Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Sikilizeni hapa nchini Raisi wa nchi ndiyo kila kitu, yaani huwezi kuanzisha vita dhidi ya Raisi wa JMTZ na ukashinda kwa maana Raisi ndiyo mkubwa wa kila mtu na ana uwezo wa kuajiri na kufukuza karibia kila mtu vile vile ana uwezo wa kufanya maisha ya yoyote yule ndani ya TZ yakawa magumu!
Hivyo basi kwa kuujua huwo ukweli na kuutambua chadema walipaswa wawe na akili kidogo kwenye kudili na Raisi wa JMTZ kwa maana yeye ndiye ameshika mpini, ikiwa na maana kwamba mtake msitake mnamuhitaji ili mamuweze kufanikiwa kwenye siasa zenu hapa TanZania, mlipaswa mlijue hilo!!
lkn cha ajabu chadema siyo watu intelligent kwa maana wanashindwa kutambua hilo matokeo yake wanamtukana na kumkejeli Raisi, wanasema hasafiri kwa sababu sijui hajui Kiingereza, siku Raisi anahutubuia Bunge walimdhalilisha na ktk nje ya Bunge kwa kumzomea, huku kwenye mitandao Viongozi wa chadema nyuma ya screen wanamtukana Raisi kutwa nzima na kumdhihaki!
Sasa haya yote Raisi anayasikia na yeye kama binadamu hayamfurahishi na inamuuma hata kama Raisi labda ulikuwa ni mpango wake kabisa kwamba labda aweke siasa pembeni na sasa atoe fursa sawa au karibia fursa sawa kwa vyama vyote hawezi kufanya hivyo tena kwani mmeshamtukana vya kutosha na kila mnapomtukana anasikia na anajua na ndivyo mnavyozidi kumgeuza kuwa mwanasiasa hata kama alikuwa hana nia ya kuwa Mwanasiasa!
Mlipaswa muwe clever hata kama Raisi kuna mahali amekosea basi mlipaswa muwe wastaarabu kwenye kumkosoa lkn siyo kumtukana na kumkejeli kwangu mimi chadema siyo watu intelligent kwa maana mmepoteza siajabu nafasi ambayo ni ngumu sana kuja kuipata tena, Raisi Magufuli hakuwa Mwanasiasa lkn sasa mmemgeuza kuwa Mwanasiasa na nina uhakika atadili na ninyi na hili JIJI sahauni kuliongoza kwani Raisi ana madaraka makubwa sana ya kuweza kuwafanyizia umafia kisiasa na hakuna kitu mtafanya, kwani mmeyataka wenyewe na hii ndiyo ilikuwa nafasi yenu lkn you blew up men!
It's over, next time kuweni smart kidogo, lkn swali next time itakuja lini tena, kumbukeni mnavyomtukana Raisi wa nchi mnaitukana Taasisi ya Uraisi kwa kifupi mnaitukana nchi sasa smart people hawafanyi hivyo!