CHADEMA jahazi lilopoteza muelekeo!

CHADEMA jahazi lilopoteza muelekeo!

Hayo mafanikio kwa mwaka 2015 ilikua ni msingi imara na malengo yaliyoratibiwa na dr slaa!
Waambie CCM waache udikteta waruhusu vyama vya siasa vifanye siasa uone kama CHADEMA imeporomoka! Chama ni taasisi si mtu mmoja mkuu usingee kishabiki!
 
Haya maneno ya chadema ni taasisi ni ya kujipa moyo miaka yote mikutano ilikuwepo mlifanya nini!
 
Badili heading yako na isomeke hivi, "chadema meli yenye uelekeo thabiti usiotetereka". Unaonaje hii?
Nakitetea kichwa nilichokiedit kuwa:
Waliondoka kina slaa na zito chama hakikufa!
Wamefanyiwa figisu na kuzushiwa kesi nyingi but cdm haikufa!
Wamezuiwa kufanya mikutano ya kisiasa lakini cdm bado ni imara!
Walipokonywa ushindi through nec na policcm still cdm ni imara mno!
Mwishoni mnatumia sera zao na ilani yao ya uchaguzi kuwin mioyo ya wananchi na ni hapo uimara na uelekeo wa chama unapozidi kuwa mzuri!
Laiti mngelijua mngeliwaacha wawasaidie kuhusu hiyo sera yenu ya viwanda kwa kuwapa angalizo through mikutano yao.
Ccm inajidanganya kuwa imara huku ikiwa imeshikiliwa na nguzo za polisi na dola mithili ya nyumba ya tembe iliyolalia upande karibu kuanguka!
 
CHADEMA baada ya kushindwa uchaguzi ilijaribu kuja na mbinu nyingi za kuzima yale mengi mema yafanywayo na serikali, baada ya kuona kila sehemu wamepuuzwa kwa kua hakuna jipya CHADEMA wakamua kuja na mbinu mpya ya kufanya biashara na baadhi ya media.

Ili kumzima rais pindi anapofanya matukio yake ya kizalendo nao ghafla huamua kufanya matukio yao na mengine yameelekea kugharimu maisha yao na kwa kua wameshafanya biashara na baadhi ya media na wanataka kumfunika rais na kutaka habari zao ziwe kurasa za mbele na kuandikwa sana hawajali

Hii ni mifano tu

1.Rais anapokea report ya kwanza ya makinikia ,wakaja na habari ya bomberdia imekamatwa

2.Rais anapokea report ya pili, mwanasheria wao anapigwa risasi

3.Rais anawapa vyeti wakaja na habari mwanasheria wao amewasalimia watanzania

4.Rais anafanya uteuzi wa watendaji wa serikali,nyalandu atangaza kuondoka

5,Rais alipokua mwanza kwenye shughuli za funguzi mbalimbali wakaja na taarifa mwanasheria kafanya kampeni live za udiwani

6.Rais yupo bukoba akiwatumbua wakurugenzi,wao wamekuja na nyalandu akutana na lowassa na mengineo mengi tukiyaandika yote itakua balaa.

Yote inaonyesha ni jinsi gani chama hakina maono tena na muelekeo na wanajaribu kushirikiana na baadhi ya vyombo vya habari kwa kutoyapa umuhimu matukio ya maendeleo afanyayo rais.

Angalizo CHADEMA ipo siku mtatangaza chairman au Lowassa amefariki ili kupata front page, maana kila wanalofanya huwa wanajisifu kesho tunatabiri habari hii itamfunika rais

Kifupi rais ana mengi ya maendeleo na yatabaki kumbukumbu ila CHADEMA mtawatajirisha wenye media, kama mlivyomtajirisha kubenea na habari za ufisadi wa Lowassa, rais atapimwa kwenye boksi la kura lakini si kununua media!
Usisahau pia kuna wale "wapumbvu" waliotakiwa kuongea kule Arusha na wakaingia mitini.
 
