CHADEMA kitaaibika vibaya Uchaguzi ujao

CHADEMA kitaaibika vibaya Uchaguzi ujao

Hata Mimi Mkuu "darili" zote naziona ziko wazi, lakini pia dalili za CHADEMA kufanya vizuri zenyewe ndo ziko wazi kabisa ukizingatia kundi tarajiwa 2015 halina nasaba na maccm hapo ndo kuna changamoto!

Mkuu uchaguzi wa 2015 utakuwa mgumu na wenye vitimbwi na uonevu mkubwa sana haswa kwa upinzani. Suala la muungano wa vyama vinavyounda ukawa litasaidia kiasi haswa kwa kuachiana majimbo pale mgombea wa chama kimoja anapokubalika zaidi. Hili lazima walifanye kwa umakini mkubwa baada ya kufanya uchunguzi wa kina. Sina wasiwasi na usimamizi wa kura kwa upinzani. Wasiwasi wangu ni reaction ya wananchi baada ya ukawa kususia bunge. Hapa inatakiwa elimu pana kwa wananchi juu ya uamuzi huo maana ccm watalitumia kama mtaji. Hili lielezwe vizuri kipindi cha kampeni. Pia ipo hofu ya uchakachuaji katika kuboresha daftari la wapiga kura. Ufuatiliaji wa karibu ufanywe na upinzani kama hawatakuwa na uwakilishi huko. Ni wazi uchaguzi wa vijiji, vitongoji na serikali za mitaa utakaofanyika Dec. mwaka huu daftari la wapiga kura halitakuwa limeboreshwa. Hapo unategemea upinzani kufanya vizuri? Tuendelee kusubiri ila mambo sio marahisi kihivyo tukielewa nguvu walio nayo ccm kiuchumi na matumizi mabaya ya nguvu ya dola.
 
ccm mlivyokuwa wapuuzi mmeanza kuwa waganga wa kutabiria mabaya CHADEMA kweli nyani haoni kunduni mtahangaika sana ccm mtavyoumbuka hataamini mm nawaembieni ukweli waliopo ccm wapo kwa ajili kuchumia matumbo yao tuu na kupeleka twiga wetu nje
 
chadema uchaguzi wa mwaka 2010 ilifanya vizuri sana si kwamba watu walikubali sera bali baadhi ya wanachama wa ccm walipigia upinzani kwa wagombea wao waliokua wameshinda kura za maoni kuondolewa naa kuwekwa watu wengine mfano ni mbunge shibuda. Vilevile jimbo la ubungo huo ni mfano tu.

Ccm kwa kutambua makosa hayo kinana amesema wazi atakae shinda kura za maoni ndie atakua mgombea. Idea imefanya kazi chalinze na kalenga, chadema walipata kura chache sana. Tukirudi ndani ya chadema kuna wabunge kama zitto, shibuda, arfi, leticia nyerere hawatakua tena wabunge katika majimbo yao na huenda chadema ikayapoeza yote. Ukichanganya na migogoro ya viongozi wengi pamoja na wanachama kuhamia act ni wazi simba amevutwa sharubu zake. Kwa challenge hizi chadema itapoteza wabunge wengi na madiwani.

Naona aibu kubwa sana kwa chadema inakuja.
act na ccm ni marehemu warajiwa ww endelea kujaizia hizo maiti damu
 
CHADEMA Uchaguzi wa mwaka 2010 ilifanya vizuri sana si kwamba watu walikubali sera bali baadhi ya wanachama wa CCM walipigia upinzani kwa wagombea wao waliokua wameshinda kura za maoni kuondolewa naa kuwekwa watu wengine mfano ni Mbunge Shibuda. Vilevile Jimbo la Ubungo huo ni mfano tu.

CCM kwa kutambua makosa hayo Kinana amesema wazi atakae Shinda kura za maoni ndie atakua mgombea. idea imefanya kazi Chalinze na Kalenga, CHADEMA walipata kura chache sana. tukirudi ndani ya CHADEMA kuna wabunge kama Zitto, Shibuda, Arfi, Leticia Nyerere hawatakua tena Wabunge katika Majimbo yao na huenda CHADEMA ikayapoeza yote. Ukichanganya na migogoro ya Viongozi wengi pamoja na wanachama kuhamia ACT ni wazi simba amevutwa sharubu zake. Kwa challenge hizi CHADEMA itapoteza Wabunge wengi na Madiwani.

Naona aibu kubwa sana kwa CHADEMA inakuja.

Leticia Nyerere Ni mbunge wa jimbo gani vile?
 
Tabia za mbwa waoga hubweka sana, adui akimfuata mbwa hukimbia huku kaficha mkia. Ukiona adua anataja matokea ya mshindani wake namna hii ujuwe anajihami, your sub conscious tells you the truth..


