Aristides Pastory
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 348
- 60
Hili neno MM. nafkiri kuwa sayansi mojawapo ni kujua mfano kama uchaguzi ungekuwa leo CDM ingepata kura ngapi dhidi ya zile za CCM na vyama vingine. Kisha tutafute maana ya hizo kura na jinsi tunavoweza kujipanga kuongeza kura zaidi, sanaa maana yake ni zile njia za kukifanya chama kionekane chafaa mbele ya wtz walio wengi. hiyo itafanyika katika kampeni na propaganda. katika sanaa ni vema kuepuka kuonekana cdm ni chama cha vurugu na kuwahakikishia watz kuwa ndo chenyewe kitakachowakomboa. hapo twaweza sema siasa ni sayansi na sanaa. kama nimekosea nakubali kusahihishwa
Cha msingi ninachokiona ni kwa CDM kuendelea na kampeni yake ya M4C baada ya tishio la pale Nyololo. Kazi iliyo mbele bado ni kubwa. Wanaopiga kura ni mashabiki na ndio wanaokipa chama ushindi na si lazima wawe wanachama wenye kadi. Ushawishi (influence) ni wa muhimu sana. Ushawishi wa M4C ulikuwa unatisha na ndo ikabidi usimamishwe na watawala kwa gharama yoyote. CHADEMA inukeni tena!
Hadi mwaka 2010 Chama cha Mapinduzi kilikuwa na wanachama takribani milioni tano kwa mujibu wa alkiyejuwa katibu mkuu wakati ule Bw Yusuph Makamba. Idadi hii ni ongezeko kutoka wanachama milioni tatu hivi waliokuwepo mwaka 2000. Ili kuweza kuelewa mwelekeo wa chama kikuu cha upinzani nchini na hasa kukubalika kwa ajenda yake ni vizuri kujiuliza CDM sasa hivi sasa wanachama wangapi wente kuveba kadi? Na wanachama hawa wametawanyika vipi katika nchi yetu?
Yani unataka kuwa baby kiss CCM? ni lini CCM ilitangaza kwamba imechoka kutawala sasa inahitaji chama mbadala!!umeandika kitu cha msingi zaidi. Naomba uongozi makao makuu ubadili strategic zao za kushinikiza, kulazimisha au kuonyeshana ubavu na dola badala yake sera za ukombozi wa kweli ndiyo zihamasishwe kila kona ya Taifa hili.
nkuu, hayo uliyosema kuhusu CCM ndo sanaa na sio sayansi, katika sanaa hiyohiyo CDM kinatakiwa kuonyesha si cha vurugu bali ccm ndicho cha vurugu.CDM haijawahi onyesha ni chama cha vurugu japo CCM imejitahidi sana kuipaka CDM kuwa hivyo mwisho wa siku CCM inaonekana ni hatari zaidi kuliko CDM na hiki kinajionyesha wazi hasa kwa matukio ya hivi karibuni ya nguvu nyingi iliyotumika dhidi ya demokrasia....Kama nawe unafanya spinning ili ku amplify hii dhana pengine nitakuelewa otherwise mtu yeyote hata awe mtoto hawezi amini ni vipi CDM wafanyiwe hayo yote na bado wakae kimya then uwaite eti ni chama chenye vurugu...
Idadi ya wanachama wa chama cha siasa (siyo mashabiki) inaweza kujulikana to almost exact figures.
a. Mwanachama anapojiunga analipia kadi kwenye tawi lake
b. Kila tawi lina orodha ya wanacham wake
c. Mwanachama akihama tawi kuna utaratibu kuwa kule anakoenda atajiunga na tawi jipya na rekodi zitaonesha hivyo
d. Kila tawi linatuma idadi ya wanachama wake makao makuu
e. Kuna utaratibu wa kuupdate idadi ya wanachama (wanaoingia na kutoka)
f. Kwa kuangalia idadi hizo unaweza kuona movement ya wanachama na kupata demographia ya wanachama wako (vijana, wazee, kina mama, mijini, vijijini n.k).
g. Kulipa ada za kila mwezi za chama. Mfumo mbaya ni kulipa kwa mwaka! Ni vizuri kuweka quarterly fees ili kila baada ya miezi mitatu walio wanachama (loyal party members) wanaenda kulipa ada zao. Hii inakupa mwanga.
h. censored.
Sasa kujua hili la wanachama ni kuijua base yako. Huwezi kujenga chama kwa kutegemea independents au undecided voters. Ni kwa kutegemea your core supporters ndio chama kinaweza kusimama.
