Chadema Kortini tena Arusha

Makupa wewe unafikiria au unahisi au unataka kuwa hivyo unavyolopoka? Kwa mtazamo wako wana hatia au unataka wawe na hatia?ungefafanua kwa hoja ningekuunga mkono lakini kwa sasa nimekudisi kabisa na comment yako. Ushindwe na ulegee kimawazo
 
Kaka soma vizuri uelewe nimesema kuwa wakipatikana na hatia lazima sheria ichukue Mkondo wake. Siwezi legea kimawazo, uwezo wangu ni mara dufu wa wabunge wote wa cdm
 
mkuu fatilia vizuri kesi imeahirishwa..kuhusu airtime si titizo , tatizo ni dowans kani tangu asubuhi umeme ni tatizo ndiyo maana unaona natumia cmu
Ina maana simu yako inatumia mwanga wa JUA
 
Sidhani kama mna majukumu makubwa kiasi hicho, mbona mnapata muda mwingi tu wa kushiriki maandamano yasiokuwa na kichwa wala miguu
 
Sidhani kama mna majukumu makubwa kiasi hicho, mbona mnapata muda mwingi tu wa kushiriki maandamano yasiokuwa na kichwa wala miguu

Hayatakuwa na kichwa wala miguu mpaka utakaporudisha mgawo uliohongwa wa EPA, RICHMOND, DOWANS nk. We kilaza gani usiyeguswa na shida za watanzania au umelishwa sumu ya kijani?????????? Itakuua.
 
Hayatakuwa na kichwa wala miguu mpaka utakaporudisha mgawo uliohongwa wa EPA, RICHMOND, DOWANS nk. We kilaza gani usiyeguswa na shida za watanzania au umelishwa sumu ya kijani?????????? Itakuua.
ISSUE hapa ni swala la muda EPA,RICHMONDS NA DOWANS WAPI NA WAPI
 
Sidhani kama mna majukumu makubwa kiasi hicho, mbona mnapata muda mwingi tu wa kushiriki maandamano yasiokuwa na kichwa wala miguu
wewe dogo utachoka tu, wapi Anayejiita KASHAGA? hata yeye alikua kama wewe
 
jamani uhuru wa kunena......bt ccm sikio lenu la kufa litasikia dawa tu............
 
ISSUE hapa ni swala la muda EPA,RICHMONDS NA DOWANS WAPI NA WAPI

Ni Tatizo la waliolishwa sumu ya kijani! Muda wa kuchakachua matokeo upo!! Muda wa kujenga hoja za wizi upo? Muda kama huu unaotumia kuzuia watanzania wasielimishwa haki zao haupo!!! Wewe wizi wa EPA, RICHMOND nk haukuhusu/haukugusi. Sababu umeshaiba hutaki kuulizwa. Ukiulizwa muda unapotea. Nonsense!!!!!!!!!!
 
Anajifanyisha ila atalabwa,kama anaweza kuusaliti umma wa watanzania ambao wengi wao ni masikini,czani kama ataweza kuisaidia Jamii,mana humu Jf wengi wetu hatukupendi,na laiti ungekua unajulikana kwa sura czani kama unaowatukana wangeweza ona onavuta oxygen hii bila kuku sue kwa umang'ati na undezi unauzambaza humu!!
 
Sidhani kama mna majukumu makubwa kiasi hicho, mbona mnapata muda mwingi tu wa kushiriki maandamano yasiokuwa na kichwa wala miguu

Ukombozi unakuja utake usitake hata wewe umo ndani ya utetezi na ukombozi ujao,haki siku zote lazima wawepo watu watakao teseka kwa ajili jamii iliyopo,unaposema maandamano hayakuwa na kichwa wala miguu unshangaza sana na ndio nyinyi ukikatwa sikio unasema mungu kapenda, kapenda wapi wakati huo ni uzembe wako wa kutojihurumia na unategemea wengine wakuhurumie,unapoongea jambo ni lazima ufikiri kwanza sio unaota usingizini ndio unasema haiwezekani.
 
Kiongozi hapo umepotoka kidogo,
Simple law tu ni kua kama watu 100,mmeunganishwa shitaka au mashtaka yanayofanana,ili kuanza kusikilizwa,ni lazima watuhumiwa wote wawepo.Hamuwezi kuendelea wakati wenzenu hawapo.

Inaonesha kesi imeshaanza kukuchanganya,kiasi cha kutuhumu washtakiwa wenzako eti wamepewa rushwa wasitokee,Ina mana mke wa Dr.Slaa amehongwa na serikali?unachekesha sana.

Pambana tu mpiganaji,vita ni vita
 
Sidhani kama mna majukumu makubwa kiasi hicho, mbona mnapata muda mwingi tu wa kushiriki maandamano yasiokuwa na kichwa wala miguu

huko nyuma ulitumika kama kashaga, sasa unatumiwa kama makupa! Pole sana. Wakisha kutumia watakuhariku kabisa kisha utaitwa gamba. Yupo mwenzio anaitwa Gamba Jipya.!
 
hahahahaaaaaa,daaaaa raia wanautumia uhuru wa kujieleza bwana
 
mlikuwa mnapataje muda wa maandamano

kwa jinsi maswali yako na commets zako zilivyo za kijani, unaonesha jinsi unavyofaa kwa matumizi ya kawaida. Ndio maana wanaokutumia walikuchagua wewe. Msalimie tambwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…