Kiherehere
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,806
- 622
Kwa wazalendo wa kitaifa naomba mniweke wazi kuhusu habari zilizochapishwa jana katika gazeti la Hoja kuhusu chadema kutangaza nafasi za ulinzi kwa watanzania waliopitia jeshini.Mimi binafsi nilivyoiona hiyo bahari ilinishitua sana na kunitia hofu kubwa na kunifanya nijiulize maswali mengi kuhusu hatima ya tanzania.Kwanini chadema inafanya hivi? nini malengo yao? watanzania tuwe macho sana na movement mbaya kama hizi.Mie ningeomba Usalama wa taifa mlifanyie kazi kizalendo na si ushabiki kwani vurugu zikiivishwa wa kuzila ni wewe na mimi.
Source: Gazeti la jana la Hoja
Huyu alitaka watangaze nafasi za ulinzi kwa wale waliopitia mafunzo ya upishi. Hapo hata yeye ange applyGazeti gani?
Hoja?
Kama habari yako ni ya kweli basi kila anae ijua chadema anajua tangazo lisingekuwa kwenye gazeti hilo!
Any way,we ulitaka watangaze walinzi wenye sifa zipi ili usistuke?
Naona pia umesahau kuwa watanzania wote ni walinzi na tena tulipitia JKT! Jambo la Pili ni muhimu pia ujiulize kampuni binafsi za walinzi zimeajiri akina nani na tena ujiuliza wakuu wa mikoa na wilaya ni akina nani, baada ya hapo nadhani utakuwa huna swali
maswali ya kijinga haya...Kwa wazalendo wa kitaifa naomba mniweke wazi kuhusu habari zilizochapishwa jana katika gazeti la Hoja kuhusu chadema kutangaza nafasi za ulinzi kwa watanzania waliopitia jeshini.Mimi binafsi nilivyoiona hiyo bahari ilinishitua sana na kunitia hofu kubwa na kunifanya nijiulize maswali mengi kuhusu hatima ya tanzania.Kwanini chadema inafanya hivi? nini malengo yao? watanzania tuwe macho sana na movement mbaya kama hizi.Mie ningeomba Usalama wa taifa mlifanyie kazi kizalendo na si ushabiki kwani vurugu zikiivishwa wa kuzila ni wewe na mimi.
Source: Gazeti la jana la Hoja
Washabiki wa chadema wanaboa sana!wanajiona wao ndo wanauchungu wa nchi kuliko mtu mwingine yeyote!kumbe ni wanafiki na mafisadi wakubwa,kama baba lao la uongo na TAPELI la kimataifa MBOWE!siwezi kufuata anachosema tapeli huyu hata nikiambiwa naenda kuzimu!!hana tofauti na KIBWETERE
Nikumlinda Dr Slaa zidi ya Kundi la Al-Shabaab na CCM....Kwa wazalendo wa kitaifa naomba mniweke wazi kuhusu habari zilizochapishwa jana katika gazeti la Hoja kuhusu chadema kutangaza nafasi za ulinzi kwa watanzania waliopitia jeshini.Mimi binafsi nilivyoiona hiyo bahari ilinishitua sana na kunitia hofu kubwa na kunifanya nijiulize maswali mengi kuhusu hatima ya tanzania.Kwanini chadema inafanya hivi? nini malengo yao? watanzania tuwe macho sana na movement mbaya kama hizi.Mie ningeomba Usalama wa taifa mlifanyie kazi kizalendo na si ushabiki kwani vurugu zikiivishwa wa kuzila ni wewe na mimi.
Source: Gazeti la jana la Hoja
Tena tuna hasira nao kweli ngoja siku ifike...Arusha tuliwachunia next time we hit you back!!
Hasaaa. Hawa ni walinzi wa amani.:hug:tena chadema waongeze na hii kwneye tangazo lao" waliopitia mafunzo ya ukomandoo watepewa kipaumbele zaidi"
Mkuu mtoa hoja,Naomba nikupeni njia ya kuwatoa wasiwasi, wasilianeni na usalama wa taifa wapeleke watu wao huko waombe kazi Chadema, wataajiriwa wafanye kazi huko ili wenye mashaka yaondoke.
Kweli, wastaafu watafaa. Excellent!!!Nikumlinda Dr Slaa zidi ya Kundi la Al-Shabaab na CCM....
Mkuu wajua safu njima ya uongozi wa CCM ni wanajeshi.Hivi wanajeshi si ruksa kuajiriwa?? sijaona ubaya labda tunataka tuanzishe kampuni ya Ulinzi wa kura zetu next time
Kwa wazalendo wa kitaifa naomba mniweke wazi kuhusu habari zilizochapishwa jana katika gazeti la Hoja kuhusu chadema kutangaza nafasi za ulinzi kwa watanzania waliopitia jeshini.Mimi binafsi nilivyoiona hiyo bahari ilinishitua sana na kunitia hofu kubwa na kunifanya nijiulize maswali mengi kuhusu hatima ya tanzania.Kwanini chadema inafanya hivi? nini malengo yao? watanzania tuwe macho sana na movement mbaya kama hizi.Mie ningeomba Usalama wa taifa mlifanyie kazi kizalendo na si ushabiki kwani vurugu zikiivishwa wa kuzila ni wewe na mimi.
Source: Gazeti la jana la Hoja