Kama kweli wewe Mwanakijiji ni Man of his words, ulishindwa vipi kutumia busara hizi kwa chama chako cha CCJ na kikashindwa kufanyiwa uhakiki na kikafa kabla ya kusajiliwa, is this simple Mathematics kama unavyotaka kutuaminisha wakati wewe mwenyewe uliferi kwenye hili?Idadi ya wanachama wa chama cha siasa (siyo mashabiki) inaweza kujulikana to almost exact figures.
a. Mwanachama anapojiunga analipia kadi kwenye tawi lake
b. Kila tawi lina orodha ya wanacham wake
c. Mwanachama akihama tawi kuna utaratibu kuwa kule anakoenda atajiunga na tawi jipya na rekodi zitaonesha hivyo
d. Kila tawi linatuma idadi ya wanachama wake makao makuu
e. Kuna utaratibu wa kuupdate idadi ya wanachama (wanaoingia na kutoka)
f. Kwa kuangalia idadi hizo unaweza kuona movement ya wanachama na kupata demographia ya wanachama wako (vijana, wazee, kina mama, mijini, vijijini n.k).
g. Kulipa ada za kila mwezi za chama. Mfumo mbaya ni kulipa kwa mwaka! Ni vizuri kuweka quarterly fees ili kila baada ya miezi mitatu walio wanachama (loyal party members) wanaenda kulipa ada zao. Hii inakupa mwanga.
h. censored.
Sasa kujua hili la wanachama ni kuijua base yako. Huwezi kujenga chama kwa kutegemea independents au undecided voters. Ni kwa kutegemea your core supporters ndio chama kinaweza kusimama.
Kuna mambo fulani fulani ukiyaangalia kwa juu juu ndani ya CDM utadhani yako sawa lakini kunatatizo
Haya anayouliza Mwanakijiji yanaweza kuwa porojo kwa upofu wa mahaba ya kupitiliza ya vyama vyetu lakini yana mantiki yake.
VINGINEVYO CDM WAACHE KABISA KUTENGENEZA NA KUGAWA KADI KWA MBWEMBE MAJUKWAANI NA OFISINI WAKATI HAAJUI HATA IDADI YA WANACHAMA WAO
Heri yako uliyeweza kutumia jicho la tatu kuliona hili, kuna watu wanataka kutuaminisha kwamba kila mbinu inayotumiwa na CCM basi na Chadema iige hili si kweli hata kidogo.Where are you people heading to? Mahaba si sehemu ya mapenzi kuna tatizo gani kama unayempenda wataka kumwonyesha mapenzi yako? CDM walitengeneza kadi lini na kuzigawa? Kama mna details hizo zote mbona la kupata idadi ya wanachama ni rahisi kuliko hili la kujua hayo yaliyofanywa na CDM kwa hao waliotengenezewa kadi?....Is there anything behind which I dont know? Mbona nguvu kubwa hivi ya upotoshaji? Hizi sauti za nyikani zinatengeneza mapito ya masihi gani anayetarajiwa?
Inapofika hapa nasimama peke yangu kupinga na nitawapinga bila kuangalia sura zenu bila kujali mna nguvu gani nikiwa na uhakika you all are going to fall in ditches you now dig for others to fall....
Kama kweli wewe Mwanakijiji ni Man of his words, ulishindwa vipi kutumia busara hizi kwa chama chako cha CCJ na kikashindwa kufanyiwa uhakiki na kikafa kabla ya kusajiliwa, is this simple Mathematics kama unavyotaka kutuaminisha wakati wewe mwenyewe uliferi kwenye hili?
Maswali yangu hayamaanishi kwamba Chadema haijui idadi ya Member wake, mimi si mseamji wa chama hicho kama wapo Wahusika na wakiona kuna ulazima huo basi watatngaza wenyewe.
Idadi ya Wanachama wa Chadema kama iko kwenye Data base nzuri basi wakae nayo wenyewe kwa record za kichana, adui hapaswi kujuwa uwezo wako.
Kwa wale wanaoipenda Chadema kimashaka na kuikosowa kama MM nawaomba sasa ushauri wao u base kwenye Chadema kuwa na TV yake na masafa yake yafike mpaka vijijini na hiyo ajila wapewe vijana kutoka vyuo vikuu wenye maarifa mapya.
Na binafsi sitaki kusikia tena eti Mnyika ndio Msemaji wa Chama kwa sababu dhaifu tu kwamba anajitolea na hailpwi huu ni utoto, Chadema haina namna yoyote ya kukwepa matumizi ya pesa kwa siasa za Tanzania zilivyo.
Majibu mepesi kwa maswali magumu!! haya bwana .......Hilo la CCJ mbona rahisi sana; unadhani ni kwa sababu ya kukosa wanachama au kwa sababu ya woga wa CCM kuipa CCJ usajili kabla tu ya uchaguzi mkuu? Ni somo la wakati mwingine lakini halielezei au kujibu swali lilipo.
Heri yako uliyeweza kutumia jicho la tatu kuliona hili, kuna watu wanataka kutuaminisha kwamba kila mbinu inayotumiwa na CCM basi na Chadema iige hili si kweli hata kidogo.
Sababu kuu ya CCM kutangaza hadharani na kuclaim kwamba ina wanachama millioni 5 ilikuwa ni kuhararisha uharamia ambao ulikuwa umepangwa na CCM kumrudisha madarakani JK kinguvu, kwa Synovate walishalipwa pesa na Ikulu kwa ajili ya kufanya research ya uungwaji mkono wa JK na repoti iliyopelekwa ikaonekana JK hawezi kushinda.
