CHADEMA kidedea tena Arusha

CHADEMA kidedea tena Arusha

Kwa kuwa kuna mahakimu dhaifu wanaotumiwa na ccm,ndiyo unataka panapotokea mahakimu waadilifu wasitoe appreciations? Au kwa kuwa kuna mahakimu watenda haki, ndiyo unataka kwa mgongo wao wawasifie hata wale mnaowatumia kuhujumu? CDM siyo mbumbumbu kama ccm msiokuwa na uwezo wa kufanya kuchambua hoja.

For CDM, a spade shall never be a big spoon. PERIOD!.




Misukule wa CHADEMA mna vituko sana.
Siku mabwana zenu wakishinda kesi mnaisifia mahakama na mahakimu. Wakishindwa mnaanza kulalamika kuwa mahakama zinatumika na CCM. Akili zenu bado kupevuka.
 
Ati nini? CDM kambaka ccm? ndivyo mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa wanavyoota kila siku usiku na mchana kutafuta kesi za kipumbavu. Ningekuwa mimi ndio kati yao wawili hao ningejiuzuru hapohapo.
 
People's ssssss 😛eace😛ower rrrrrrrrrrr
 
mkuchika.JPG
 
Leo mnawapongeza Mahakimu kwa vile wamefanya mnachokipenda? Kweli machadema ni mataahira
Mbona haueleweki? Ina maana wewe ukifikiri hiyo kesi ilikuwa ni ya kweli? Na kama ni ya kweli mbona waliofungua hawakuonekana mahakamani? Au shida ni ushabiki unakusumbua? Sasa si bora ukae kimya,maccm mnajitoaga sana akili na kama siyo polis inawasaidiaga pamoja na tume yenu msinge kaa mshinde ktk uchaguzi.
 
Nanyaro tutakuhukumu huku huku mtaani kwa kichapo . Jiandae
 
Ile kesi ya kipumbavu iliyokuwa inasimamiwa na mkuu wa Wilaya John Mongella na mkuu wa Mkoa wa Arusha wakidai naibu meya Msoffe na na diwani wa Levelosi mhe. Nanyaro waliwapiga mgambo na kuwabaka imefutwa baada hakimu kusema ni kati ya kesi za kipuuzi kuwahi kufunguliwa mahakamani hapo.

Ikumbukwe mkuu wa mkoa wa Arusha tarehe 07.08.2014 akiongea na vyombo vya habari alisema lazima madiwani hao washilishwe adabu ili iwe fundisho kwa viongozi wengine.

Hongera CHADEMA, Hongera Nanyaro na Msoffe.
Hayo ni maneno ya mvuta bangi si hakimu acha kumsingizia! Weka hapa nakala ya hukumu uumbuke!
Leo mnawapongeza Mahakimu kwa vile wamefanya mnachokipenda? Kweli machadema ni mataahira

Leo Mahakama na mahakimu wanasifiwa kwa kuwa hukumu imelalia upande wao!
 
Haki haijawahi kushindwa
Ukweli haujawahi kushindwa.
Huu ni ushindi kwa wanaonyanyaswa na kuonewa na mfumo kandamizi wa maharamia.
Mwenyenzi Mungu ni mkuu sana'mapambano yanaendelea
 
Wapo watu ambao wanauwezo wakutenda kaz kwa uwezo wa elimu yao waliyopa na wapo ambao wezo huo wanao ila huwa wanalazimishwa na mazingira ya utawala tulionao lakini haohao huwa inafika muda wanajiamini na kusema sasa tumechoka na iwebaaaac nawaomba na watendaji wengine muwe na ujasili kamahuo Hongera Mheshimiwa Hakimu Hongera CDM Hongera wana wa Arusha.
 
Back
Top Bottom