Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,243
Hebu soma hapaa ili upate jibu la hapo kwenye red . >>>> Magufuli named in Kova, Nzowa court wrangle1. Spidi ya JPM
Tangu raisi aingie madarakani amekuwa akijibu hoja nyingi ambazo wapinzani walikuwa wakizipigia kelele. Hivyo uwepo wa Magufuli kwa sasa umefanya watanzania waamini kuwa mabadiliko yanaweza kufanyika hata ndani ya CCM hivyo miaka ijayo ni wazi kuwa watanzania hawataona haja ya kuijaribu upinzani ilhali wanapata majibu ya maswali yao kutoka kwa CCM.
Haha haha, chama kinakufa hiki, please wake upAliyasema hayo wasira leo yuko wapi?dua zako mbaya ni neema kwa wana cdm kuzidi kusonga na kung'ara
Kutokana na spidi aliyoanza nayo Mh JPM ni wazi kwamba nguvu ya chama kikubwa cha upinzani kitafifia na kupotea midomoni mwa watu kutokana na sababu mbalimbali.
Ni ukweli usiopingika kuwa JPM ndani ya siku 100 ameweza kuonesha muelekeo mzuri kwa wananchi ambapo utafiti uliofanywa unaonesha wananchi kwasasa wanamkubali zaidi Magufuli kuliko aliyekuwa mgombea wa chama pinzani ndugu Edward Lowassa.
Zipo sababu ambazo zitapelekea kufifia na kufa kwa nguvu yake ya upinzani;
1. Spidi ya JPM
Tangu raisi aingie madarakani amekuwa akijibu hoja nyingi ambazo wapinzani walikuwa wakizipigia kelele. Hivyo uwepo wa Magufuli kwa sasa umefanya watanzania waamini kuwa mabadiliko yanaweza kufanyika hata ndani ya CCM hivyo miaka ijayo ni wazi kuwa watanzania hawataona haja ya kuijaribu upinzani ilhali wanapata majibu ya maswali yao kutoka kwa CCM.
2. Wapinzani kujenga hoja nyepesi
Wimbo mkuu wa upinzani hauchezeki kwa sasa hasa baada ya Magufuli kuingia ikulu, hoja nyingi za wapinzani kwa sasa hazina nguvu, mfano wanapokuja kusema kwanini rais Magufuli hataki kusafiri nje ya nchi ni hoja ya kuchekesha sana wakati haohao walikuwa wa kwanza kukemea safari za nje za aliyekuwa raisi wa awamu ya nne ila leo hii wanabadilika.
Hizo ni baadhi tu ya sababu na najua zipo nyingi ila amini usiamini CHADEMA itakufa kabla ya uchaguzi ujao.
Mmefika wapi zaidi ya kununuliwa na MajiziAliyasema hayo wasira leo yuko wapi?dua zako mbaya ni neema kwa wana cdm kuzidi kusonga na kung'ara
NiwapumbavuSaizi wanazunguka vijijini eti wanamtafuta wa kujaza nafasi ya katibu mkuu. unaenda ileje kumtafuta katibu mkuu wa chama kama sio kupiga perdiem ni nini?
Kilaza ni wewe na mumeo mlio nunuliwa na kuamua kuusaliti upinzani,na mkatimuliwa kama mbwa kokoNiwapumbavu
WAMEMPATA MGOMBEA URAIS 2020
Wameshindwa kumpata kumpa katibu mkuu
kama sio ukilaza
Chadema ilishakufa toka August 2015 walivyomchukua EL na kuzikwa rasmi tar 25 October
Utakufa wewe na ccm yako na utaiwacha cdm inadundaKutokana na spidi aliyoanza nayo Mh JPM ni wazi kwamba nguvu ya chama kikubwa cha upinzani kitafifia na kupotea midomoni mwa watu kutokana na sababu mbalimbali.
Ni ukweli usiopingika kuwa JPM ndani ya siku 100 ameweza kuonesha muelekeo mzuri kwa wananchi ambapo utafiti uliofanywa unaonesha wananchi kwasasa wanamkubali zaidi Magufuli kuliko aliyekuwa mgombea wa chama pinzani ndugu Edward Lowassa.
Zipo sababu ambazo zitapelekea kufifia na kufa kwa nguvu yake ya upinzani;
1. Spidi ya JPM
Tangu raisi aingie madarakani amekuwa akijibu hoja nyingi ambazo wapinzani walikuwa wakizipigia kelele. Hivyo uwepo wa Magufuli kwa sasa umefanya watanzania waamini kuwa mabadiliko yanaweza kufanyika hata ndani ya CCM hivyo miaka ijayo ni wazi kuwa watanzania hawataona haja ya kuijaribu upinzani ilhali wanapata majibu ya maswali yao kutoka kwa CCM.
2. Wapinzani kujenga hoja nyepesi
Wimbo mkuu wa upinzani hauchezeki kwa sasa hasa baada ya Magufuli kuingia ikulu, hoja nyingi za wapinzani kwa sasa hazina nguvu, mfano wanapokuja kusema kwanini rais Magufuli hataki kusafiri nje ya nchi ni hoja ya kuchekesha sana wakati haohao walikuwa wa kwanza kukemea safari za nje za aliyekuwa raisi wa awamu ya nne ila leo hii wanabadilika.
