CHADEMA isitafute mchawi, ni Mbowe

Hivi Ruta...,
huko ccm huwa mnapewa ukada kwa kutegemea kiwango cha umbumbumbu ulio nao..?!

CCM ina Raisi, Polisisiem, Tissisiem .., Takukurusisiem.., Tume ya Unyanganyi wa Kura.., Wakuu wa Mikoa na Wilaya , Mahakamasisiem.., Jeshi la Wana sisiem.., halafu bado wewe na VILAZA wenzio mnakuja huku mitandaoni kulialia kuhusu Mbowe kama vile hamna nguvu...?!
 
Reactions: BAK
Mmeitana kutoka huko mafichoni ili mje ajazike kwenye huu upuuzi wenu
Kujibu hoja nzito kwa majibu mafupifupi ya matusi ni kuzomea.
Kuzomea mtu ama kuzomea kiongozi hakufanywi kwa utashi wa hekima ama busara za mzomeaji kwa muktadha wa kuguswa na hisia fulani, bali kuna msukumo bila ridhaa ya mzomeaji toka kwa 'mastermind', ni utovu wa heshima.
Zomeazomea huwa ni malipo ya hongo ya vitu vidogo vidogo mfano wa 'sheli' la pombe za kienyeji, sahani ya pilau ama ukabila na ukanda.
Wakishamaliza kuzomea, huwa tayari wamelipia walichokula ama kulipwa na kuendelea na shughili zao.
Sasa humu kwa great thinkers nani analipia wazomeaji wa namna hii?
 
Ngoja nione Leo timu Ufipa watajibu hoja kwa hoja au ndo yaleyale ya Lumumba hoja kwa matusi na kejeli nataka nione utofauti wao.
 
Kazi yenu, kukenua, wakati mnaumia, aliyewaita nyumbu hakukosea.
 
Ni lini CDM wamepata hati safi kutoka kwa CAG, tangu CAG aanze kukagua matumizi ya vyama vya siasa CDM imepata hati chafu kwa miaka yote.
 
Ni lini CDM wamepata hati safi kutoka kwa CAG, tangu CAG aanze kukagua matumizi ya vyama vya siasa CDM imepata hati chafu kwa miaka yote.
Ni lini Chadema wamepata hati chafu? tofautisha hati chafu na hati yenye mashaka. Kama hujui hilo tafata Mhasibu anayejua nini maana yake atakuambia.
Na hakuna chama chochote kikubwa kimewahi kupata hati safi toka vianzishwe
 
Hauna hoja, pesa za ruzuku kwani waga wanagawiwa madiwani ili kuwazuia wasinunuliwe na ccm?

Mbona usihoji pesa za ruzuku za ccm zinaenda wapi wala ukiukwaji wa haki za binadamu ambao hadi wazungu ughaibuni wanaona. You're definitely out of touch with reality.
 
Mbona unataja tabia za ccm vijijini kk ndio michezo yenu kununua pombe za kienyeji na vitenge kuwarubuni maskini ccm should stop that habit
 
Wanabodi


Barua ya msajiri kwa CDM, haina uzito wowote wala uhalari wa kisheria. Lengo mahususi ni kuhamisha watu kwenye reli.
Ukitaka kujua mleta hoja ni CCM haihitaji kutumia nguvu kubwa.

Chadema Hakuna Mashininani, Chadema tuna Misingi.
 
Mbowe ni shujaa
 
Nani asiyejua kuwa kila mwaka CHADEMA imekuwa ikiambulia hati chafu kutoka kwa CAG?

Acha kujitoa ufahamu. Kuna tatizo kubwa sana la matumizi ya fedha za umma huko CHADEMA.

Sasa sijui mkiipata Hazina kuu itakuwaje
 


Mbona vyote ulivyotoa ni innuendoes bila data,dates,places,na wahusika?

Cha msingi ungetoa tarehe,wahusika,maeneo,etc?Real data,sio innuendos!
 
Mbowe alkuwa kiongoz mzur lkn tokea amkarbishe lowasa amekiharbia sifa Chama Sasa hv amepoteza mwelekeo
 
Ngoja wavuke mto ndio utawajua,unamsema mungu wao Mbowe ambaye hakosei,jitayarishe na mvua ya mitusi,kejeli na ujinga kibao.Tatizo Chadema hawapendi kuangalia mbaya wao waliyenae wao kila ubaya ni kutokana CCM ,na Mbowe ndivyo anavyotaka hivyo ili ale vizuri .Mwenyekiti gani anakuwa mwenyekiti wa maisha kwenye chama cha demokrasia ,si ajabu hata Babu Seya anashangaa kumkuta bado Mbowe ni mwenyekiti-Mbowe na Wenger wa Arsenal hawana tofauti
 
mbowe ni mfanyabiashara wa siasa,hilo halina ubishi
japo ni ukweli mchungu
Pia ni Mjasiriasiasa,kwa nchi za kiafrika mtu yeyote ambaye ni mfanyabiashara tapeli kuwa mwanasiasa na kumpa uongozi ni kutaka kukifilisi chama,hivi mnadhani Mbowe mjinga kuwa mwenyekiti wa maisha?ukitaka kumjua Mbowe gombea au tangaza nia ya kugombea uenyekiti Chadema,Chadema ni mali ya Mbowe na mwe wake mzee Mtei,wengine wote ni vibarua tu
 
Watu wanapokosa cha kusema huishia kuokoteza ili kupata bk7. Pole sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…