CHADEMA itabaki kuwa CHADEMA tu

CHADEMA itabaki kuwa CHADEMA tu

Nakubaliana na wewe hata mimi ningependa hata leo aachie, lkn kwa mazingira haya sioni wa kuhimili mikiki ya watawala, mikiki ya TRA nk, Mbowe kama ni mali anajitoshereza hahongeki kirahisi angekuwa mwingine siku nyingi angeshafika bei, kama unataka Mkiti for the sake ya sura mpya OK.
Hii tabia ya kusema hakuna mtu wa kuhimili mikiki mikiki ya ya dola. Watakapoitumia Ccm kubadili katiba ili Jiwe aendelee kutawala tuwe tayari kuikubali pia.
 
Chadema ilipaswa ibadili aina ya siasa zake ziendani na siasa za awam hii, pili kamati kuu ya chama pamoja na mtendaji mkuu wa chama wabapaswa wajitafakari, Katibu mkuu anawajibu wa kuwajengea kujiamini watendaji na wanachama wake, Chadema ya sasa inakosa taarifa nyeti kutoka serikalini, taarifa hizo zingesaidia kuuelimisha umma juu ya nini kifanywa na serikali, serikali hii imejaa kashfa nyingi sana. je ushahidi wa kashfa hizo unapatikanaje???
Upatikanaji wa classified info tangu aondoke Dr Slaa ndio umekufa mazima.
 
Hii tabia ya kusema hakuna mtu wa kuhimili mikiki mikiki ya ya dola. Watakapoitumia Ccm kubadili katiba ili Jiwe aendelee kutawala tuwe tayari kuikubali pia.
Kiongozi wa chama na kiongozi wa nchi ni watu wawili tofauti wenye mamlaka tofauti na malengo tofauti, mwingine anaongoza kikundi cha watu mwingine analiongoza taifa.
 
Unaweza kutoa sababu za msingi kwa nini unapenda kuona uongozi wa juu ukibadilika mawazo yanayofanana na wafuasi wa CCM wanaotaka kuona Mbowe akiondoka.

Sababu ya kukaa muda mrefu itoe siyo sababu ya msingi.
Unamaanisha leo hii Katiba ya nchi ikibadilishwa. Ikasema Rais aliyepo madarakani anaweza kutawala hata kwa miaka 30. Utakubaliana na mabadiliko hayo ?
 
Unataka Mbowe aingie msituni?, talk the alternatives ili tuzijadili tuzichambue kama ni relevant lkn kusema tu uwezo wake umeisha haina uzito wowote mtu yeyote anaweza kusema hivyo including his enemies.

Mkuu nilichosema ni yeye kumpa kijiti mwanachama mwingine. Hiyo kuingia msituni ni kama kutaka kuhamisha mantiki kwa kuishiwa hoja. Hili lina ubaya gani kama lengo ni kuiongoza cdm kitaasisi na sio mtu? Sio lazima uwezo wake uwe umeshuka ila umegota kutokana na changamoto ya muda, ni vyema kumpa mwingine naye aonyeshe uwezo wake? Wote mimi na ww tunakubaliana kwamba cdm ni taasisi na sio mtu, why inapokuja kwenye uenyekiti isiwe taasisi bali Mbowe? Huoni ww ndio wale wahifidhina wanaosababisha cdm kuitwa mali ya Mbowe? Nasisitiza tena, wakati ukuta ukishindana nao utaumia mwenyewe.
 
Ibadilishwe na nani? kama binafsi nitahusika kuibadilisha na majority wakakubali kama tulivyokubali vyama vingi why not, waitishe tu referendum tupige kura.
 
Nimesoma sijaona sababu yeyote ya msingi kwa nini Mbowe apumzike, porojo ni zile zile kakaa muda mrefu.

Mafanikio hupimwa kutokana na uzalishaji, mapato, Chadema imeanza haina diwani hata mmoja haina mbunge hata mmoja haina halmashauri hata moja leo imekuwa threat kwa chama tawala still huoni mafanikio?

Unaposema huoni matawi mpya nafikiri huijui Chadema, Chadema sasa inaendesha programme ya Sera Mbadala, kufungwa kwa mbunge na kufutwa kwa Nasari ubunge nazo unamlaumu Mbowe ambaye naye juzi akatoka mahabusu? Nafikiri hata kupigwa risasi kwa Lissu utamlaumu Mbowe.

