Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,222
Hawa ndio aina ya watu wenye mentalality primitive kweli,wao hata Rais akija kuwachukulia mke wanamsindikiza kwa sifa na mapambio.Wao wanaamini Rais ni kila kitu.
Usipofuata sheria na unaona wanaopenda sheria ifuate kwa nguvu zote basi ujue lazima uwe na mawazo kama.yako.Hata JKN alituasa watanzania kwamba Rais asiyefuata sheria akavunja katiba aliyoapa kuilinda hatufai kamwe.Hatukusikia ndiyo sababu tunapata watu wenye akili za kushikiwa kama zako.Pole.Na hapo ndipo upungufu wa akili wa chadema unapokuja, kwa hali ya kawaida hawakupaswa hata kutoka Bungeni au kumzomea Raisi wa JMTZ kwa kufanya hivyo ina maana umeonyesha moja kwa moja dharau kwa chombo cha uraisi hivyo watu wenye akili na wenye kupenda kufanikiwa huwa hawafanyi hivyo!
Rais Magufuli wangekuwa Rais wa Watanzania tungemuona kulingana na matendo yake.Na kwasababu ya Matendo na matamshi yake ametuonyesha watanzania yeye ni Rais wa wanachama wa CCM tu.So endeleeni kumwombea na kumtukuza kama Mungu.Mleta uzi uko sahihi sana lakin baadhi ya watu ni vichwa panzi na vilaza kupindukia. Raisi ni taasisi kubwa sana inayohitaji heshima ya pekee. Watanzania achen mabishano + siasa zisizo na maana pigeni kazi kwa maendeleo yenu na nchi kwa ujumla.
Sikilizeni hapa nchini Raisi wa nchi ndiyo kila kitu, yaani huwezi kuanzisha vita dhidi ya Raisi wa JMTZ na ukashinda kwa maana Raisi ndiyo mkubwa wa kila mtu na ana uwezo wa kuajiri na kufukuza karibia kila mtu vile vile ana uwezo wa kufanya maisha ya yoyote yule ndani ya TZ yakawa magumu!
Hivyo basi kwa kuujua huwo ukweli na kuutambua chadema walipaswa wawe na akili kidogo kwenye kudili na Raisi wa JMTZ kwa maana yeye ndiye ameshika mpini, ikiwa na maana kwamba mtake msitake mnamuhitaji ili mamuweze kufanikiwa kwenye siasa zenu hapa TanZania, mlipaswa mlijue hilo!!
lkn cha ajabu chadema siyo watu intelligent kwa maana wanashindwa kutambua hilo matokeo yake wanamtukana na kumkejeli Raisi, wanasema hasafiri kwa sababu sijui hajui Kiingereza, siku Raisi anahutubuia Bunge walimdhalilisha na ktk nje ya Bunge kwa kumzomea, huku kwenye mitandao Viongozi wa chadema nyuma ya screen wanamtukana Raisi kutwa nzima na kumdhihaki!
Sasa haya yote Raisi anayasikia na yeye kama binadamu hayamfurahishi na inamuuma hata kama Raisi labda ulikuwa ni mpango wake kabisa kwamba labda aweke siasa pembeni na sasa atoe fursa sawa au karibia fursa sawa kwa vyama vyote hawezi kufanya hivyo tena kwani mmeshamtukana vya kutosha na kila mnapomtukana anasikia na anajua na ndivyo mnavyozidi kumgeuza kuwa mwanasiasa hata kama alikuwa hana nia ya kuwa Mwanasiasa!
Mlipaswa muwe clever hata kama Raisi kuna mahali amekosea basi mlipaswa muwe wastaarabu kwenye kumkosoa lkn siyo kumtukana na kumkejeli kwangu mimi chadema siyo watu intelligent kwa maana mmepoteza siajabu nafasi ambayo ni ngumu sana kuja kuipata tena, Raisi Magufuli hakuwa Mwanasiasa lkn sasa mmemgeuza kuwa Mwanasiasa na nina uhakika atadili na ninyi na hili JIJI sahauni kuliongoza kwani Raisi ana madaraka makubwa sana ya kuweza kuwafanyizia umafia kisiasa na hakuna kitu mtafanya, kwani mmeyataka wenyewe na hii ndiyo ilikuwa nafasi yenu lkn you blew up men!
