CHADEMA kisisikilizwe tena!

 
 

Hakuna ujumbe hapo ila malalamiko ila unayemlalamikia hujamfikishia malamiko na hao unaowatetea/waliokutuma uwasaidie wawe na haja ya kusonga mbele siyo kung'ang'a visivyowezekana. NDIYO MAANA CRAP
 
In essence the backborne of your argument is fully forked and winded. Why? The CHADEMA legislators your are pointing out to substantiate and sustain your illogical contentous all round condemnation of the oposition leadership are hailing from Kilimanjaro not Mara or Mwanza or Dar es Salaam. In the final analysis and in the absence of Counties in Tanzania, constituences in a region work in tandem to reach party goals if not executive objectives. I would find your observation consummable had the said hail from Kawe and Ubungo!
But the main issue is CHADEMA got a permit and the executive purported to cancel the demonstration contrary to the constitution and political parties act. IGP Mwema usurpt powers he does not have in peace time, even worse he used unorthordical channels unworthy of such a grave infor at the last minute. Please stop the propaganda, Hon. Makamba has enough court jesters.
 
 
 
Haya ndiyo Mwanakijiji anasema "tunapenda majibu mepesi katika maswali magumu................"

Wanasiasa ni MALAYA. Hilo linajulikana kwa kila mtu mwenye KUFIKIRI mbali ya PUA lake.

Katika hao MALAYA, unachotakiwa kutafuta ni yule mwenye NAFUU.

Sasa unafuu wa CCM na CHADEMA wewe unauona wapi?

Kama ukisikia Mwanasiasa anasema "yeye ni Malaika....." basi huyo HAFAI KUWA MWANASIASA.

Fumbuka macho ndugu. Tukiacha Chadema, tuende wapi? Au tupaki na CCM siyo?

Tena CCM ya Kikwete, ya Lowassa, ya Rostam Azziz, ya Chenge, ya Rashid wa Tanesco, ya Mattaka wa ATCL, ya TRCL, ya Airport za Tanzania, ya mashule yasiyo na waalimu, ya maji machafu mbele za nyumba, ya hakuna maji safi, ya foleni za kufa mtu Dar................

Kama ntachagua Malaya, basi mie nachagua Chadema. Ila ukweli ni kuwa wote ni MALAYA.

Mwenye akili kanielewa.
 
 
i don see the point there ur just vomiting aaah
 
Duh! Naona unataka kupindisha bandiko, CCM sio Malaya kabisa tena tuombe radhi! Chadema inajulikana kwa ufisadi kiwembe!
 
 
 
 
Hivi kama spirit ya viongozi na washabiki wa CHADEMA ni kutetea hata yale mabaya yanayofanywa na vingozi wao, chama hiki kitarajiwe kuleta mabadiriko gani katika nchi yetu? Nini kinachokosekana sasa ambacho CHADEMA imedhihirisha kuweza kukileta? Na imedhihirisha vipi?
 

Wenye akili walishaachana na chama hicho..bado wewe unasubiri nini?

Wamebaki wawili watatu..lakini come 2015 watakuwa wameshajitoa ...
 

mimi huwa sipati shida na hawa wakereketwa wa humu, kuna watu wenye vision sana ndani ya CDM na kizazi hicho si hiki cha humu ndani, ukiacha wapuuzi wachache kwenye uongozi wa juu CDM, wapo watu wenye nia njema na nchi hii ndani ya CDM( watu wa kariba ya Zitto, Mnyika, na John Mrema) lakini kwa maslahi ya watu flani hawa watu wamefunikwa na wengine kugeuzwa misukule. Hakuna cha ku construct na akili za akina Mr crap kila kitu kisicho msifia Mtei.
 

kilichokosekana ni upungufu, ufinyu na uwezo wa utendaji wa utawala wa sisiem ..... mabadiliko haya ya kupata utawala ulio na dhamira ya kuleta maendeleo kwa kila mtanzania ndiyo CDM itawaletea watanzania
 
kilichokosekana ni upungufu, ufinyu na uwezo wa utendaji wa utawala wa sisiem ..... mabadiliko haya ya kupata utawala ulio na dhamira ya kuleta maendeleo kwa kila mtanzania ndiyo CDM itawaletea watanzania

Nakupa tena senksi ya hapa, maana umejibu hoja, bado nasisitiza kuna CDM wenye akili humu JF basi tu hawa wachache wanawachafulia.
 
Ze Marcopolo,

Ungeomba angalao darasa la kanuni,taratibu na sheria

Pia,hilo suala la kutaka uongozi wa CHADEMA kujiuzulu nadhani limefunikwa na hisia mfu,uelewa finyu na wingu la kudumaa kifikra ulipoichambua hoja ndiyo maana umefikia kwenye suluhisho.Nikipata muda nitarudi kukuelimisha. Mkuu,hongera kwa kujaribu kujenga hoja au hisia.We know how you feel
 

Crap nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…