CHADEMA kugeuza Changamoto kuwa Fursa: Dr. Kitila aongezewe adhabu!

Betlehem
na wewe umeanza kula pesa za zitto nini? DR Kitila ana utaalamu wa kuandaa mikakati gani?
 
Kaka Betlehem uliwahi kusoma ule waraka ?

Maneno aliyotumia huyu Dr wa mikakati ni sahihi ?

Ni uwendawazimu tu mwanachama kutumia lugha ya matusi kwa viongozi wake.

Zamani nilikuwa najiuliza sana kwanini Dr Kitila hana Mchango Iramba badala yake watu wasio na nidhamu kama Mwigulu ndio wawakilishi wa wananchi. Ni aibu sana kwa Dr Mkumbo, mshauri atumie ujuzi wake kwa vyama vingine kwani CDM wanamchukulia kama msaliti.
 
Huyu Betlehem huwa simtofautishi na mageti sita....Mageti sita alianza hivi hivi anajifanya anatoa ushauri wa kinafiki .
 
Umanikumbusha muvi moja ya vita ambapo askari walikamata adui yao akiwa na silaha ambayo hawakujua kuitumia. Basi wakamwambia awaonyeshe jinsi ya kutumia ile silaha ili waifaidi wao akakubali... Akaikoki silaha akawaambia hivi ndivyo inavyotumika, huku akiwa amewageuzia.... Nadhani unajua nini kilitokea.

umetisha sana mkuu
 
Kitendo tuu cha kuzibaini fursa tayari hiyo ni fursa. Kujua namna ya kuitumia hiyo fursa nayo pia ni fursa na kisha kuichangamkia kuitumia nayo pia ni fursa!. Very unfortunately Chadema hawana watu wenye uwezo huo!.
Pasco

kambi ya lowasa zitto lazima tumfukuze...
 
kwa hiyo kumbe tunatakiwa tuwe tunatoa mawazo yetu kwa kulenga kusifiwa, tena na watu fulani! Alaaaaa! mimi sikujua.Nashukuru kwa taarifa.

betlem you are trying so hard nakwambia si bure huko katika mkakati wa kuwakwamua akina MM na wenzake which sadly you cannot do this is much bigger than your lame advice
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unajua kujenga hoja vizuri,

Hiyo mipango mikakati hata chauma wanaihitaji kwa hiyo anaweza kuipeleka huko pia!

hata ccm wanaihitaji sana hii mipango ya Dr Kitilla....chadema fukuzeni hawa nyangau.
 
Kitendo tuu cha kuzibaini fursa tayari hiyo ni fursa. Kujua namna ya kuitumia hiyo fursa nayo pia ni fursa na kisha kuichangamkia kuitumia nayo pia ni fursa!. Very unfortunately Chadema hawana watu wenye uwezo huo.
Pasco

Kwani Kitila Mkumbo ni wa CCM? Embu funguka kidogo Mkuu!
 
Jamani tuache kudanganywa na hawa wafuasi wa Mkumbo kwani mkumbo ni juzi kati tuu alihama CCM na kuingia CDM, lakini nani anaejua sababu za yeye kuhama chama tawala na kuingia CDM akapewa na uongozi halafu akaendelea kuwa na Cheo chake pale UDSM ambacho ni chuo cha serikali wakati kikatiba hairuhusiwi?Alishauriwa sana na wafanyakazi wenzake kwamba aache tamaa, ni dhambi kubwa kwa Profesa mwenye upeo na elimu ya hali ya juu kutumika kuua chama kingine ambacho kinatetea wananchi lakini hakusikia.Na huu waraka wao na Zitto waliuvujisha wenyewe wakijua kwamba muda wa kuiua CDM kwa hiyo ni strategic plan ya kuiangamiza CDM. Inauma kwa sisi wanachama wa kawaida tunaopenda Nchi yetu kuona wale tuliowatemea wanatumiwa na kukubali kuwa wanafiki wakubwa wa kuua chama kwa propaganda namna hii.Kwa upande wa Zitto ni watanzania wanatambua kwamba yeye ni kibaraka toka siku nyingi hilo huwa linatusikitisha sana vijana kwa sababu, mtu alieanzia Siasa ndani ya chama halafu anatumika kuua chama hichohicho ni dhambi kubwa sana, mm binafsi sintakaa nimsamehe Zitto kwa sababu vyote anavyotaka vilikuwa CDM angaecha tuu tamaa ya vijisent cku moja angekuja kufanya mapinduzi makubwa ya kuwa Rais kutoka chama cha upinzani lakini nakuapia mh Zitto wanaokutumia ipo siku watakutupa kama Condom nao wataanza kukuponda kwa ujinga wako wa kuiua CDM na ikifikia hapo na ww kifo chako cha Siasa kitakuwa kimewadia. Kwa ulichokifanyia kutoka moyoni nakudharau sana. Ni bora mtu ambae hana Elimu wala upeo lakini ana uzalendo kuliko wewe mwenye Elimu na Upeo lakini msaliti na si mzalendo.

Sent from my BlackBerry 9700
 
hiyo mipango mikakati kwann isiwe kwa ccm au cuf lakin nyie ni chadema tu? Jaman hamna vyama vingine kama chauma tlp dp vya kuvishauri hiyo mipango mikakati yenu?

kwanini bavicha hampendi ushauri?
 
POKEA LIKE MKUU,hizi ndizo thredi tunazotaka kuziona JF bhana,daaah!kugeuza CHANGAMOTO kuwa FURSA ndio tatizo kubwa sana la nchi yetu katika kila sekta.
Kama itafanyika hivi basi Tanzania yenye neema itapatikana mapema sana tofauti na tunavyotazamia.
UBARIKIWE MKUU
 
Betlehem
na wewe umeanza kula pesa za zitto nini? DR Kitila ana utaalamu wa kuandaa mikakati gani?
Kama vipi andika waraka wa siri.Uite waraka wa siri juu ya mwenendo wa betlehem toka mwaka......, hadi mwaka......,. Nina uhakika ukijipanga vizuri hushindwi kuandika page tatu za MS Word.Ukiona unakosa vichombezo vizuri, muombe (.........) akusaidie kuchomeka vi paragraph huko kati kati.Nakuhakikishia utapata uungwaji mkono mkubwa tu .Cha msingi hakikisha unamalizia kwa kusema betlehem kahongwa, ni msaliti na muhaini.

Ukifanya hivyo basi itachangia kuleta mabadiliko katika nchi hii kwa haraka zaidi.
 
Back
Top Bottom