Leo hii katibu mkuu wa cdm mh Dr Mashinji atakuwa anahutubia mkutano mkuu wa mwaka wa chama rafiki cha CPP nchini Denmark kuhusu demokrasia na maendeleo,wakati hapa nyumbani tunapigwa pinView attachment 406513
Inaonekana hata hicho chama hukielewi. Wewe umekalia kumsifia Mashinji na kukimbiza uzi ili upate posho. Soma vizuri historia na mrengo wa hicho chama kwanza.
Inaonekana hata hicho chama hukielewi. Wewe umekalia kumsifia Mashinji na kukimbiza uzi ili upate posho. Soma vizuri historia na mrengo wa hicho chama kwanza.
Kwa uelewa wako mana unasema fisadi ila hujui alifisadi nini kwa vile wewe ni kibwengo unafatisha ya vichaa wenzio..tafuteni hela muache kujadili msiyoyafahamu