CHADEMA Uchaguzi wa mwaka 2010 ilifanya vizuri sana si kwamba watu walikubali sera bali baadhi ya wanachama wa CCM walipigia upinzani kwa wagombea wao waliokua wameshinda kura za maoni kuondolewa naa kuwekwa watu wengine mfano ni Mbunge Shibuda. Vilevile Jimbo la Ubungo huo ni mfano tu.
CCM kwa kutambua makosa hayo Kinana amesema wazi atakae Shinda kura za maoni ndie atakua mgombea. idea imefanya kazi Chalinze na Kalenga, CHADEMA walipata kura chache sana. tukirudi ndani ya CHADEMA kuna wabunge kama Zitto, Shibuda, Arfi, Leticia Nyerere hawatakua tena Wabunge katika Majimbo yao na huenda CHADEMA ikayapoeza yote. Ukichanganya na migogoro ya Viongozi wengi pamoja na wanachama kuhamia ACT ni wazi simba amevutwa sharubu zake. Kwa challenge hizi CHADEMA itapoteza Wabunge wengi na Madiwani.
Naona aibu kubwa sana kwa CHADEMA inakuja.
siasa zinaendeshwa kisayansi sio hoja ya nguvu
nimejiuliza sana...hapo alikuwa anaruka kamba, anacheza ngoma au alikuwa anafanya nini?
Mkuu uliyosema hata mie nayawafiki.
katika uchaguzi utakaokuwa challange sana kwa chadema ni uchaguzi wa 2015. Amini usiamini darili zote za kufanya vibaya sana ziko wazi. Hata nikiongea na makada wa cdm wao wenyewe wamesha kata tamaa na mstakabali wa chama.
CHADEMA Uchaguzi wa mwaka 2010 ilifanya vizuri sana si kwamba watu walikubali sera bali baadhi ya wanachama wa CCM walipigia upinzani kwa wagombea wao waliokua wameshinda kura za maoni kuondolewa naa kuwekwa watu wengine mfano ni Mbunge Shibuda. Vilevile Jimbo la Ubungo huo ni mfano tu.
CCM kwa kutambua makosa hayo Kinana amesema wazi atakae Shinda kura za maoni ndie atakua mgombea. idea imefanya kazi Chalinze na Kalenga, CHADEMA walipata kura chache sana. tukirudi ndani ya CHADEMA kuna wabunge kama Zitto, Shibuda, Arfi, Leticia Nyerere hawatakua tena Wabunge katika Majimbo yao na huenda CHADEMA ikayapoeza yote. Ukichanganya na migogoro ya Viongozi wengi pamoja na wanachama kuhamia ACT ni wazi simba amevutwa sharubu zake. Kwa challenge hizi CHADEMA itapoteza Wabunge wengi na Madiwani.
Naona aibu kubwa sana kwa CHADEMA inakuja.
Mkuu mbona umetupa jiwe gizani wakati unajua kuna nyomi na majengo kadhaa ya kioo?? Hakika utasikia mshindo wa yowe kali sana toka kizani , stay tunned mkuu Assadysyria3
Sijaona kiongozi upinzani wengi wanaharakati na wachumia tumbo tu kelele na fujo ndiyo wanayoweza siyo kingine.
Unajua bhana , ni kawaida sana kwa muongo kama huyu assadsyria kuwa msahaulifu pia .Huyu Leticia ni mbunge wa jimbo gani? Au unota tu?