Ndiyo maana sisi tunaoziangalia siasa za Tanzania tukiwa huru tunawaona mnaoilaumu Chadema na Mbowe hamna tofauti na watu wasiojulikana.
Mkuu mbona hapo unajichanganya sana. kuna muda unajaribu kuonesha kwa taasisi yetu ni imara wakati huo huo unajaribu kuonesha taasisi sio imara ila kiongozi wake mmoja ndio imara.

Je huoni pamoja na mafanikio aliyoyaleta ndugu mwenyekiti lakini kitendo cha kuwa submissive wakati huu ambapo tunaona udhaifu mkubwa katika intelijensia ya chama inayopelekea wabunge kuhama kuweka mipango ya kuhama ovyo ovyo bila uongozi wa chama kutambua hila hizo kabla ya wakati?

Kwa mapungufu hayo ni dhahiri shahiri kwamba mwenyekiti amechoka kuongoza chama.
 
Mkuu nilichosema ni yeye kumpa kijiti mwanachama mwingine. Hiyo kuingia msituni ni kama kutaka kuhamisha mantiki kwa kuishiwa hoja. Hili lina ubaya gani kama lengo ni kuiongoza cdm kitaasisi na sio mtu? Sio lazima uwezo wake uwe umeshuka ila umegota kutokana na changamoto ya muda, ni vyema kumpa mwingine naye aonyeshe uwezo wake? Wote mimi na ww tunakubaliana kwamba cdm ni taasisi na sio mtu, why inapokuja kwenye uenyekiti isiwe taasisi bali Mbowe? Huoni ww ndio wale wahifidhina wanaosababisha cdm kuitwa mali ya Mbowe? Nasisitiza tena, wakati ukuta ukishindana nao utaumia mwenyewe.
By the way for the best ten years chama kimetengeneza wanachama wengi mahiri na jasiri hebu tujaribu kuwatumia kumreplace Mbowe.

Mbona John Heche alifanya vizuri sana kwenye uenyekiti wa Bavicha na Salum Mwalimu did the best alipoondoka Slaa kuna kina Professor Safari wako vizuri na wazoefu wa mapambano why tuendelee kuwa amini ni Mbowe pekee ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndipo hasa ninapomuambia Quinine, sio mara moja au 2 kwenye nyuzi mbali mbali nimekuwa nikisema ni muda sahihi wa Mbowe kuachia kijiti kwa mwingine. Lakini amekuwa akigoma kwenye eneo hili japo tunakubaliana kwenye mengi. Nahisi huyu Quinine ndio Mbowe mwenyewe.
 
In fact top leadership ya CDM kwa sasa yote iko tired and frustrated.

Mawazo mapya yanahitajika kututoa hapa kutupeleka pale.

Nakumbuka Labour party walipopoteza kwenye uchaguzi kule uingereza Ed Miliband alistep down na mdogo wake David Milband akachukua kiti.

Taasisi imara lazima izingatia hili pia la fresh ideas na personalities tofauti kupokezana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nilitarajia unakuja na hoja za msingi kumbe unanibebea hoja nyepesi hivyo? Hiyo kwamba Nyerere alifanya siasa chini ya miembe mimi ndio nimekuwa nikiwajibu wanaccm hapa jukwaani toka 2013 walipokuwa wanaibeza cdm kutokuwa na ofisi. Hivi unaweza kukabidhiwa watoto uwaongoze kisha leo kapotea mmoja, kesho mwingine, na mtondogoo hivyo hivyo kisha useme bado una uwezo wa kuwaongoza? Hayo mafanikio ndio hayo ninayokuambia kilele cha Mbowe kwenye mafanikio ilikuwa 2015, kwa mtu asiyejijali bali kuamini taasisi angepisha mwingine. Haidhuru basi angesema uchaguzi ujao hatagombea ili kutoa nafasi kwa mwanachama mwingine. Narudia tena, wakati ukuta.

Tindo, umelirudia hili mara kwa mara, kiasi kwamba inanibidi niheshimu fikra na pengine hata kuanza kushawishika jambo husika lifikiriwe na kujadiriwa ndani ya chama na Mbowe mwenyewe asilionee kinyongo. Ninapata taabu sana kuitetea hoja yako, lakini haina maana kwamba sioni mantki ndani yake.

