CHADEMA kitaaibika vibaya Uchaguzi ujao

CHADEMA kitaaibika vibaya Uchaguzi ujao

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
CHADEMA Uchaguzi wa mwaka 2010 ilifanya vizuri sana si kwamba watu walikubali sera bali baadhi ya wanachama wa CCM walipigia upinzani kwa wagombea wao waliokua wameshinda kura za maoni kuondolewa naa kuwekwa watu wengine mfano ni Mbunge Shibuda. Vilevile Jimbo la Ubungo huo ni mfano tu.

CCM kwa kutambua makosa hayo Kinana amesema wazi atakae Shinda kura za maoni ndie atakua mgombea. idea imefanya kazi Chalinze na Kalenga, CHADEMA walipata kura chache sana. tukirudi ndani ya CHADEMA kuna wabunge kama Zitto, Shibuda, Arfi, Leticia Nyerere hawatakua tena Wabunge katika Majimbo yao na huenda CHADEMA ikayapoeza yote. Ukichanganya na migogoro ya Viongozi wengi pamoja na wanachama kuhamia ACT ni wazi simba amevutwa sharubu zake. Kwa challenge hizi CHADEMA itapoteza Wabunge wengi na Madiwani.

Naona aibu kubwa sana kwa CHADEMA inakuja.
 
tukirudi ndani ya chadema kuna wabunge kama ZITO, SHIBUDA,ARFI,LETICIA NYERERE HAWATAKUA TENA WABUNGE KATIKA MAJIMBO YAO NA HUENDA CHADEMA IKAYAPOEZA YOTE
UKICHANGANYA na migogoro ya viongozi wengi pamoja na wanachama kuhamia ACT NI wazi simba amevutwa sharubu zake.

Huyu Leticia ni mbunge wa jimbo gani? Au unota tu?
 
Sasa kwa nini mnaogopa kuandikisha wapiga kura upya kwa kuboresha daftari? Nyie MaCCM mmeangalia lakini demographic data za watanzania wa 2015 zitakavyokuwa mmegundua vizee vingi vitakuwa vimejifia na vijana wenye nchi tutashika hatamu mnaogopa kutuandikisha. Nisipoandikishwa kura yangu itakuwa TINDIKALI kwa wanaccm majirani zangu. Jino kwa jino
 
hata CCM ipo siku itaaibika vibaya sana,tena wenye CCM (sio wana CCM) watalia kilio cha kusaga meno,maana watakuwa uch kwa kujificha kutakuwa hakuna,watatamani Yesu arudi kuchukua Taifa lake ili wakatupwe Motoni ila haitakuwa hivyo..
 
Mkuu uliyosema hata mie nayawafiki.
katika uchaguzi utakaokuwa challange sana kwa chadema ni uchaguzi wa 2015. Amini usiamini darili zote za kufanya vibaya sana ziko wazi. Hata nikiongea na makada wa cdm wao wenyewe wamesha kata tamaa na mstakabali wa chama.
 
Kwa ulaghai na hila...CCM itaendelea kushinda...maana kwa sasa ni kama wanacheza kamari..wanazungusha shilingi, afu wanaitupia jicho kama wanakonyeza hivi, afu wanaibamiza chini...kisha wanauliza, kichwa ama mkia??

Afu wanajigamba eti huwa wanashinda au watashinda uchaguzi...

Maana kilakitu kiko shaghala baghala..hakuna daftari la wapiga kura, hakuna tume huru, hakuna maridhiano, hakuna mchakato wa pamoja, hakuna muafaka wa kitaifa...tarehe ya kila jambo kubwa la nchi hii wanaijua wao...

wazaramo wana msemo wao wanasema "unapopigana na mwenzako, afu unakwenda kumng'ata kwenye kidonda...ni uoga huo"
 
Acha upumbavu mtoa mada najua una chuki na chadema sababu ya dini yako.
 
Chadema kitashinda vibaya kufuatia muungano wao wa UKAWA.
 
Ilishapata aibu kubwa sana tu hukumbuki wakati wa chopa tatu kata tatu?
 
Back
Top Bottom