2020 mbali huko angalia uchaguzi mdogo tu wa madiwani.
e21dd31760af5d197460b87d5b0b7c4c.jpg
Ila hata kama CCM hatuwapendi, kwa hapa umewaonea kabisa. Yaani umepiga picha kwa kuwalenga wale wahutubiaji tu na wahudhuriaji hukutaka kuwachukua hata kidogo! Wacha tuwe fare pamoja na kutowapenda.
 
Badili heading yako na isomeke hivi, "chadema meli yenye uelekeo thabiti usiotetereka". Unaonaje hii?
Nakitetea kichwa nilichokiedit kuwa:
Waliondoka kina slaa na zito chama hakikufa!
Wamefanyiwa figisu na kuzushiwa kesi nyingi but cdm haikufa!
Wamezuiwa kufanya mikutano ya kisiasa lakini cdm bado ni imara!
Walipokonywa ushindi through nec na policcm still cdm ni imara mno!
Mwishoni mnatumia sera zao na ilani yao ya uchaguzi kuwin mioyo ya wananchi na ni hapo uimara na uelekeo wa chama unapozidi kuwa mzuri!
Laiti mngelijua mngeliwaacha wawasaidie kuhusu hiyo sera yenu ya viwanda kwa kuwapa angalizo through mikutano yao.
Ccm inajidanganya kuwa imara huku ikiwa imeshikiliwa na nguzo za polisi na dola mithili ya nyumba ya tembe iliyolalia upande karibu kuanguka!
Kuhusu sera zenu nakubaliana nawe sasa mbona mnapiga kelele katika mengi yanayotekelezwa!
 
CHADEMA baada ya kushindwa uchaguzi ilijaribu kuja na mbinu nyingi za kuzima yale mengi mema yafanywayo na serikali, baada ya kuona kila sehemu wamepuuzwa kwa kua hakuna jipya CHADEMA wakamua kuja na mbinu mpya ya kufanya biashara na baadhi ya media.

Ili kumzima rais pindi anapofanya matukio yake ya kizalendo nao ghafla huamua kufanya matukio yao na mengine yameelekea kugharimu maisha yao na kwa kua wameshafanya biashara na baadhi ya media na wanataka kumfunika rais na kutaka habari zao ziwe kurasa za mbele na kuandikwa sana hawajali

Hii ni mifano tu

1.Rais anapokea report ya kwanza ya makinikia ,wakaja na habari ya bomberdia imekamatwa

2.Rais anapokea report ya pili, mwanasheria wao anapigwa risasi

3.Rais anawapa vyeti wakaja na habari mwanasheria wao amewasalimia watanzania

4.Rais anafanya uteuzi wa watendaji wa serikali,nyalandu atangaza kuondoka

5,Rais alipokua mwanza kwenye shughuli za funguzi mbalimbali wakaja na taarifa mwanasheria kafanya kampeni live za udiwani

6.Rais yupo bukoba akiwatumbua wakurugenzi,wao wamekuja na nyalandu akutana na lowassa na mengineo mengi tukiyaandika yote itakua balaa.

Yote inaonyesha ni jinsi gani chama hakina maono tena na muelekeo na wanajaribu kushirikiana na baadhi ya vyombo vya habari kwa kutoyapa umuhimu matukio ya maendeleo afanyayo rais.

Angalizo CHADEMA ipo siku mtatangaza chairman au Lowassa amefariki ili kupata front page, maana kila wanalofanya huwa wanajisifu kesho tunatabiri habari hii itamfunika rais

Kifupi rais ana mengi ya maendeleo na yatabaki kumbukumbu ila CHADEMA mtawatajirisha wenye media, kama mlivyomtajirisha kubenea na habari za ufisadi wa Lowassa, rais atapimwa kwenye boksi la kura lakini si kununua media!
Unahangaika sana na CDM
 
