CHADEMA itakufa kabla ya uchaguzi ujao

CHADEMA itakufa kabla ya uchaguzi ujao

Kutokana na spidi aliyoanza nayo Mh JPM ni wazi kwamba nguvu ya chama kikubwa cha upinzani kitafifia na kupotea midomoni mwa watu kutokana na sababu mbalimbali.

Ni ukweli usiopingika kuwa JPM ndani ya siku 100 ameweza kuonesha muelekeo mzuri kwa wananchi ambapo utafiti uliofanywa unaonesha wananchi kwasasa wanamkubali zaidi Magufuli kuliko aliyekuwa mgombea wa chama pinzani ndugu Edward Lowassa.

Zipo sababu ambazo zitapelekea kufifia na kufa kwa nguvu yake ya upinzani;

1. Spidi ya JPM
Tangu raisi aingie madarakani amekuwa akijibu hoja nyingi ambazo wapinzani walikuwa wakizipigia kelele. Hivyo uwepo wa Magufuli kwa sasa umefanya watanzania waamini kuwa mabadiliko yanaweza kufanyika hata ndani ya CCM hivyo miaka ijayo ni wazi kuwa watanzania hawataona haja ya kuijaribu upinzani ilhali wanapata majibu ya maswali yao kutoka kwa CCM.

2. Wapinzani kujenga hoja nyepesi
Wimbo mkuu wa upinzani hauchezeki kwa sasa hasa baada ya Magufuli kuingia ikulu, hoja nyingi za wapinzani kwa sasa hazina nguvu, mfano wanapokuja kusema kwanini rais Magufuli hataki kusafiri nje ya nchi ni hoja ya kuchekesha sana wakati haohao walikuwa wa kwanza kukemea safari za nje za aliyekuwa raisi wa awamu ya nne ila leo hii wanabadilika.

Hizo ni baadhi tu ya sababu na najua zipo nyingi ila amini usiamini CHADEMA itakufa kabla ya uchaguzi ujao.
Karibu kwenye ulimwengu wa GT
 
Amfikirie wapi huyu ni kati ya wale wapiga deki wa lumumba
Mwenyekiti wao aliomba wafikiriwe maana ccm ni chama cha kutekeleza wanachama wake na mwezi wa kwanza naye yupo kimya tangu akose alichokipigania kwa hiyo vijana wameombewa wafikiriwe
 
PIX-15.jpg
asante kwa picha mkuu .
 
Mwenyekiti wao aliomba wafikiriwe maana ccm ni chama cha kutekeleza wanachama wake na mwezi wa kwanza naye yupo kimya tangu akose alichokipigania kwa hiyo vijana wameombewa wafikiriwe
Mkuu yule mkwere ni mjanja sana wa siasa,aliona amezidi kuandamwa na vijana wa mtandaoni akaamua kuwaingiza kingi ya kuwaombea kaxi
 
Mkuu sitashangaa kuwaona hawa hawa vijana wakianza kuiponda serikali hii ya ccm hapo ndipo maigizo yatakapokuwa yameisha maana naona posho akuna tena
 
Wana Ccm ni sawa na kinyonga wao ubadilika kwa kufuata maslahi
 
Aliyasema Wasira ila yeye ndo kafa kwa kukosa ubunge
 
Wana Ccm ni sawa na kinyonga wao ubadilika kwa kufuata maslahi
Hiyo ndio ilani ya chama wanaita maslai kwanza uoni Akina six ma maembe wameanza kumkosoa taratibu watanzania watelewa walikosea
 
Hizo ni dharau sana na hii ni kawaida kwa watu waccm huwezi kufananisha kifo cha mende na chadema huo ni upuuzi wa hali ya juu sana.
 
Akili zako za matope ndio zinakutuma hivyo
Mwisho wenu ndio unakaribia maana mabwana zenu walio watuma sasa wapo kijijni kwao wanakula pension na hao mliobakia nao ndio uso wa mbuzi,ama kweli mshahara wa msaliti ni kusalitiwa
 
Kutokana na spidi aliyoanza nayo Mh JPM ni wazi kwamba nguvu ya chama kikubwa cha upinzani kitafifia na kupotea midomoni mwa watu kutokana na sababu mbalimbali.

Ni ukweli usiopingika kuwa JPM ndani ya siku 100 ameweza kuonesha muelekeo mzuri kwa wananchi ambapo utafiti uliofanywa unaonesha wananchi kwasasa wanamkubali zaidi Magufuli kuliko aliyekuwa mgombea wa chama pinzani ndugu Edward Lowassa.

Zipo sababu ambazo zitapelekea kufifia na kufa kwa nguvu yake ya upinzani;

1. Spidi ya JPM
Tangu raisi aingie madarakani amekuwa akijibu hoja nyingi ambazo wapinzani walikuwa wakizipigia kelele. Hivyo uwepo wa Magufuli kwa sasa umefanya watanzania waamini kuwa mabadiliko yanaweza kufanyika hata ndani ya CCM hivyo miaka ijayo ni wazi kuwa watanzania hawataona haja ya kuijaribu upinzani ilhali wanapata majibu ya maswali yao kutoka kwa CCM.

2. Wapinzani kujenga hoja nyepesi
Wimbo mkuu wa upinzani hauchezeki kwa sasa hasa baada ya Magufuli kuingia ikulu, hoja nyingi za wapinzani kwa sasa hazina nguvu, mfano wanapokuja kusema kwanini rais Magufuli hataki kusafiri nje ya nchi ni hoja ya kuchekesha sana wakati haohao walikuwa wa kwanza kukemea safari za nje za aliyekuwa raisi wa awamu ya nne ila leo hii wanabadilika.

Hizo ni baadhi tu ya sababu na najua zipo nyingi ila amini usiamini CHADEMA itakufa kabla ya uchaguzi ujao.
Chadema ife Mara Ngapi Mkuu?
 
Chama Cha Mashetani ni shida tupu.Mmekataa TBC kuonesha bunge live ili kuua upinzani?Hakika hamtaweza kamwe.
 
Kwasababu Waafrika bado tuko kwenye "brain evolution",ndio maana mnaona Magufuli anafanya vizuri wakati kuna mambo makubwa na mazito hayagusi.

No wonder this continent is called a black continent.

unajua unachokieleza wewe ni kama ushabiki
sasa kuna mahusiano gani kati ya magufuli na mambo nyeti ya wapinzani? magufuli amewafunga waliogawana pesa za Escrow? mabehewa je bado magufuli hajajibu hoja nyingi za wapinzani
 
Wewe ba huyo nani anajibu vitu kishabiki!! Huyo magufuli katoka madarakani au ndio kwaanza ana siku100!
Kwanyie niheri muendelee na hoja yenu hiyohiyo ya Zanzibar
maana ya ufisadi ndio mlisha ivurunda kwa kuolewa na Jizi papa
 
Amekufa wasira kisiasa kabla ya Chadema..jipange tena usije kuanzia kufa huku JF
 
Back
Top Bottom