Chadema katiba inaruhusu?

Chadema katiba inaruhusu?

afsa

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
1,986
Reaction score
1,593
Sijawahi kubahatika kuisoma katiba ya chadema, ni kweli katiba hairuhusu mwanachama kugombea zaidi ya mara mbili nafasi ya urais? Na je ni kweli katiba ya sasa kama haitabadilishwa itamzuia mh. Zitto z. Kabwe kuwania nafasi ya urais 2015? Kama haya ni ya kweli nani mwenye uhalali wa kuwania nafasi ya urais ; mh. Zitto z. Kabwe au dr. Slaa? Wana jf tafadhari natamani kufahamu maana kila nikitafakali sipati jibu.
 
Katiba ya Chadema iko kwenye website yao, fungua usome acha uvivu.
 
Back
Top Bottom