Badili heading yako na isomeke hivi, "chadema meli yenye uelekeo thabiti usiotetereka". Unaonaje hii?
Nakitetea kichwa nilichokiedit kuwa:
Waliondoka kina slaa na zito chama hakikufa!
Wamefanyiwa figisu na kuzushiwa kesi nyingi but cdm haikufa!
Wamezuiwa kufanya mikutano ya kisiasa lakini cdm bado ni imara!
Walipokonywa ushindi through nec na policcm still cdm ni imara mno!
Mwishoni mnatumia sera zao na ilani yao ya uchaguzi kuwin mioyo ya wananchi na ni hapo uimara na uelekeo wa chama unapozidi kuwa mzuri!
Laiti mngelijua mngeliwaacha wawasaidie kuhusu hiyo sera yenu ya viwanda kwa kuwapa angalizo through mikutano yao.
Ccm inajidanganya kuwa imara huku ikiwa imeshikiliwa na nguzo za polisi na dola mithili ya nyumba ya tembe iliyolalia upande karibu ku
Kuhusu sera zenu nakubaliana nawe sasa mbona mnapiga kelele katika mengi yanayotekelezwa!
Kelele zao zimaanisha kuwa wana mengi mazuri ambayo yangemsaidia kufikia malengo yake na kufanikisha adhima yake ya kuikomboa nchi kutoka kwenye mikataba ya kinyonyaji walioingia. Na huenda angepata mbinu nyepesi zaidi ya kuunda tume zisizo na tija! Awaachie majukwaa ili waende sambamba kwani kuwalazimisha kutokusikika hakumsaidii zaidi ya kujipatia majina mapya!
 
Lini halikupoteza mwelekeo... embu wasalimia kipara na mwangomengo hapo Lumumba.
 
Badili heading yako na isomeke hivi, "chadema meli yenye uelekeo thabiti usiotetereka". Unaonaje hii?
Nakitetea kichwa nilichokiedit kuwa:
Waliondoka kina slaa na zito chama hakikufa!
Wamefanyiwa figisu na kuzushiwa kesi nyingi but cdm haikufa!
Wamezuiwa kufanya mikutano ya kisiasa lakini cdm bado ni imara!
Walipokonywa ushindi through nec na policcm still cdm ni imara mno!
Mwishoni mnatumia sera zao na ilani yao ya uchaguzi kuwin mioyo ya wananchi na ni hapo uimara na uelekeo wa chama unapozidi kuwa mzuri!
Laiti mngelijua mngeliwaacha wawasaidie kuhusu hiyo sera yenu ya viwanda kwa kuwapa angalizo through mikutano yao.
Ccm inajidanganya kuwa imara huku ikiwa imeshikiliwa na nguzo za polisi na dola mithili ya nyumba ya tembe iliyolalia upande karibu ku

Kelele zao zimaanisha kuwa wana mengi mazuri ambayo yangemsaidia kufikia malengo yake na kufanikisha adhima yake ya kuikomboa nchi kutoka kwenye mikataba ya kinyonyaji walioingia. Na huenda angepata mbinu nyepesi zaidi ya kuunda tume zisizo na tija! Awaachie majukwaa ili waende sambamba kwani kuwalazimisha kutokusikika hakumsaidii zaidi ya kujipatia majina mapya!
Hii mikataba mibovu mingi iliingiwa wakati wa mawaziri wakuu wawili ambao mnao huko!
 
Chadema ilisha ondoka na Dr slaa.chadema yasasa ya muunganiko wa Lema, Msigwa , DJ na ma mvi ndio iwe inaongoza upinzani!! Upinzani hakuna tena. Kilasiku wanasajili mijizi tu.
Hiyo mijizi kila siku inatoka chama gani. Njoo chadema ufuliwe baki ccm uwe mwizi daima.
 
Utawajulia wapi wakati waliwaingiza mjini. Mliwaandaa waongee na wao wakawachezea mchezo. Mkawakatia jina kuwaita wapumbavu.
Unao uhuru wa kusema taja majina ueleweke nini unajizungusha!
 
Back
Top Bottom