chama hakiwezikufa
1. chama lazima kianze kuwa na ushabiki/ washabiki(popularity) baada ya kujulikana kwa sera madhubuti, misingi na mikakati yake washabiki wanajiunga kuwa wanachama, mfano ulio hai ni wanachama wengi wa ccm ukiwauliza hawana sababu za msingi za kuwa wanachama wa hicho chama cha mafisadi,CHADEMA ni chama imara lazima tuanze na popularity usisahau CHADEMA imeanzisha 1992 ni chama kichanga KIMUDA sio KISERA, na kimepata umaarufu baada ya uchaguzi wa 2010
2. chama kina sera zake kwa iyo wanachama na viongozi wa chama husika wanafuata sera sio jinsi wanavyotaka wao maana chama kimesajiliwa kisheria na wanachama na viongozi wanatakiwa kufuata sera
3. chama hakiwezi kufa bali kinapoteza umaarufu, ccm haijafa ila imepoteza umaarufu kwa iyo watu watakuja kukisahau kama KANU ya kenya, na ndio hivyo inavyotokea
4. CHADEMA kinazidi kuwa imara kadri siku zinavyozidi kwenda, na kitajiimarisha baada ya kuchukua dola au kuwa na wabunge wengi, kwa sababu vitu vinavyoonekana haviwekani sasa vitawezekana, sisi ni matajiri tuna ARDHI, WATU kilichokosekana ni SIASA SAFI na UONGOZI BORA