CHADEMA jahazi lilopoteza muelekeo!

CHADEMA jahazi lilopoteza muelekeo!

Ninyi wenyewe mmesema kuwa mnanunuliwa, ebu jiulizeni, kama mnaweza kununuliwa kwa kiasi hicho mkipewa nchi si mtanunuliwa ninyi wenyewe pamoja na nchi mtaipiga mnada?
 
Kama mnaweza kununulika kirahisi ni dhahiri uwezo wa kuongoza nchi bado,mtaweza kuikataa rushwa na kuipiga vita!
Acha kujidanganya dogo. Kiwanda na jiko la kupika rushwa limehama ccm? Au siku hizi ile midomo ya kula 10% imejaa makinikia hadi haitaki kupokea rushwa mpya? Eti kuongoza nchi! Ona aibu wewe mbolea ya samadi! Labda kama hujui maana ya uongozi nikusaidie.
 
Acha kujidanganya dogo. Kiwanda na jiko la kupika rushwa limehama ccm? Au siku hizi ile midomo ya kula 10% imejaa makinikia hadi haitaki kupokea rushwa mpya? Eti kuongoza nchi! Ona aibu wewe mbolea ya samadi! Labda kama hujui maana ya uongozi nikusaidie.
Cdm imejaa najisi mwenyekiti anajaribu kuiosha lakini wapi!
 
CHADEMA baada ya kushindwa uchaguzi ilijaribu kuja na mbinu nyingi za kuzima yale mengi mema yafanywayo na serikali, baada ya kuona kila sehemu wamepuuzwa kwa kua hakuna jipya CHADEMA wakamua kuja na mbinu mpya ya kufanya biashara na baadhi ya media.

Ili kumzima rais pindi anapofanya matukio yake ya kizalendo nao ghafla huamua kufanya matukio yao na mengine yameelekea kugharimu maisha yao na kwa kua wameshafanya biashara na baadhi ya media na wanataka kumfunika rais na kutaka habari zao ziwe kurasa za mbele na kuandikwa sana hawajali

Hii ni mifano tu

1.Rais anapokea report ya kwanza ya makinikia ,wakaja na habari ya bomberdia imekamatwa

2.Rais anapokea report ya pili, mwanasheria wao anapigwa risasi

3.Rais anawapa vyeti wakaja na habari mwanasheria wao amewasalimia watanzania

4.Rais anafanya uteuzi wa watendaji wa serikali,nyalandu atangaza kuondoka

5,Rais alipokua mwanza kwenye shughuli za funguzi mbalimbali wakaja na taarifa mwanasheria kafanya kampeni live za udiwani

6.Rais yupo bukoba akiwatumbua wakurugenzi,wao wamekuja na nyalandu akutana na lowassa na mengineo mengi tukiyaandika yote itakua balaa.

Yote inaonyesha ni jinsi gani chama hakina maono tena na muelekeo na wanajaribu kushirikiana na baadhi ya vyombo vya habari kwa kutoyapa umuhimu matukio ya maendeleo afanyayo rais.

Angalizo CHADEMA ipo siku mtatangaza chairman au Lowassa amefariki ili kupata front page, maana kila wanalofanya huwa wanajisifu kesho tunatabiri habari hii itamfunika rais

Kifupi rais ana mengi ya maendeleo na yatabaki kumbukumbu ila CHADEMA mtawatajirisha wenye media, kama mlivyomtajirisha kubenea na habari za ufisadi wa Lowassa, rais atapimwa kwenye boksi la kura lakini si kununua media!
Huu ni utabiri wa kipara kipya ambao umetimia mwaka huu. Lakini watu kama tindo hawaamini huu ukweli.
 
Back
Top Bottom