It's over, next time kuweni smart kidogo, lkn swali next time itakuja lini tena, kumbukeni mnavyomtukana Raisi wa nchi mnaitukana Taasisi ya Uraisi kwa kifupi mnaitukana nchi sasa smart people hawafanyi hivyo!
Acha kuleta uongo huku....fikiria kuwa umekuja kwenye jukwaa la great thinkers .....Jiji la Dar limekuwa chini ya ccm miaka mingi mpaka leo kipindupindu kinaanzia kule ....halafu kama hupendi siasa ww mnafiki umefuata nn huku kwenye jukwaa la siasa...kagasheki mteule wa ccm hapa bukoba alifanya nn mpaka watu wamkumbuke ?? Nakushauru nenda kule facebook acha kuja huku kwenye jukwaa la siasa kama ww hupendi siasa...kutumia ubabe kwa viongoz wa Africa ndo maana hakuna naebdeleo ,hapo Dar es salaam kuna ufisad mkubwa ndo maana makufuli anaogopa kutumbuliwa......yeye na chama chake......Mimi ni mgeni humu, sipendi siasa na wala ushabiki, mimi ni victim of several circumtances wa mambo kibao katika nchi hii, nimekuwa nafuatilia maswala mengi ya nchi hii zikiwemo siasa, kuna vitu vingi nimejifunza, sasa hebu niwape kisa kimoja, nilikuwa pale Uganda , yupo mtu mmoja anaitwa ELIAS LUKWAAGO, huyu bwana aligombea umeya wa jiji la Kampala kupitia chama pinzani akashinda kwa kishindo, baada ya hapo serikali ya Museveni haikumpa ushirikiano kabisa na kwa taarifa nilizo pata ni kwamba badala yake aliajiriwa mama mmoja aitwaye JENIFER MUSISI,, akapewa cheo cha DIRECTOR OF KAMPALA CITY COUNCIL AUTHORITY , Akawa anafanya kazi zote za jiji ikiwemo tenda na ukusanyaji wa kodi na ukarabati wa mji wote wa kampala, meya akitaka kufanya kitu ilibidi apate kibali toka kwa huyu mama, mambo yalienda hivyo mpaka Meya akafukuzwa kwenye ofisi, akawa kila mara anafanya maandamano mpaka mda wake umeisha. Wananchi wamemchagua tena ila wamesusia uchaguzi wa madiwani upande wa upinzani hawakujitokeza baada ya Besigye kufanyiwa kitu mbaya, hivo akajikuta anashinda peke yake kuwa meya na madiwani wote wa chama tawala, kule uganda meya anachaguliwa na watu wa mitaa ya jiji husika si madiwani wenzake, so hali itaendelea kuwa tete. Nirudi hapa Tanzania, Rais magufuli nyote mnajua sio mtu wa siasa, ni mtu wa action, hapendi mizaha na ni mwepesi sana wa kufanya maamuzi magumu sana, kukata tawi alilo kalia hata kama atahatarisha mgongo wake potelea mbali. Yaliyompata LUKWAGO yanaweza kuwapata UKAWA kama hawakuwa smart kwenye masuala nyeti, kutukana kukejeli kubeza, na kukaidi mambo yanayo fanywa na serikali ya Magufuli hakutakuwa na impact kwa siasa za sasa, hasa pale ambapo watu wengine tena hata wa upinzani wanadiriki kumtaja magu kama ndo raisi waliyemtaka hata kama hawakumchagua, uongo na usannii wa watu wa ukawa watu hawaukubali tena, nilikuwa Bukoba juzi mtu mmoja akansikizisha crp moja jinsi watu wanavyo mkubali rais na wanajuta kumchagua RWAKATARE nilishangaa. So ukawa be very technical, work slowly with Jpm ili awe fair kwa minajili kwamba hata maamuzi na matakwa yenu yapate kibali, vinginevyo wananchi wa Tanzania ni wwpesi wa kubadilika mnaweza kupoteza uchaguzi ujao na msije mkashangaa, Nawapenda na kuwaombea .