Na wazo hili linatokana na uamini kwamba CHADEMA ni chama cha watu wengi wenye msimamo wa pamoja kuhusu chama chao.

Watu hawa ndio wenye uwezo wa kuamua, kama Mbowe aendelee kuongoza chama chao, au awekwe kiongozi mwingine.

Hii haitakuwa na maana kwamba Mbowe ameshindwa kuongoza, (bali litakuwa ni hitaji la kuleta mawazo mapya ndani ya chama)? Hili ni swali.

Je, uwepo wa Mbowe unazuia mawazo mapya? Hao wenye mawazo mapya yenye manufaa makubwa lakini wakashindwa kuyawasilisha ndani ya chama kwa vile sio viongozi wakuu wa chama, ni mawazo ya namna gani hayo; na hawa viongozi wana commitment kiasi gani ndani ya chama chao?

Wanachama wa CHADEMA wanawafahamu vizuri viongozi wao kuliko sisi tulio nje ya chama.
Kwa kuunga mkono msimamo wako; je kukiitishwa uchaguzi wawachague viongozi na wakataka Mbowe aendelee kuwa kiongozi wao bado utaona wamekosea? Kwa bahati nzuri msimamo wako juu ya swali hilo pia unajulikana!

Tatizo juu ya hili kufanyika sasa pia linajulikana. Sio wakati sahihi kufanya hivyo; na watasambaratishwa wasijue ni nini kimewatokea. Wewe hili huliamini kuwa linawezekana kutokea!

Kutaka Mbowe ajitoe katika uongozi, hasa wakati huu, wazo hilo sio la kuitakia mema CHADEMA na nchi kwa ujumla.

CHADEMA kama wanata mabadiliko, wakati sahihi wa kufanya mabadiliko hayo sio sasa, itabidi wasubiri baada ya 2020.
 
By the way for the best ten years chama kimetengeneza wanachama wengi mahiri na jasiri hebu tujaribu kuwatumia kumreplace Mbowe.

Mbona John Heche alifanya vizuri sana kwenye uenyekiti wa Bavicha na Salum Mwalimu did the best alipoondoka Slaa kuna kina Professor Safari wako vizuri na wazoefu wa mapambano why tuendelee kuwa amini ni Mbowe pekee ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukiwa na free thinking tutakubaliana kwamba kuendelea kuwepo kwa mh mwenyekiti pale ofisini tena baada ya yule jamaa aliyempokea kutoka ccm kurudi alikotoka kunatokana na maslahi binafsi.
 
Big up sana mtoa post umeufanya mchana wangu uende swaafi kabisa kingine nakupongenza post kama hii huowaoni mbwa wa lumumba bg up sana salut kwakooooooo
 
Hapa ndipo hasa ninapomuambia Quinine, sio mara moja au 2 kwenye nyuzi mbali mbali nimekuwa nikisema ni muda sahihi wa Mbowe kuachia kijiti kwa mwingine. Lakini amekuwa akigoma kwenye eneo hili japo tunakubaliana kwenye mengi. Nahisi huyu Quinine ndio Mbowe mwenyewe.
malcom Lumumba alitoa wazo pale juu naona tumeliunderate sana.
CDM kilishafanikiwa kuwin mass ila bado hakijafanikiwa kuwin dola na vyombo vyake nafikiri mkakati mkubwa uelekezwe huko kwa sasa badala ya kuparurana na kina pole pole tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nilichosema ni yeye kumpa kijiti mwanachama mwingine. Hiyo kuingia msituni ni kama kutaka kuhamisha mantiki kwa kuishiwa hoja. Hili lina ubaya gani kama lengo ni kuiongoza cdm kitaasisi na sio mtu? Sio lazima uwezo wake uwe umeshuka ila umegota kutokana na changamoto ya muda, ni vyema kumpa mwingine naye aonyeshe uwezo wake? Wote mimi na ww tunakubaliana kwamba cdm ni taasisi na sio mtu, why inapokuja kwenye uenyekiti isiwe taasisi bali Mbowe? Huoni ww ndio wale wahifidhina wanaosababisha cdm kuitwa mali ya Mbowe? Nasisitiza tena, wakati ukuta ukishindana nao utaumia mwenyewe.
Wakati ni ukuta kwa wote sio kwa Mbowe tu.

