Wewe unayeishabikia ccm na polisi umesgajiuliza kwa nini polisi waliiba maiti mochwari pale TARIME na kuziteketeza barabarani ili kupoteza ushahidi hivyo kaa ukijua timu nzima uliopo ikulu kuanzia KIKWETE, na serikali yake ni MAJAMBAZI YA KUTISHA, ili kukuthbirishia hilo jiulize kwa nini GARI YA IKULU ilitumika kumteka DR. ULIMBOKA, je serikali iliwahi kuzungumzia hilo gari? Jibu hakuna, JE alie muua MWANGOSI si ni polisi, je alishahukumiwa au kufungwa, hakuna je unajua halipo kwa sasa? Hujui ok... ntakwambia yuko mitaani, na JE aliyeua mtoto ba kufumua ubongo kwa risasi si ni polisi? Je amechukuliwa hatua gani? Hivo fikiria mara mbili kabla ya kuihukumu CDM