Hayo ni mawazo yako finyu, TZ ni muhimu sana kuliko uongo mnaolishwa na viongozi wa vyama vyenu.
Kwa taarifa unajitukana mwenyewe.
Rafiki wa kweli ni yule anaekuambia ukweli, Israel wametuambia ukweli kuliko wale wanao tuambia uchumi wetu unapaaaaaaaaa wakati tuna pigika mpaka hata pesa ya kulipa wafanyakazi hatuna.....
Kabla hujakurupuka you should Ask what i do for a living ...!? Am a Doctor holding bachelor of MD & Surgery .... unajuwa toka 2005 mpaka sasa nimeokoa maisha ya watu wangapi hospitali ....! kama weye ni jobless na huna umuhimu hapa duniani ni kivyako na siwezi nikakubaliana na kauli za huyo mpuuzi kwa mimi ni sawa na karatasi la toilet mimi kama mtanzania nina umuhimu wangu kama sio kwake basi kuna watu wengine ... pumbav sana huyo barak #%&@
Nilikuwa ninampango wa kuendelea kuchangia kwenye thread hii lakini baada ya kuona badiko hili naona umemaliza kila kitu....Asante sanaKwanza Israel katusaidia kutuonyesha u-kondoo wetu.... UKWELI UTABAKI KUWA UKWELI.. hata tujitutumue vipi..!!! Mwingine anamuushisha Nyerere..!!! Enzi za Nyerere upuuzi wote uaotudharaurisha usingekuwepo!!! watu mnagawa dhahabu bure kwa majahili bado msidharaulike!!!! Hata wasiosema wanatudharau zaidi ila wanaona wanyamaze ili....... (people might not notice the difference).... Mtu mzima miaka 50 bado hata kutambaa hawezi!!! Kalaaniwa au ni zezeta.... SAMAHANI KAMA NIMEKUKWAZA
Hilo dege la jeshi lina uafadhali, hawa mapacha watatu Richmondi, dowanz na symbioni tunao miaka nenda miaka rudi mkuu wa kaya katuambia hata hawajui!! Lakini anatetea walipwe tuuu pesa yao. Jifanye wewe ni balozi unayewakilisha nchi yako hapa TZ halafu waziri Mkulo anakujia kukuomba uchangie kwenye bajeti yake ya mwaka ujao!! Katika mazingira kama haya nani atakuheshimu? Tunastahili kudharaulika na nchi zingine. Naungana na wachangiaji wengine kwamba wanaostahili kutuomba radhi ni sisiemu iliyotengeneza na kutekeleza sera ambazo zimetufikisha hapa.
Ni aibu sana.
hivi tunaposema dar sio itigi... tunakosea?? au msaki sio kambi ya fisi pia tunakosea sio?
na kweli, kweli kabisa yani kweli tunategemea Membe atawaaambia jamaa watuombe radhi? na hata akisema wataomba?
John Mnyika kwa nini hushangai Waziri wa ulinzi wa Israel ndiye anazungumzia sera za nje badala ya waziri husika wa mambo ya nje wa Israel ambaye tuna uhakika anajua vema zaidi mambo hayo? hapa kuna namna!!!!
Kwani Israel imeongea uongo? Kama dege la kijeshi linatua nchini na Usalama wa Taifa wapo na linapakia Twiga na kupaa tena bila rais kujua hii nchi ina maana kweli?
Si kweli kwamba kila kinachosemwa na wazungu ni cha kweli. Mnyika kwa taarifa yako tu Marekani ni taifa tajiri sana duniani lakini ndio pia mkopaji namba moja duniani kwa maana ya thamani ya deni la ndani na nje.
Hivi sasa tuna madini ya Urenium ni muhimu sana katika mambo ya ulinzi na utengenezaji wa silaha na nishati. Nasikia Israel walionyesha nia tukakataa. Huyu waziri kuna jambo linamuuma
Kwa hiyo unataka pawe na umoja kati ya wapenda haki na mafisadi?watashea common interest ipi?Tanzania bana inatukanwa na Israel, halafu inashambuliana yenyewe kwa yenyewe!
Kwa hiyo bora ya waarabu wanaotuletea tende harua na nyama ya mbuzi!!kwani hawa washenzi israel tunafaidika nao kitu gani? yote haya ni huyu mbumbu kikwete...
Vipi ulitaka wakudanganye?Crackpot...
Unayo PhD ya ukweli?I own a PhD and I somehow contribute internationally in my area of specialisation...it gets to the point you fail to be proud of our mother land.....SHAME UPON US!
Lakini waisrael wamekuwa wazi,kwao si muhimu!Nawe kwa taarifa yako Tanzania ni muhimu kwa wazungu kuchuma rasilimali na kuiacha hoi bin taabani