Kama wewe ni mfuatiliaji wa siasa za Chadema nafikiri viongozi wenye uwezo wa kuongoza Chadema unawajua kama huwajui itakuwa tunajadili bure, tupe angalau majina mawili yenye uwezo wa kuwa Mkiti Chadema, inawezekana tunasema wabadili for the sake ya kubadilisha kumbe hata wa kubadilisha hayupo.

Binafsi siwezi kudai UDP wamtoe Cheyo uenyekiti wakati sijui kama kuna mtu wa kumpokea Cheyo, ni wao ndio wanaojua uwezo wake.
 
Unataka Mbowe aingie msituni?, talk the alternatives ili tuzijadili tuzichambue kama ni relevant lkn kusema tu uwezo wake umeisha haina uzito wowote mtu yeyote anaweza kusema hivyo including his enemies.
Kama kumbukumbu yangu hainiangushi, nakuomba urejee wakati ule wa kampeni iliyokuwa inapangwa ya "UKUTA." Angalia watu waliokuwa wanapigia kelele nyingi sana UKUTA ifanyike bila kujali dalili za matokeo yake.
Sijui wakati huu tungekuwa tunasemaje!
 
Tukiwa na free thinking tutakubaliana kwamba kuendelea kuwepo kwa mh mwenyekiti pale ofisini tena baada ya yule jamaa aliyempokea kutoka ccm kurudi alikotoka kunatokana na maslahi binafsi.
True kwa hakika Chadema uchaguzi wa 2015 kilijipaka shombo chenyewe kiasi cha kuanza kupoteza mwelekeo.

Kwa hili top leadership ya chama inapaswa kubeba lawama na kuanza kushughulikia makosa yake la sivyo kutaendelea kuonekana ombwe ambalo ACT wanaanza kulitumia kujijenga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati ni ukuta kwa wote sio kwa Mbowe tu.

Kama wewe ni mfuatiliaji wa siasa za Chadema nafikiri viongozi wenye uwezo wa kuongoza Chadema unawajua kama huwajui itakuwa tunajadili bure, tupe angalau majina mawili yenye uwezo wa kuwa Mkiti Chadema, inawezekana tunasema wabadili for the sake ya kubadilisha kumbe hata wa kubadilisha hayupo.

Binafsi siwezi kudai UDP wamtoe Cheyo uenyekiti wakati sijui kama kuna mtu wa kumpokea Cheyo, ni wao ndio wanaojua uwezo wake.
Hapana.
Inawezekana sana kuwemo viongozi imara sana ndani ya CHADEMA kama alivyo imara Mbowe, ila hawatambuliki kwa vile hawajajitokeza ili wapimwe uwezo wao na wanachama wenzao.
Ni kiasi tu, wakati mwafaka ukitimia, Mbowe na viongozi wenzake waweke utaratibu ili wanaotaka kujitokeza wapimwe wapewe fursa hiyo. Wakati wa kufanya hivyo si sasa.
 
Mkuu mbona hapo unajichanganya sana. kuna muda unajaribu kuonesha kwa taasisi yetu ni imara wakati huo huo unajaribu kuonesha taasisi sio imara ila kiongozi wake mmoja ndio imara.

Je huoni pamoja na mafanikio aliyoyaleta ndugu mwenyekiti lakini kitendo cha kuwa submissive wakati huu ambapo tunaona udhaifu mkubwa katika intelijensia ya chama inayopelekea wabunge kuhama kuweka mipango ya kuhama ovyo ovyo bila uongozi wa chama kutambua hila hizo kabla ya wakati?

Kwa mapungufu hayo ni dhahiri shahiri kwamba mwenyekiti amechoka kuongoza chama.
Kuhama kwa mtu hakutegemei intelejensia ni utashi wa mtu hata Chadema ingekuwa na intelejensia gani mtu akiamua atahama tu kwani CCM hawana intelejensia mbona wanahama.

Mkiti hawezi kuondolewa kwa Mutulia au Mwita kuhama inawezekana wanahama kwa njaa zao tu, unafikiri wote wanaohama wanaunga mkono juhudi, wengine ni madeni yao ya TRA, kwa hiyo mzigo wao unataka aubebe Mbowe.
 
Back
Top Bottom