Nikweli si busara kumkejeli rais wetu kwavitu vya kipuzi, mtu dokta asijue kingreza vp? Akikutana na mabalozi anaongeaga kiskuma?
chadema yenyewe nani anikijua vizuri hâta Lisu sio fluent kiivyo...
very poor argument kuhusu rwakatare...kwani alipata asilimia 100 ya kura? hujui kuwa Wapo ambao hawakumchagua na wanaweza kuongea watakavyo.Mimi ni mgeni humu, sipendi siasa na wala ushabiki, mimi ni victim of several circumtances wa mambo kibao katika nchi hii, nimekuwa nafuatilia maswala mengi ya nchi hii zikiwemo siasa, kuna vitu vingi nimejifunza, sasa hebu niwape kisa kimoja, nilikuwa pale Uganda , yupo mtu mmoja anaitwa ELIAS LUKWAAGO, huyu bwana aligombea umeya wa jiji la Kampala kupitia chama pinzani akashinda kwa kishindo, baada ya hapo serikali ya Museveni haikumpa ushirikiano kabisa na kwa taarifa nilizo pata ni kwamba badala yake aliajiriwa mama mmoja aitwaye JENIFER MUSISI,, akapewa cheo cha DIRECTOR OF KAMPALA CITY COUNCIL AUTHORITY , Akawa anafanya kazi zote za jiji ikiwemo tenda na ukusanyaji wa kodi na ukarabati wa mji wote wa kampala, meya akitaka kufanya kitu ilibidi apate kibali toka kwa huyu mama, mambo yalienda hivyo mpaka Meya akafukuzwa kwenye ofisi, akawa kila mara anafanya maandamano mpaka mda wake umeisha. Wananchi wamemchagua tena ila wamesusia uchaguzi wa madiwani upande wa upinzani hawakujitokeza baada ya Besigye kufanyiwa kitu mbaya, hivo akajikuta anashinda peke yake kuwa meya na madiwani wote wa chama tawala, kule uganda meya anachaguliwa na watu wa mitaa ya jiji husika si madiwani wenzake, so hali itaendelea kuwa tete. Nirudi hapa Tanzania, Rais magufuli nyote mnajua sio mtu wa siasa, ni mtu wa action, hapendi mizaha na ni mwepesi sana wa kufanya maamuzi magumu sana, kukata tawi alilo kalia hata kama atahatarisha mgongo wake potelea mbali. Yaliyompata LUKWAGO yanaweza kuwapata UKAWA kama hawakuwa smart kwenye masuala nyeti, kutukana kukejeli kubeza, na kukaidi mambo yanayo fanywa na serikali ya Magufuli hakutakuwa na impact kwa siasa za sasa, hasa pale ambapo watu wengine tena hata wa upinzani wanadiriki kumtaja magu kama ndo raisi waliyemtaka hata kama hawakumchagua, uongo na usannii wa watu wa ukawa watu hawaukubali tena, nilikuwa Bukoba juzi mtu mmoja akansikizisha crp moja jinsi watu wanavyo mkubali rais na wanajuta kumchagua RWAKATARE nilishangaa. So ukawa be very technical, work slowly with Jpm ili awe fair kwa minajili kwamba hata maamuzi na matakwa yenu yapate kibali, vinginevyo wananchi wa Tanzania ni wwpesi wa kubadilika mnaweza kupoteza uchaguzi ujao na msije mkashangaa, Nawapenda na kuwaombea .
Ni kweli kuwa wanachama wa kawaida wa chadema shida yao ni maisha bora tu, na mtoa thread wala hakuwalenga hao, tatizo lipo kwa waliotaka kunufaika na matatizo ya WaTz, wale waliojipa matumaini kuwa lazima this time waingie ikulu, wale ndio hawataki kukubali kuwa ikulu imeshindikana, na wamekuwa wakiongea vitu vya ajabu kabisaHongera. Ushaingiza siku.
Tunajua wanaojifanya chadema Ni wale fisiem waliotumbuliwa. Mbona sisi chadema hatuna shida na Magufuli maana anatekeleza tunayotaka.
Na naona unaandika Kama vile sasa unamshauri awe mwanasiasa.
Buku 7 yako baadae msoga.
Hii nchi inawatu wajinga sana yani ww ili akili yako ifunguke inahitaji darasa la peke yako. Humu jamii forum saa nyingne kunatia aibu kama kuna watu uko nje wanasoma thread za kipuuz kama hizi
Vyovyote vile unavyotaka kuiita lkn huwo ndiyo ukweli, na ktk mazingira kama haya watu smart huutambua kwanza huo ukweli halafu ndiyo huangalia jinsi ya kuishi nao!
TanZania Raisi ni kila kitu, hauwezi kumzunguka kufanya kitu bila ya yeye kuridhia na huwo ndiyo ukweli!
