Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 59,020
- 103,415
Sasa mkuu uliona wapi kitu cha maabara kikawa feki
Mkuu nakupa pole, inaonekana unaongea nadharia tu bila kujua unaongea nini. Sasa hivi hapa nchini kumejaa vifaa fake kuanzia vya maabara, maofisini, majumbani nk. Sasa kama kuna dawa fake ndio utakosa vifaa fake vya maabara? Kumbe muda wote naongea na wewe nadhani unajua uhalisia kumbe unazungumza nadharia. Si bure hata hili bandiko lako liko kihisia, na ndio maana unaongelea wachina kama watu wa maana, bila kujua Uchina ya sasa sio ile ya wajamaa bali imekuwa na tabia za kibepari tena usiojali hata haki za binadamu. Mwanzo niliona ni mjenga hoja mzuri kwenye post mbalimbali na nilikuheshimu kwa hili japo tunatofautiana mitazamo, lakini kwa bandiko hili nimekuona mwepesi mno kuliko nilivyodhani.