radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,292
Itarahamwe
itarahamwe """"""""""!!!!!!!
chadema uchaguzi wa mwaka 2010 ilifanya vizuri sana si kwamba watu walikubali sera bali baadhi ya wanachama wa ccm walipigia upinzani kwa wagombea wao waliokua wameshinda kura za maoni kuondolewa naa kuwekwa watu wengine mfano ni mbunge shibuda. Vilevile jimbo la ubungo huo ni mfano tu.
Ccm kwa kutambua makosa hayo kinana amesema wazi atakae shinda kura za maoni ndie atakua mgombea. Idea imefanya kazi chalinze na kalenga, chadema walipata kura chache sana. Tukirudi ndani ya chadema kuna wabunge kama zitto, shibuda, arfi, leticia nyerere hawatakua tena wabunge katika majimbo yao na huenda chadema ikayapoeza yote. Ukichanganya na migogoro ya viongozi wengi pamoja na wanachama kuhamia act ni wazi simba amevutwa sharubu zake. Kwa challenge hizi chadema itapoteza wabunge wengi na madiwani.
Naona aibu kubwa sana kwa chadema inakuja.
itarahamwe """"""""""!!!!!!!