CHADEMA jifanyieni tathmini

Unaweza kushangaa hata wengine hiyo POTUS Na Oval Office kwao Ni terminologies mpya kabisa lakini wapo hapa kupinga mawazo yako
 
Mbona na nyie hampambani na hali yenu na mnaitegemea polisi iwakamate walohusika?

Nyie wafuasi hamna akili kabisa.

Mnachojua na mnachoweza ni kuzungusha mikono tu.
Kumbe Polisi ni wa CCM? Kumbe serikali ni ya CCM kwa ajili ya CCM na siyo ya Watanzania?

Hapa ndipo matatizo yetu yanapoanzia hapa.

Vyama vya siasa viwe na majeshi yake yanayotumia mabundiki kuwalinda wanasiasa wa vyama vya siasa.

Pamoja na changamoto za ujinga walizonazo watanzania kuaminishwa kwamba Serikali ni kwa ajili ya CCM na vyombo vya ulinzi na usalama ni kwa ajili ya CCM bado ninaamini na ni ukweli kwamba kazi hiyo ni ya Serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr.Slaa aliacha ombwe kubwa la uongozi CHADEMA haijafankiwa kuliziba ipasavyo ukweli huu hawataki kuukubali ili kurekebisha makosa waliyoyafanya.

Unajua maana ya ombwe? Hapa hiyo post yako inaingiaje? Elimu yetu kuna mahali inashida sana.
 
Wataishia kukutukana tu hawa mashabiki wa Chadema, wao hawaoni ulinzi binasfi wa Gwajima wakati kuna polisi.
 


samahani mleta maada, je chama cha siasa kinaruhusiwa kuwa na silaa? sheria inasemaje kuhusu kuwa na walinzi wenye silaa za moto?

miongozo ya tume ya uchaguzi inasemaje?

tuanza hapo, japo ni wazo zuri usemalo
 
Mbona na nyie hampambani na hali yenu na mnaitegemea polisi iwakamate walohusika?

Nyie wafuasi hamna akili kabisa.

Mnachojua na mnachoweza ni kuzungusha mikono tu.

hapo unakosea japo maada yako inamaana kama utaleta sheria zasemaje chama kumiliki silaa

ukitoa povu waonekana kibaka flani hivi mtata
 
Mbona na nyie hampambani na hali yenu na mnaitegemea polisi iwakamate walohusika?

Nyie wafuasi hamna akili kabisa.

Mnachojua na mnachoweza ni kuzungusha mikono tu.
bro Siki za nyuma nilidhani una Akili kumbe siyo

mi siyo mtaalam wa mambo ya usalama lakini kwa mantiki ukiruhisu kila Kundi kuunda jeshi LA ulinzi unaharisha usalama wa nchi. kwa Akili yako fupi unataka kila chama kiunde jeshi LA ulinzi
 

Ashakuwa Baby wa Bongo na si USA!
Kapata masilahi mapana siku hizi! Naona Le mm amepantia dili! Hahaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mbona ushaur hamtaki

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Hahaha nmecheka sana ingawa sio mazuriii

usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…