Chadema kitasambaratika baada ya 2015?

Sasa wewe unauliza nini? kwanza CDM haifiki 2015 itakuwa imeshachuja na kupotea kabisa katika ulingo wa siasa hapa Tanzania. Itabaki midomoni mwa wavuta bange na majuha wengine.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".

mvuta bange yupi unaemaanisha Wasira au Lusinde?
 
Sasa wewe unauliza nini? kwanza CDM haifiki 2015 itakuwa imeshachuja na kupotea kabisa katika ulingo wa siasa hapa Tanzania. Itabaki midomoni mwa wavuta bange na majuha wengine.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Jaribu kubadilisha system ya kufikiria maana hiyo unayotumia "MASABURI TYPE" Itakuwa corrupted.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom