Chadema jipangeni kuchukua jimbo la Sengerema

Hivi kwenye hii serikali kuna waziri boga kama Ngeleja? ila si Sengerema peke yake Manyoni mashariki
kuna boga moja linaitwa J. Chiligati wana manyoni hawataki kumsikia,hivyo Chadema ijiandae kuchukua
jimbo pia.
 
Rafiki yangu Ngeleja atakiona kilichomtoa kanga manyoya. Awaulize Masha na Diallo.
 
Hapa inabidi elimu ya uraia kwa wapiga kura ndo uwe wimbo wa jimbo kwa wakazi wa sengerema.Maana huku maeneo ya vijijini hasa vijiji vya ndani ndani bado inahitajika kazi ya ziada.CDM ihakikishe kwamba kila kijiji,mtaa na vitongoji vyake kuna mashina ya CDM,hasa ukanda wa mwambao wa ziwa victoria,CHIFUNFU,LUGONGO,KASENYI,NYAMAHONA,KAMANGA,NYAMAZUGO,KATUNGURU,BUSISI,NYANZUMLA,etc...!
 
Ni kweli kabisa, ngereja hapaswi kuwa mwakilishi wa wananchi wala serikali.Si mnaona jinsi wizara inavyomchachafya? ukienda jimboni kwake ndo usiseme!
 
Back
Top Bottom