WanaJF,
Kwa masikitiko makubwa sana nieleze tu kuwa, CHADEMA kimezidi kupoteza wanachama wake wengi hivi karibuni hali inayopelekea ku kufanya chama hicho kupoteza sifa ya kuwa chama kikuu cha upinzani nchini.
Kwa mujibu wa viwango vya kimataifa kwenye masuala ya kisiasa, chama kikuu cha upinzani ni kile ambacho kina wanachama walau nusu ya idadi ya wanachama wa chama tawala!.
Takwimu ya idadi ya wanachama kwa mujibu wa ripoti:
...CCM hadi kufikia March 20 ilikuwa na wanachama 7,892,453.
...CHADEMA hadi kufikia March 20 ilikuwa na wanachama 456,227.
...ACT hadi kufikia March 20 ilikuwa na wanachama 124,567. Baada Zitto kuingia ACT, wanachama waliongezeka hadi kufikia 259,548 sawa na ongezeko la asilimia 100.
...Idadi ya wanachama wote wa CUF, TLP, NCCR na UDP ni sawa na idadi ya wanachama wa CHADEMA.
...Kwa mujibu wa viwango vya kimataifa, CHADEMA kwa sasa ni chama kilichounda kambi ya upinzani bungeni. Lakini hakina sifa ya kuitwa chama kikuu cha upinzani nchini.[/QU
Hammida Dada a.k.a (HAMMY D) mbona unaweweseka dada tulia dawa ikuingie.
mods wenyewe cjui nawaonaje cku hz,
madawa ya kulevya ni tatizo sana nchini!
Kutokana na mfumo wa RUSHWA, wanachama wa CCM huwa wanaongezeka kipindi cha uchaguzi wa ndani, kumpata mgombea ubunge na udiwani,Hadi mwaka 2010 Chama cha Mapinduzi kilikuwa na wanachama takribani milioni tano kwa mujibu wa alkiyejuwa katibu mkuu wakati ule Bw Yusuph Makamba. Idadi hii ni ongezeko kutoka wanachama milioni tatu hivi waliokuwepo mwaka 2000. Ili kuweza kuelewa mwelekeo wa chama kikuu cha upinzani nchini na hasa kukubalika kwa ajenda yake ni vizuri kujiuliza CDM sasa hivi sasa wanachama wangapi wente kuveba kadi? Na wanachama hawa wametawanyika vipi katika nchi yetu?
Idadi ya wanachama wa chama cha siasa (siyo mashabiki) inaweza kujulikana to almost exact figures.
a. Mwanachama anapojiunga analipia kadi kwenye tawi lake
b. Kila tawi lina orodha ya wanacham wake
c. Mwanachama akihama tawi kuna utaratibu kuwa kule anakoenda atajiunga na tawi jipya na rekodi zitaonesha hivyo
d. Kila tawi linatuma idadi ya wanachama wake makao makuu
e. Kuna utaratibu wa kuupdate idadi ya wanachama (wanaoingia na kutoka)
f. Kwa kuangalia idadi hizo unaweza kuona movement ya wanachama na kupata demographia ya wanachama wako (vijana, wazee, kina mama, mijini, vijijini n.k).
g. Kulipa ada za kila mwezi za chama. Mfumo mbaya ni kulipa kwa mwaka! Ni vizuri kuweka quarterly fees ili kila baada ya miezi mitatu walio wanachama (loyal party members) wanaenda kulipa ada zao. Hii inakupa mwanga.
h. censored.
Sasa kujua hili la wanachama ni kuijua base yako. Huwezi kujenga chama kwa kutegemea independents au undecided voters. Ni kwa kutegemea your core supporters ndio chama kinaweza kusimama.
Sijui umesoma shule gani na umekula maharage gani mkuuWanaJF,
Kwa masikitiko makubwa sana nieleze tu kuwa, CHADEMA kimezidi kupoteza wanachama wake wengi hivi karibuni hali inayopelekea ku kufanya chama hicho kupoteza sifa ya kuwa chama kikuu cha upinzani nchini.
Kwa mujibu wa viwango vya kimataifa kwenye masuala ya kisiasa, chama kikuu cha upinzani ni kile ambacho kina wanachama walau nusu ya idadi ya wanachama wa chama tawala!.
Takwimu ya idadi ya wanachama kwa mujibu wa ripoti:
...CCM hadi kufikia March 20 ilikuwa na wanachama 7,892,453.
...CHADEMA hadi kufikia March 20 ilikuwa na wanachama 456,227.
...ACT hadi kufikia March 20 ilikuwa na wanachama 124,567. Baada Zitto kuingia ACT, wanachama waliongezeka hadi kufikia 259,548 sawa na ongezeko la asilimia 100.
...Idadi ya wanachama wote wa CUF, TLP, NCCR na UDP ni sawa na idadi ya wanachama wa CHADEMA.
...Kwa mujibu wa viwango vya kimataifa, CHADEMA kwa sasa ni chama kilichounda kambi ya upinzani bungeni. Lakini hakina sifa ya kuitwa chama kikuu cha upinzani nchini.[/QU
Hammida Dada a.k.a (HAMMY D) mbona unaweweseka dada tulia dawa ikuingie.
Chadema hawapendi ushauri,wanajifanya wanaijua siasa..kuna sehemu hadi leo hawajafika wanakimbilia ulaya na usa..ili walipane per diem nene.
Kusini uko kuna maeneo walisikia tu cdm walipita kisingizio msiba wa Makani au bajeti haitoshi, ila bajeti ya kufanya mikutano Arusha haikosekani.
Matokeo ya udiwani ni ujumbe mzuri kwa ukaidi wao.
... Katibu Mkuu wake ana Kadi ya CCM
Sasa kumbe unajua majibu, Umeulizia nini ?Hilo si jibu mkuu.