CHADEMA Uchaguzi wa mwaka 2010 ilifanya vizuri sana si kwamba watu walikubali sera bali baadhi ya wanachama wa CCM walipigia upinzani kwa wagombea wao waliokua wameshinda kura za maoni kuondolewa naa kuwekwa watu wengine mfano ni Mbunge Shibuda. Vilevile Jimbo la Ubungo huo ni mfano tu.

CCM kwa kutambua makosa hayo Kinana amesema wazi atakae Shinda kura za maoni ndie atakua mgombea. idea imefanya kazi Chalinze na Kalenga, CHADEMA walipata kura chache sana. tukirudi ndani ya CHADEMA kuna wabunge kama Zitto, Shibuda, Arfi, Leticia Nyerere hawatakua tena Wabunge katika Majimbo yao na huenda CHADEMA ikayapoeza yote. Ukichanganya na migogoro ya Viongozi wengi pamoja na wanachama kuhamia ACT ni wazi simba amevutwa sharubu zake. Kwa challenge hizi CHADEMA itapoteza Wabunge wengi na Madiwani.

Naona aibu kubwa sana kwa CHADEMA inakuja.
 
CHADEMA Uchaguzi wa mwaka 2010 ilifanya vizuri sana si kwamba watu walikubali sera bali baadhi ya wanachama wa CCM walipigia upinzani kwa wagombea wao waliokua wameshinda kura za maoni kuondolewa naa kuwekwa watu wengine mfano ni Mbunge Shibuda. Vilevile Jimbo la Ubungo huo ni mfano tu.

CCM kwa kutambua makosa hayo Kinana amesema wazi atakae Shinda kura za maoni ndie atakua mgombea. idea imefanya kazi Chalinze na Kalenga, CHADEMA walipata kura chache sana. tukirudi ndani ya CHADEMA kuna wabunge kama Zitto, Shibuda, Arfi, Leticia Nyerere hawatakua tena Wabunge katika Majimbo yao na huenda CHADEMA ikayapoeza yote. Ukichanganya na migogoro ya Viongozi wengi pamoja na wanachama kuhamia ACT ni wazi simba amevutwa sharubu zake. Kwa challenge hizi CHADEMA itapoteza Wabunge wengi na Madiwani.

Naona aibu kubwa sana kwa CHADEMA inakuja.

ile wimbo wa chadema kitasambaratika kabla ya 2014 umeisha, MMEKUJA NA WIMBO MPYA WA CHADEMA KITAAIBAIKA , MY BELIEVY THE NEXT SONG ITAKUWA CHADEMA KINAENDA IKULU MWA 2015 HUO NDIO UTAKUWA WIMBO WA MWISHO KWA CCM
 
hujui ulichokiandika,mziki wa mwakani wa chadema hutaamini , hao wabunge uliowataja ni wachache mno ukilinganisha na wabunge wapya watakao ingia wa cdm. hao wabunge hawatagombea chadema lakini majimbo yao yatabaki kuwa ya chadema daima
 
CHADEMA Uchaguzi wa mwaka 2010 ilifanya vizuri sana si kwamba watu walikubali sera bali baadhi ya wanachama wa CCM walipigia upinzani kwa wagombea wao waliokua wameshinda kura za maoni kuondolewa naa kuwekwa watu wengine mfano ni Mbunge Shibuda. Vilevile Jimbo la Ubungo huo ni mfano tu.

CCM kwa kutambua makosa hayo Kinana amesema wazi atakae Shinda kura za maoni ndie atakua mgombea. idea imefanya kazi Chalinze na Kalenga, CHADEMA walipata kura chache sana. tukirudi ndani ya CHADEMA kuna wabunge kama Zitto, Shibuda, Arfi, Leticia Nyerere hawatakua tena Wabunge katika Majimbo yao na huenda CHADEMA ikayapoeza yote. Ukichanganya na migogoro ya Viongozi wengi pamoja na wanachama kuhamia ACT ni wazi simba amevutwa sharubu zake. Kwa challenge hizi CHADEMA itapoteza Wabunge wengi na Madiwani.

Naona aibu kubwa sana kwa CHADEMA inakuja.

Daftari la wapiga kura limeboreshwa kwa mara ya mwisho mwaka 2009,ni kichekesho kama CCM mnajivunia ushindi feki wa Kalenga na Chalinze. Kwa taarifa yako upuuzi wa MACCM uneifanya CDM na upinzani kuwa imara kuliko kipindi chochote toka kuanza mfumo wa vyama vingi.Bila kufanya magumashi siioni CCM ikishinda na ndio maana CCM mkisikia watu wanataka daftari la wapiga kura liboreshwe ma...vi yanagonga chupi. Hakika CCM itabaki historia mda si mrefu.
 
Kamanda Assadsyria vipi na wewe ulibadilisha gia angani?

Nini kimekupata bwana wewe!!
 
WW bora unasema cdm ita aibika,,,ccm tunataka kuifuta kbx hp tz na utashuhudia
 
Back
Top Bottom