hakuna Pro wa CDM mwenye post za kipuuzi kama zako.Utakua Pro wa Magamba.Unazungumzia CDM TV unadhani kuanzisha TV Channel ni rahisi kama kufungua genge?Unajua kitu alichoenda kufanya baada kuondoka pale NMC?Usipende kuandika post usizokua na uhakika nazo na usituletee story za kwenye kahawa hapa JF.Idiot...!Nimekuwa nikifuatilia trends za Chadema, na pia mimi ni pro-Chadema, lakini kwa mambo haya naona Chadema bado tatujawa na mpango mkakati wa kuchukua nchi 2015. Mifano hai michache ni kama ifuatavyo, you can add others.
- Network coverage za Chadema haiko consistent, mfano, umeishia wapi ule mpango wa kuanzisha Chadema TV? Tumeambiwa iko mbioni kuanzishwa na kuwa sasa tunaweza kuaccess habari ambazo ziko uploaded kwenye you tube, lakini mpaka leo habari za mwisho ni zile za Igunga. Je tunasubiri zima moto nyingine utakapotokea uchaguzi mdogo mwingine ndo tuende kwenye hiyo link? Kwa hili Chadema needs strategic people who will keep the updates of what is happening in our country, not only during elections. Watu ambao wataenda kwa wananchi kuchukua habari na kuzipost wakati tukisubiri huo mpango wa kuanzisha Tv. Je kama hili dogo limeshindikana, je vipi hiyo TV ikianzishwa, sustainability yake itakuwaje?
- Baadhi ya viongozi wa CDM hawako honest. Na hapa namtaja MBOWE, kwa kitendo cha kwenda NMC kuhutubia wananchi na baadaye yeye kutoroka na kuwaacha wenzake akina Slaa na wananchi kusulubiwa na polisi, siyo kitendo cha kujivunia hata kidogo. Umeonyesha mfano mbaya kwa wananchi. Kama huogopi rumande mbona umekimbia? Simamia unachokisema daima mh. Mbowe, unless we wont trust you.
- Mengine mtaongezea naishia hapa kwa sasa.
alikwenda kufanya nini zaidi ya kuyakimbia makombora ya polisi? Anajisalimisha kwa sasa kwa sababu anaona ishakuwa so kisiasa ktk jamii!hakuna pro wa cdm mwenye post za kipuuzi kama zako.utakua pro wa magamba.unazungumzia cdm tv unadhani kuanzisha tv channel ni rahisi kama kufungua genge?unajua kitu alichoenda kufanya baada kuondoka pale nmc?usipende kuandika post usizokua na uhakika nazo na usituletee story za kwenye kahawa hapa jf.idiot...!
katika wote wewe ndio umesema maneno yaliyosimama na yenye uhakika.Kwa ujumla Cdm wengi ni wanasiasa uchwara na wote wako kwa maslahi binafsi, hakuna mwenye uchungu halisi na nchi hii ni WANAFIKI tu. kama watajaliwa kuchukua nchi hii utaona watakavyo vurugana.
Jingine kukutwa na risasi kwa doctor slaa ambayo bado hatujajua matumizi yake alipokuwa hapo NMC, kupanga maandamano ya mikoa mbalimbali bila kujipanga
Nimekuwa nikifuatilia trends za Chadema, na pia mimi ni pro-Chadema, lakini kwa mambo haya naona Chadema bado tatujawa na mpango mkakati wa kuchukua nchi 2015. Mifano hai michache ni kama ifuatavyo, you can add others.
- Network coverage za Chadema haiko consistent, mfano, umeishia wapi ule mpango wa kuanzisha Chadema TV? Tumeambiwa iko mbioni kuanzishwa na kuwa sasa tunaweza kuaccess habari ambazo ziko uploaded kwenye you tube, lakini mpaka leo habari za mwisho ni zile za Igunga. Je tunasubiri zima moto nyingine utakapotokea uchaguzi mdogo mwingine ndo tuende kwenye hiyo link? Kwa hili Chadema needs strategic people who will keep the updates of what is happening in our country, not only during elections. Watu ambao wataenda kwa wananchi kuchukua habari na kuzipost wakati tukisubiri huo mpango wa kuanzisha Tv. Je kama hili dogo limeshindikana, je vipi hiyo TV ikianzishwa, sustainability yake itakuwaje?