Hizo ni baadhi tu ya sababu na najua zipo nyingi ila amini usiamini CHADEMA itakufa kabla ya uchaguzi ujao.
Mkuu hiyo yote ni ile kauli ya kikwete ya kuwaombea kibarua kwa magu,yaani sasa hivi jf imevamiwa na viwavi jeshiHakika kuna watu wanapenda sana kuongea kwa nyuma huku mbele kukiwashinda. unapomlaani mpinzani wako ili afe sasa unadhani hiyo mechi utacheza we na sangazi yako????????????????
Ukweli ni kwamba watakufa wooote wailaanio CDM lakini yenyewe haitakufa kamwe kwa maana haina unafiki kama wao.
Wanaoilaani watalaaniwa na watakaoibariki tayaari wameshabarikiwa.
Ole wao waineneayo mabaya, siku ikifika watabaki midomi wazo wakiiona ikidunda nao wakibaki kua walewale na unafiki wao uliopitiliza. Mungu ibariki CDM, Mungu ibariki UKAWA na makamanda wote.
Cdm ni kuwahudumia watanzania,ruzuku ni ccmNa ruzuku imeongezeka
Huyo hana faida ni afadhali akatupwa msitu wa mabwepande aliwe na wadudukama una mali andika urithi haraka sana , ushahidi unaonyesha wazi kabisa kwamba ukiichulia kifo chadema humalizi wiki mbili , mifano ni mingi , usicheze na Mungu mjomba , ni vema ukachagua na kiwanja kabisa , kisutu , chang'ombe , kinondoni au tukupeleke kwenu ?
Amfikirie wapi huyu ni kati ya wale wapiga deki wa lumumbaHakuna taifa imara bila upinzani imara wewe kibarua chako cha lb46uv kisikutoe akili haya kachukue buku saba yako VIP pombe aliwafikiria au bado kama alivyoambiwa na mwenye kiti wenu maana mwezi wa kwanza yupo kimya
Ndio wanaongeza idadi ya vibaka hapa townccm ni wabaguzi sana , kati ya vijana 10000 eti wamechagua 46 tu ! sasa hao zaidi ya 9000 tutawapeleka wapi ?
Muulize mhe mmoja anayeitwa Wasira, aliwahi kuja na utabiri kama huu lakini mwisho wa siku 'akafa' yeye kisiasa...Kutokana na spidi aliyoanza nayo Mh JPM ni wazi kwamba nguvu ya chama kikubwa cha upinzani kitafifia na kupotea midomoni mwa watu kutokana na sababu mbalimbali.
Ni ukweli usiopingika kuwa JPM ndani ya siku 100 ameweza kuonesha muelekeo mzuri kwa wananchi ambapo utafiti uliofanywa unaonesha wananchi kwasasa wanamkubali zaidi Magufuli kuliko aliyekuwa mgombea wa chama pinzani ndugu Edward Lowassa.
Zipo sababu ambazo zitapelekea kufifia na kufa kwa nguvu yake ya upinzani;
1. Spidi ya JPM
Tangu raisi aingie madarakani amekuwa akijibu hoja nyingi ambazo wapinzani walikuwa wakizipigia kelele. Hivyo uwepo wa Magufuli kwa sasa umefanya watanzania waamini kuwa mabadiliko yanaweza kufanyika hata ndani ya CCM hivyo miaka ijayo ni wazi kuwa watanzania hawataona haja ya kuijaribu upinzani ilhali wanapata majibu ya maswali yao kutoka kwa CCM.
2. Wapinzani kujenga hoja nyepesi
Wimbo mkuu wa upinzani hauchezeki kwa sasa hasa baada ya Magufuli kuingia ikulu, hoja nyingi za wapinzani kwa sasa hazina nguvu, mfano wanapokuja kusema kwanini rais Magufuli hataki kusafiri nje ya nchi ni hoja ya kuchekesha sana wakati haohao walikuwa wa kwanza kukemea safari za nje za aliyekuwa raisi wa awamu ya nne ila leo hii wanabadilika.
Hizo ni baadhi tu ya sababu na najua zipo nyingi ila amini usiamini CHADEMA itakufa kabla ya uchaguzi ujao.
Ccm wabunge wao wao wanazidi kupungua kila uchaguziyaani graph yao imenamia chini kwa speed ya rocketHiki kifo cha chadema ni tofauti na vifo vingine aisee!!mana kufa kwetu kunasababisha idadi ya wabunge wa ukawa kuongezeka!!what a surprise!!na wabunge Wa ccm wanaotutabiria vifo vya kisiasa wenyewe wanazidi kuimarika(wassira)!tunahitaji vifo zaidi!hahahaha
Punguza Siasa..Kutokana na spidi aliyoanza nayo Mh JPM ni wazi kwamba nguvu ya chama kikubwa cha upinzani kitafifia na kupotea midomoni mwa watu kutokana na sababu mbalimbali.