CHADEMA itayaruhusu haya?

Tarehe 3 mwezi October 2011 watanzania kuvaa nguo nyeus kulaani utendaji wa serikali kama kama unaguswa na mambo yafuatayo basi na wewe vaa na umwambie na mwenzako kama yana muhusu naye avae.
1.ukosefu wa ajira
2.kupanda kwa gharama za maisha
3.huduma mbaya za afya, elimu na maji.
4.ukosefu wa umeme
5. Ufisadi
6.mikataba mibovu
7. Ubaguzi kwenye mikopo ya elimu ya juu
8.malipo duni ya wafanyakazi wa serikali
9.ufujaji wa mali ya umma kwa watendaji wa serikali kwa safari zisizo na tija.
10. Kuwakumbatia wawekezaji katika kuiba ardhi na rasilimali ya wanyonge

Huu ni ujumbe unao zunguka kwenye Mitandao ya kijamii twitter, facebook na myspace pia sms kwa njia ya simu zimeanza kusambaaa nchi nzima.
 
Wajanvi tujaribu kutumia busara kwani mnaopoteza mda wenu kumjibu huyu 52 atiwm mnaharibu nakupoteza muda anad money just give the g.a.y cold shoulders.
 
Huyo anayejifanya hajui njia itakayotumia CDM kuingia ikulu naomba tumchangie nauli aende Zambia akaulize serikali iliyoko madarakani sasa hivi imeingiaje. Vinginevyo watu wa aina ya Mwitta 25 ni pasua kichwa.

Wao wanataka washindane na nguvu ya uma.
 
Back
Top Bottom