehem unategemea mtu aliye kuwa na plan za kuyumbisha chama,awe consulted kwa kazi ya kujenga chama?
Are u serious,au umeamua kuchangamsha baraza?
 
Last edited by a moderator:
Haya ni maajabu,
betlehem unategemea mtu aliye kuwa na plan za kuyumbisha chama,awe consulted kwa kazi ya kujenga chama?
Are u serious,au umeamua kuchangamsha baraza?
Kumbe ilikuwa ayumbishe chama? mimi nilijua aliandaa mkakati wa kumsaidia zitto ashinde kwenye uchaguzi (ambao kwa mujibu wa katiba ilikaonekana ulitakiwa ufanyike 2013 au 2014) wa huru na haki.Sasa kama wewe unajua kwamba ilikuwa ayumbishe chama tena akiyumbishe kwa makusudi, pengine uelewa wetu ni tofauti
 
Kama vipi andika waraka wa siri.Uite waraka wa siri juu ya mwenendo wa betlehem toka mwaka......, hadi mwaka......,. Nina uhakika ukijipanga vizuri hushindwi kuandika page tatu za MS Word.Ukiona unakosa vichombezo vizuri, muombe (.........) akusaidie kuchomeka vi paragraph huko kati kati.Nakuhakikishia utapata uungwaji mkono mkubwa tu .Cha msingi hakikisha unamalizia kwa kusema betlehem kahongwa, ni msaliti na muhaini.

Ukifanya hivyo basi itachangia kuleta mabadiliko katika nchi hii kwa haraka zaidi.

Do not derail me from your own agenda. Suppose I did not make myself clear, what I mean is that, you need to let some things go. why do you keep ranting of Zitto & Kitila as if they are immortal? let alone the fact that they have proven themselves unfit and not part of the movement against CCM? the very people who conspired to destabilize the party are the ones you wake up early in the morning almost every day as of recent asking people to kneel and bow before them. what exactly have gone over you?
 
Naomba uandike kiswahili manaa wengine hatujui kingereza vizuri.
 
Back
Top Bottom