Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Ile kesi ya kipumbavu iliyokuwa inasimamiwa na mkuu wa Wilaya John Mongella na mkuu wa Mkoa wa Arusha wakidai naibu meya Msoffe na na diwani wa Levelosi mhe. Nanyaro waliwapiga mgambo na kuwabaka imefutwa baada hakimu kusema ni kati ya kesi za kipuuzi kuwahi kufunguliwa mahakamani hapo.
Ikumbukwe mkuu wa mkoa wa Arusha tarehe 07.08.2014 akiongea na vyombo vya habari alisema lazima madiwani hao washilishwe adabu ili iwe fundisho kwa viongozi wengine.
Hongera CHADEMA, Hongera Nanyaro na Msoffe.