CHADEMA kisisikilizwe tena!

Kama tunataka kuwaandaa viongozi wa CHADEMA kuwa viongozi wa taifa wawajibikaji, ni LAZIMA tuwawajibishe kuanzia sasa kwa maamuzi yao yote yanayokosa busara.

Kwanza anzeni kuwajibishana huko huko CCM...
 

Hapo sijakuelewa na wakishajihudhuru??
 

Upupu? Unawasha.


Kweli mtu anatumia muda mwingi na nguvu nyingi sana kuandika upupu na isitoshe ametumia saa nzima kufanya editing ya hiyo crap yake.


Hili Baraza limevamiwa na malimbukeni wa siasa!
 
Kwanza ni upuuzi anaandika huyu bwana! halina hata uhakika na vitu linaandika bc tu akishalewa yanayokuja anaangukia keyboard! HAI waandamane kwa ajili gani? madiwani wa CHADEMA HAI walidanganywa kuwa kuna kikao sehemu flani wakaenda alafu wa ccm wakafanya uchaguzi?? maandamano ya arusha ni pamoja na huo unyama wa kuwaadaa wabungge na madiwani wa CHADEMA kuwa kuna kikao olasiti na madiwani wa ccm kufanya uchaguzi wa meya bila hata aibu!! alafu unakuja kutuandikia LOVE STORY huku! naomba msichokoze watu









MANY HANDS MAKE THE LOAD LIGHTER
 
mtu anayetoa maoni kama haya ya propaganda kuilinda ccm bila kuangalia upande mwingine ama amepewa vihela vya kujikimu na kuuza utu wake au ana mtindio wa ubongo maana haelewi. wewe umepata hela au upo mentally challenged?

Hii siyo propaganda. Nimegundua kuwa hata wana JF tumechagua tabia ya kuacha kuwa critical thinkers. Lakini nawaahidi kuwa I wont give up on JF members. Nitaendelea kusema maovu yote ninayoyaona.
Kama wewe unaona ni sahihi kwa chama ambacho unataka kiongoze nchi unayoipenda kuwa na viongozi ambao wanafanya maamuzi yasiyofaa na yenye madhara kwa taifa basi wewe ni sehemu ya wajibu wangu - nitatumia maarifa yangu kukujulisha kuwa hilo siyo sahihi. Kama tunaamini kuwa CHADEMA ina nafasi ya kuongoza nchi ni LAZIMA tuwawajibishe viongozi wake, kila wanapoonyesha dalili za kuweka busara pembeni.
 
Pombe bila chakula ni noma!
 
Inawezekana wewe hujui kuwa wajumbe toka CHADEMA walisusia mkutano wa kuchagua meya. Jambo hilo maana yake ni kwamba jiji la Arusha lisiwe na meya. Mkurugenzi hakuruhusu hali ya jiji la Arusha kushindwa kuwa na meya. Nampongeza kwa uamuzi huo. Je, wajumbe wa CHADEMA walikuwa na sababu ya msingi kususia uchaguzi huo wa meya?
 
Baba ake ni ''kada sugu''(KOMREDI) wa chama cha mapinduzi kwaiyo usishangae kuona kijana kama huyu anayejua fika mambo yanayoendele nchini akijarbu kupoteza ukwel wa mambo.Wewe na Makamba a.k.a makatani hamna tofauti!
 


wewe ni m*w*ehu tu.

umechelewa.

WaTz tunajua muyawazayo hata kabla hamjayatamka.

haturudi nyuma!!
 

Kama Raisi wao hana chakufanya kazi kuhudhuria misiba, arobaini, birthday ma kufungua shule za chekechea. Je unafikiri mwanachama kama huyu ndo atakuwa na chakufanya.
 
Kiongozi,
hii ndio JF ya siku hizi mara CHADEMA inapoambiwa ukweli. Hata hivyo tuendelee kukumbushana wajibu wetu kama raia wema.
 
Hili Baraza limevamiwa na malimbukeni wa siasa!

badala ya kuchangia hoja..., umeonyesha ulimbukeni uliokithiri kwa kugonganisha michango ya members ambao hujui walichangia wakiwa katika nyakati na hisia za aina gani....

ni vyema tungepata uhodari wako kwa kusikia una support au una condemn hoja au hauchangii kabisa....ukimalizia kwa kutoa ushauri.... kama mwanasiasa hodari ndio nyinyi.., basi ninaamini kabisa nchi hii inaangamia kwa ulimbukeni wa wanasiasa wa chama tawala kudanganywa na mafisadi wachache kwa manufaa yao..... ndugu yangu.. hakuna chenye mwanzo kisichokuwa na mwisho.....mpanda ngazi hushuka..,. hofu ya watawala, familia zao na wapambe wao imekuwa kubwa sana hapa nchini kiasi cha kutumia mbinu nyigi sana ikiwamo chuki za udini..kuvuruga amani katika vyama vya siasa vya upinzani kwa kutumia pesa nyingi huku wananchi wanakosa huduma muhimu kama za afya na kuishi katika mazingira magumu... hili linafanyika makusudi wakijua kwamba pale mzalendo mwananchi atakapopata haki zake anazostahili katika maendeleo ya nchi yake basi mianya ya wizi na dhuluma ndio itakua imefikia tamati..... jirudini ndugu zangu kwani hizo kebeli zenu na dharau kwa wavuja jasho zisisubiri hukumu ikitimia ..., katiba mpya ndio wakati wa kumpatia mzalendo uhuru na demokrasia halisi
 
ilikuwa siku haijaisha kabla ya wewe kuja kujaza mahaba upofu yako hapa.


mkinya -- chadema.

mkitoa mashuzi -- chadema.

mafisadi wakinya wakaamuru mka-flashi -chadema


mkijikojolea kitandani -- chadema

polisi wenu wakiua --- chadema

chadema chadema

inahu??
 

Nimeipenda hii sana :
Kama tunataka kuwaandaa viongozi wa CHADEMA kuwa viongozi wa taifa wawajibikaji, ni LAZIMA tuwawajibishe kuanzia sasa kwa maamuzi yao yote yanayokosa busara.
 
Tusiwasikilize Chadema? Hata pale walipoibua
issue ya EPA? Tusiwasikilize,Mbona Ccm walipinga issue ya EPA baadaye wakakubali mbona Jakaya hajaomba radhi?
Ccm imefanya Blunder ngapi,Wht abt Dowans? Mbona Jakaya hawajibiki wala hawajibishi,wht abt RITES,MEREMETA,KAGODA et all,Mbona hajawajibisha mtu kikamilifu!!

Nikitaka kuorodhesha mambo ambayo Ccm inatakiwa kuwaomba radhi watanzania Server ya JF ITAJAM!
Acha Siasa Nyepesi,Unataka tuisikilize Ccm? U must be mentally Ill!
Cc watz wa kawaida tumejua mambo mangapi maovu kwa sbb ya Chadema,so many things that couldnt hv come to light if it wasnt for Chadema!
Vurugu za Arusha zimesababishwa na Ubabe wa Serikali ya Ccm,Period! Tumeona Video several times!
If u aint get shit to write u had better shut ur bloody stinking mouth!!
Thats what we call Cheap Politics!!!
Kwani Kamanda wa Polisi wa A town atoe kibali then Mwema frm nowhere aje atengue tena kwenye Media? Hayo mambo ya Wajumbe sio kiini cha Matatizo yale,nevertheless u are entitled to ur bloody opinion,uzuri ni kwamba watanzania wengi hawa-acess net so ths crap of urs wont go anywhere!!!
Kwani ile Nguvu iliyotumika kupiga unarmed Wabongo ingetumika kuwalinda watu wasifanye fujo yale mauji yangetokea?
Hapo sasa nani wa kulaumiwa zaidi ya Polisi na Bwana wao aliyewaamrisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…