CHADEMA, Kikwete uso kwa uso 27th Nov 2011

CHADEMA, Kikwete uso kwa uso 27th Nov 2011

Status
Not open for further replies.
c24.jpg


picha kwa hisani ya michuzi. Kaazi kwako.
 
Kama ni kweli EL ana mpango wa kuhamia CDM,

Basi JK itabidi ampiku kwa kuwakubalia mapendekezo yao otherwise mambo yanaweza kuja kumgeuka jumla,hivi anajuwa EL ana nguvu kuliko yeye ndani na nje ya chama cha magamba.

Sio kwamba EL ana nguvu ni udhaifu au management style ya JK ndio unamfanya ajione na nguvu.
 
Naona Slaa katoroka kikao ..mwanzoni alikuwepo kwenye list..hawezi siasa za uso kwa uso ila mafichino
 
LAT namuona kwenye picha. nafikili ataenda chooni kutulushia kidogo.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Sio kwamba EL ana nguvu ni udhaifu au management style ya JK ndio unamfanya ajione na nguvu.

KABISA!!

EL ana nguvu gani!! Amekutana na Characterless, weak and feeble driven management of JKikwete and is taking all the advantages which of course wont take him anywhere in the END!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom