CHADEMA Jaribuni kuwa Smart kidogo!

CHADEMA Jaribuni kuwa Smart kidogo!

Pole Magufuli siyo Malaika,ni binadamu kama.Mimi na wewe.Ni mmoja Wa walio sababisha uvundo na hayo majipu hivyo basi atakosolewa tu
Mkuu nana unakaribisha matusi kutka kwa lumumba fc maana kwao magu ni kila kitu kuliko hata mungu
 
Haijalishi Magufuli amefanya au amesema nini yeye ni Raisi na Uraisi wa nchi ni taasisi hivyo unavyoamua kumtukana Raisi haumtukani Magufuli kama Magufuli bali unaitukana taasisi yaUraisi na kuitukana Taasisi ya uraisi unaitukana nchi, hivyo kama wewe ni mtu mwenye akili na unapenda kufanikiwa kwenye mambo yako unapaswa ulijue hilo na kuishi nalo!
Nijinsi gani husivyo tumia akili uliyopewa na mwenyezi mungu,yaani kumuheshimu huyo magu wako ndio inatosha kuishi maisha mazuri bila ya kufanya kazi?
 
Na hapo ndipo upungufu wa akili wa chadema unapokuja, kwa hali ya kawaida hawakupaswa hata kutoka Bungeni au kumzomea Raisi wa JMTZ kwa kufanya hivyo ina maana umeonyesha moja kwa moja dharau kwa chombo cha uraisi hivyo watu wenye akili na wenye kupenda kufanikiwa huwa hawafanyi hivyo!
Nakuona wewe ni mgeni sana wa siasa hapa duniani au kifupi ni kuwa wewe ni limbukeni wa siasa
 
Mkuu umeshakula cha Arusha,,,,Unatokwa na povu kama unakimbizwa na Nyumbu
Mkuu huyo mwenyewe ni ngiri hivyo kufukuzwa na nyumbu hiyo ni kawaida sana kwake,tatizo ni njaa inamsumbua
 
Kusema raisi ndio kila kitu ni upumbavu na ukosefu wa fikra. Nyie ndio mmetumwa kukitetea chama. Crap!!!
 
Hawa ndio aina ya watu wenye mentalality primitive kweli,wao hata Rais akija kuwachukulia mke wanamsindikiza kwa sifa na mapambio.Wao wanaamini Rais ni kila kitu.
Wanatofauti na wale wanaoamini Mbowe ndio kila kitu?
 
Na hapo ndipo upungufu wa akili wa chadema unapokuja, kwa hali ya kawaida hawakupaswa hata kutoka Bungeni au kumzomea Raisi wa JMTZ kwa kufanya hivyo ina maana umeonyesha moja kwa moja dharau kwa chombo cha uraisi hivyo watu wenye akili na wenye kupenda kufanikiwa huwa hawafanyi hivyo!
Na andiko lako hili, na bado hujui kwanini walitoka Bungeni.
 
Maajabu haya... hata miezi sita bado unalalamika kwamba Rais katukanwa sana!!!! Yaani mtu hata kama ni mwana-CCM halafu bado ukatetea uhuni unaofanywa kwenye suala zima la mameya basi we mtu utakuwa na matatizo ya uelewa!
 

Vyovyote vile unavyotaka kuiita lkn huwo ndiyo ukweli, na ktk mazingira kama haya watu smart huutambua kwanza huo ukweli halafu ndiyo huangalia jinsi ya kuishi nao!
TanZania Raisi ni kila kitu, hauwezi kumzunguka kufanya kitu bila ya yeye kuridhia na huwo ndiyo ukweli!
ukiwa kazi yako ni kudeki barabara huwezi kutambua hayo, yule jamaa mchunga ng'ombe analifahamu sana
 
Maajabu haya... hata miezi sita bado unalalamika kwamba Rais katukanwa sana!!!! Yaani mtu hata kama ni mwana-CCM halafu bado ukatetea uhuni unaofanywa kwenye suala zima la mameya basi we mtu utakuwa na matatizo ya uelewa!

Nafikiri anachomaanisha ni kwamba chadema wanamlazimisha Magufuli kushindana nao kisiasa ata kama hivyo vitu havikuwa akilini mwake.

Naona Zitto anamjulia Magufuli sana ndio maana atafanikiwa sana na halmashauri yake.
 
Chaga- dema. Wanayo damu ya upinzani lakini Mjomba usijali wataisoma namba tu na mwaka huu ndio mwisho wao hawa makajanja Chaga. wewe subiri tulimalize la znz kwanza
 
Bado ni mwanadamu kama wewe, anakosea kama vile ulivyokosea ulicho andika bila kufiri kwanza. Kukosesolewa ni sehemu ya kumrekebisha pale anapokosea.
 
Nafikiri anachomaanisha ni kwamba chadema wanamlazimisha Magufuli kushindana nao kisiasa ata kama hivyo vitu havikuwa akilini mwake.

Naona Zitto anamjulia Magufuli sana ndio maana atafanikiwa sana na halmashauri yake.
Zitto sio kwamba anamjulia JPM; bali nadhani ndio staili yake ya kisiasa... kwamba, if you can't fight them, join them-- and I like that version of politics coz' hii nchi ni yetu sote and no matter what, kwa sasa serikali iliyopo ni ya CCM na JPM ndio mkuu wake and so, it turns to be bulshit inapotokea mnapinga almost kila kitu only because upo upinzani, sawa na kuunga mkono kila kitu only because upo chama tawala!

Kuhusu CHADEMA na Magufuli; hiyo ni expected... hata yeye (JPM) am sure hakutarajia kwamba watakuja kumwacha a-relax. However, I hope na yeye atakuwa smart enough kama aliemtangulia (JK) kwa kuwapuuza pale panapolazimika kufanya hivyo na kuwasikiliza pale panapokuwa na umuhimu au ulazima wa kuwasikiliza... kinyume chake, wanaweza kumwondoa hata kwenye orbit aliyokusudia kupita!
 
Nimevaa suruali na shati jeupe kwa bahati mbaya nimepita kwenye hiki kibanda cha kuhifadhia Mkaa, nimechafuka kweli kweli. Aibu ilioje Barbarosa
 
Chaga- dema. Wanayo damu ya upinzani lakini Mjomba usijali wataisoma namba tu na mwaka huu ndio mwisho wao hawa makajanja Chaga. wewe subiri tulimalize la znz kwanza
Endelea kujipa matumaini yasiyokuwepo,Mwenzio alisema hvyo hvyo sasa hivi anapiga tu waandishi wa habari.
 
Mimi ni mgeni humu, sipendi siasa na wala ushabiki, mimi ni victim of several circumtances wa mambo kibao katika nchi hii, nimekuwa nafuatilia maswala mengi ya nchi hii zikiwemo siasa, kuna vitu vingi nimejifunza, sasa hebu niwape kisa kimoja, nilikuwa pale Uganda , yupo mtu mmoja anaitwa ELIAS LUKWAAGO, huyu bwana aligombea umeya wa jiji la Kampala kupitia chama pinzani akashinda kwa kishindo, baada ya hapo serikali ya Museveni haikumpa ushirikiano kabisa na kwa taarifa nilizo pata ni kwamba badala yake aliajiriwa mama mmoja aitwaye JENIFER MUSISI,, akapewa cheo cha DIRECTOR OF KAMPALA CITY COUNCIL AUTHORITY , Akawa anafanya kazi zote za jiji ikiwemo tenda na ukusanyaji wa kodi na ukarabati wa mji wote wa kampala, meya akitaka kufanya kitu ilibidi apate kibali toka kwa huyu mama, mambo yalienda hivyo mpaka Meya akafukuzwa kwenye ofisi, akawa kila mara anafanya maandamano mpaka mda wake umeisha. Wananchi wamemchagua tena ila wamesusia uchaguzi wa madiwani upande wa upinzani hawakujitokeza baada ya Besigye kufanyiwa kitu mbaya, hivo akajikuta anashinda peke yake kuwa meya na madiwani wote wa chama tawala, kule uganda meya anachaguliwa na watu wa mitaa ya jiji husika si madiwani wenzake, so hali itaendelea kuwa tete. Nirudi hapa Tanzania, Rais magufuli nyote mnajua sio mtu wa siasa, ni mtu wa action, hapendi mizaha na ni mwepesi sana wa kufanya maamuzi magumu sana, kukata tawi alilo kalia hata kama atahatarisha mgongo wake potelea mbali. Yaliyompata LUKWAGO yanaweza kuwapata UKAWA kama hawakuwa smart kwenye masuala nyeti, kutukana kukejeli kubeza, na kukaidi mambo yanayo fanywa na serikali ya Magufuli hakutakuwa na impact kwa siasa za sasa, hasa pale ambapo watu wengine tena hata wa upinzani wanadiriki kumtaja magu kama ndo raisi waliyemtaka hata kama hawakumchagua, uongo na usannii wa watu wa ukawa watu hawaukubali tena, nilikuwa Bukoba juzi mtu mmoja akansikizisha crp moja jinsi watu wanavyo mkubali rais na wanajuta kumchagua RWAKATARE nilishangaa. So ukawa be very technical, work slowly with Jpm ili awe fair kwa minajili kwamba hata maamuzi na matakwa yenu yapate kibali, vinginevyo wananchi wa Tanzania ni wwpesi wa kubadilika mnaweza kupoteza uchaguzi ujao na msije mkashangaa, Nawapenda na kuwaombea .
Milundi tatizo humu watu ni wabishi mno na wala hawajifunzi kutoka na wakati. Mh. Magufuli anachotaka ni mambo kwenda mbele sassa akitokea mtu hata kama ni Chama Pinzani akataka kumkwamisha. Walahi hatakubali Hili=o sijui kwa nini ChADEMA hawalioni! BAdo wana muda wakidhani siasa za fujo za migomo kwa awamu hii ndio dili wajue wamachemsha. Sasa hivi wataloose popularity! Actually wamekwisha-loose wanachotakiwa ni kuijenga kwani 100% hawana nguvu ya kupingana na Mh. Magufuli hilo ndio walijue wanaomuunga mkono ni wengi. I hope wanangalia vyombo vya habari hawajamuona mH. Mengi anakabidhi msaada mpaka jino la nwisho linaonekana????? Unadhani kwa nini??? I am sure 100% wamkwishaona faida fuilani za kiutendaji kwenye biashara zzao zinaenda vema! Sasa wakitaka kushindwa vibaya sana waendelee kuwasikiliza watu wa mitandaooni wakiwalostisha!
 
Ndiyo maana yake hapa TanZania raisi ndiyo kila kitu unaweza kupinga kama ukitaka lkn ndiyo hivyo, bila Raisi hakitembei wala hakisogei chochote, na smart people wanajua hilo, lkn chadema siyo smart people na ndiyo hawataweza kutoboa!
Nchi ilikaa bila Raisi since 2005 Mpaka 2015 halafu unasema bila Raisi mambo hayaendei
 
Mkuu nana unakaribisha matusi kutka kwa lumumba fc maana kwao magu ni kila kitu kuliko hata mungu

Siku hizi nimewazoea.Wakitukana nina warudishia tu taratibu bila hata kutumia nguvu na watakaa kimya
 
Back
Top Bottom