Ndiyo maana yake hapa TanZania raisi ndiyo kila kitu unaweza kupinga kama ukitaka lkn ndiyo hivyo, bila Raisi hakitembei wala hakisogei chochote, na smart people wanajua hilo, lkn chadema siyo smart people na ndiyo hawataweza kutoboa!
Hivi nyie mbweha wa lumumba kwani msipo itaja cdm hamuwezi kuendelea na maisha yenu ya kila siku?wachana na habari za cdm.mbona hamuwaongelei vyama vingine vya upinzani?au kwa sababu mlijaribu kuiua cdm kama nccr ya mrema na tlp ya mrema?cdm ni chama chenye mkono wa mungu na mjue kuwa hamtakiweza nyinyi wala viwaviSikilizeni hapa nchini Raisi wa nchi ndiyo kila kitu, yaani huwezi kuanzisha vita dhidi ya Raisi wa JMTZ na ukashinda kwa maana Raisi ndiyo mkubwa wa kila mtu na ana uwezo wa kuajiri na kufukuza karibia kila mtu vile vile ana uwezo wa kufanya maisha ya yoyote yule ndani ya TZ yakawa magumu!
Hivyo basi kwa kuujua huwo ukweli na kuutambua chadema walipaswa wawe na akili kidogo kwenye kudili na Raisi wa JMTZ kwa maana yeye ndiye ameshika mpini, ikiwa na maana kwamba mtake msitake mnamuhitaji ili mamuweze kufanikiwa kwenye siasa zenu hapa TanZania, mlipaswa mlijue hilo!!
lkn cha ajabu chadema siyo watu intelligent kwa maana wanashindwa kutambua hilo matokeo yake wanamtukana na kumkejeli Raisi, wanasema hasafiri kwa sababu sijui hajui Kiingereza, siku Raisi anahutubuia Bunge walimdhalilisha na ktk nje ya Bunge kwa kumzomea, huku kwenye mitandao Viongozi wa chadema nyuma ya screen wanamtukana Raisi kutwa nzima na kumdhihaki!
Sasa haya yote Raisi anayasikia na yeye kama binadamu hayamfurahishi na inamuuma hata kama Raisi labda ulikuwa ni mpango wake kabisa kwamba labda aweke siasa pembeni na sasa atoe fursa sawa au karibia fursa sawa kwa vyama vyote hawezi kufanya hivyo tena kwani mmeshamtukana vya kutosha na kila mnapomtukana anasikia na anajua na ndivyo mnavyozidi kumgeuza kuwa mwanasiasa hata kama alikuwa hana nia ya kuwa Mwanasiasa!
Mlipaswa muwe clever hata kama Raisi kuna mahali amekosea basi mlipaswa muwe wastaarabu kwenye kumkosoa lkn siyo kumtukana na kumkejeli kwangu mimi chadema siyo watu intelligent kwa maana mmepoteza siajabu nafasi ambayo ni ngumu sana kuja kuipata tena, Raisi Magufuli hakuwa Mwanasiasa lkn sasa mmemgeuza kuwa Mwanasiasa na nina uhakika atadili na ninyi na hili JIJI sahauni kuliongoza kwani Raisi ana madaraka makubwa sana ya kuweza kuwafanyizia umafia kisiasa na hakuna kitu mtafanya, kwani mmeyataka wenyewe na hii ndiyo ilikuwa nafasi yenu lkn you blew up men!
It's over, next time kuweni smart kidogo, lkn swali next time itakuja lini tena, kumbukeni mnavyomtukana Raisi wa nchi mnaitukana Taasisi ya Uraisi kwa kifupi mnaitukana nchi sasa smart people hawafanyi hivyo!
Mkuu ogopa sana njaa, inawapelekea wana lumumba kujiondoa ufahamuHongera. Ushaingiza siku.
Tunajua wanaojifanya chadema Ni wale fisiem waliotumbuliwa. Mbona sisi chadema hatuna shida na Magufuli maana anatekeleza tunayotaka.
Na naona unaandika Kama vile sasa unamshauri awe mwanasiasa.
Buku 7 yako baadae msoga.
Na kuwaomba watanzania wamuombee?Angekuwa kila kitu angewaomba wafanyabiashara walipe kodi??
Mkuu huyo ni idiotic &lunaticam sure penye "smart" ulikuwa unataka kusema "idiotic".
it's only an idiot ndiye anayeweza kuwa na hii mentality ya eti "rais ni kila kitu".
Wa tanzania ninaomba mniombee, huyo ndiye kila kitu?