Hapo ndipo zikaanza tafiti za kitapeli zikiwajumrisha wasomi waliofirisika akili kama Benson Bana na kutowa takwimu za uongo ili kuhalaisha JK kurudi madarakani.
Idadi ya Wanachama wa Chadema kama iko kwenye Data base nzuri basi wakae nayo wenyewe kwa record za kichana, adui hapaswi kujuwa uwezo wako.
Kwa wale wanaoipenda Chadema kimashaka na kuikosowa kama MM nawaomba sasa ushauri wao u base kwenye Chadema kuwa na TV yake na masafa yake yafike mpaka vijijini na hiyo ajila wapewe vijana kutoka vyuo vikuu wenye maarifa mapya.
Na binafsi sitaki kusikia tena eti Mnyika ndio Msemaji wa Chama kwa sababu dhaifu tu kwamba anajitolea na hailpwi huu ni utoto, Chadema haina namna yoyote ya kukwepa matumizi ya pesa kwa siasa za Tanzania zilivyo.
Matola sijui nisemeje...Kweli I wonder why people wanataka kuikatisha CDM tamaa wakati wengi wamejenga matumaini yao kuwa mambo sasa ya hawa wasanii yanafikia mwisho....Yes CDM inaweza kuwa inakosea lakini mbona CDM haijafunga milango ya watu kuingia na kufanya whats appropriate?
Uzuri na ubaya wa chama unatokana na wanaokiunda..Kama hatutaki kuwa sehemu ya wale watakaoleta mabadiliko ni bora tuka kaa kimya na kuangalia wanavyoanguka kuliko kushiriki kusukuma kianguke..Kila wazo jipya lina mapungufu na editting isipofanyika haliwezi kuwa fine...Pia editors hata wawe critical namna gani hawawezi kubeba ujiko wa originals maana hao walianza from nothing to something..Hiyo something kuifanya ipate umbo na sura kamili inaweza chukua resources zako zote na pengine muda wako wote duniani..Lakini wale watakao kuja kupolish na kuweka semantics wanaweza fanya hivyo every after one second sijui kwanini hili lina kuwa gumu kueleweka na wengi wetu....
It was difficult for CDM kupenetrate ngome za CCM kuliko kuadd into from where they are now inn...Na timing na resources zitakuwa kidogo zaidi kuliko ilivyo kwanza....
Tukitaka kufanya Fair Judgement, Mwanakijiji hana Credibility yoyote ya kuiongelea Chadema hasa ukizingatia wakati Chadema ndio kinakubalika kwa Watanzania yeye akawa yuko bize kugawanya watu ili wajiunge CCJ.Matola sijui nisemeje...Kweli I wonder why people wanataka kuikatisha CDM tamaa wakati wengi wamejenga matumaini yao kuwa mambo sasa ya hawa wasanii yanafikia mwisho....Yes CDM inaweza kuwa inakosea lakini mbona CDM haijafunga milango ya watu kuingia na kufanya whats appropriate?
Uzuri na ubaya wa chama unatokana na wanaokiunda..Kama hatutaki kuwa sehemu ya wale watakaoleta mabadiliko ni bora tuka kaa kimya na kuangalia wanavyoanguka kuliko kushiriki kusukuma kianguke..Kila wazo jipya lina mapungufu na editting isipofanyika haliwezi kuwa fine...Pia editors hata wawe critical namna gani hawawezi kubeba ujiko wa originals maana hao walianza from nothing to something..Hiyo something kuifanya ipate umbo na sura kamili inaweza chukua resources zako zote na pengine muda wako wote duniani..Lakini wale watakao kuja kupolish na kuweka semantics wanaweza fanya hivyo every after one second sijui kwanini hili lina kuwa gumu kueleweka na wengi wetu....
It was difficult for CDM kupenetrate ngome za CCM kuliko kuadd into from where they are now inn...Na timing na resources zitakuwa kidogo zaidi kuliko ilivyo kwanza....
Si lazima haya tunayoyapigania leo mafanikio yake tuje kuyashuhudia kwa macho, tunaweka Foundation ya nchi Historia itajiandika yenyewe kwamba watoto zetu wakati wanakula matunda tunayopigania leo watajuwa kwamba Baba zao tulikataa katakata kutiwa vidole vya makalioni na Watawala.Nyie endeleeni kuwapamba kwa mashada ya majani na kuwapaka mafuta kwa mgongo wa chupa mkidhani mnawasaidia. Watengenezeeni udhuru wa kila namna ya kwanini hawakufanya vizuri sasa na kwanini hawakufanya vizuri 2010 au kwenye zile chaguzi za diwani zilizopita. Mjiandae kuwatengenezea udhuru mwingine wakikosa kufanya vizuri 2015.. na 2020. Mtakuja kushtuka sote tunawajukuu na vitukuu huku CCM kizazi cha nne kikiwa kimeshika hatamu ya madaraka.