- Baadhi ya viongozi wa CDM hawako honest. Na hapa namtaja MBOWE, kwa kitendo cha kwenda NMC kuhutubia wananchi na baadaye yeye kutoroka na kuwaacha wenzake akina Slaa na wananchi kusulubiwa na polisi, siyo kitendo cha kujivunia hata kidogo. Umeonyesha mfano mbaya kwa wananchi. Kama huogopi rumande mbona umekimbia? Simamia unachokisema daima mh. Mbowe, unless we wont trust you.
- Mengine mtaongezea naishia hapa kwa sasa.
Hakuna aliyekuomba maoni yako....kama hatuwezi kuchukua nchi si ungoje muda ufike.....wewe ni pro-definitely magambash tu, no wonder you spit nonsenseNimekuwa nikifuatilia trends za Chadema, na pia mimi ni pro-Chadema, lakini kwa mambo haya naona Chadema bado tatujawa na mpango mkakati wa kuchukua nchi 2015. Mifano hai michache ni kama ifuatavyo, you can add others.
- Network coverage za Chadema haiko consistent, mfano, umeishia wapi ule mpango wa kuanzisha Chadema TV? Tumeambiwa iko mbioni kuanzishwa na kuwa sasa tunaweza kuaccess habari ambazo ziko uploaded kwenye you tube, lakini mpaka leo habari za mwisho ni zile za Igunga. Je tunasubiri zima moto nyingine utakapotokea uchaguzi mdogo mwingine ndo tuende kwenye hiyo link? Kwa hili Chadema needs strategic people who will keep the updates of what is happening in our country, not only during elections. Watu ambao wataenda kwa wananchi kuchukua habari na kuzipost wakati tukisubiri huo mpango wa kuanzisha Tv. Je kama hili dogo limeshindikana, je vipi hiyo TV ikianzishwa, sustainability yake itakuwaje?
- Baadhi ya viongozi wa CDM hawako honest. Na hapa namtaja MBOWE, kwa kitendo cha kwenda NMC kuhutubia wananchi na baadaye yeye kutoroka na kuwaacha wenzake akina Slaa na wananchi kusulubiwa na polisi, siyo kitendo cha kujivunia hata kidogo. Umeonyesha mfano mbaya kwa wananchi. Kama huogopi rumande mbona umekimbia? Simamia unachokisema daima mh. Mbowe, unless we wont trust you.
- Mengine mtaongezea naishia hapa kwa sasa.
Eh risasi tena au wewe ndo ulimkuta na hizo risasi.Kwa jinsi ulivyo-post naweza kuhisi elimu yako ni ya kiwango ganiJingine kukutwa na risasi kwa doctor slaa ambayo bado hatujajua matumizi yake alipokuwa hapo NMC, kupanga maandamano ya mikoa mbalimbali bila kujipanga
hakuna Pro wa CDM mwenye post za kipuuzi kama zako.Utakua Pro wa Magamba.Unazungumzia CDM TV unadhani kuanzisha TV Channel ni rahisi kama kufungua genge?Unajua kitu alichoenda kufanya baada kuondoka pale NMC?Usipende kuandika post usizokua na uhakika nazo na usituletee story za kwenye kahawa hapa JF.Idiot...!
Jingine kukutwa na risasi kwa doctor slaa ambayo bado hatujajua matumizi yake alipokuwa hapo NMC, kupanga maandamano ya mikoa mbalimbali bila kujipanga
Huyu mmiliki wa wasomiforum ni Kada wa Magamba,amehitimu informatics na Alikuwa kiongoz wa magamba infomatics udom,hana jipya la kuzungumzawww.wasomiforum.com
Waberoya na Ngongo salam zenu, tabia zenu za "kisengenyaji"zinawavua nguo zenu zote na kuwaacha dhariri. Ujira wa mwiha unawatoa utu wenu na mmebaki magumegume, na kwakuwa hamjui mnechekelea kama mazuzu!alikimbia bana acha unazi! jela mchezo!
Umenisikitisha kusifia mambo yasiyofaa kwa jamii. Msimamo wako wa kisiasa usikuondolee uwezo wako wa kufikiria.Kujihami na yuko tayari kwa chochote na wakati wowote, so doctor kwa nini alikimbia na kujificha kwenye gari ya matangazo, ss ile ilikua na kazi gani au aliibea tu ya mapambo? awaulize kina rage matumizi ya kupanda nayo jukwaani
ushawahi kula chips za ukwaju?