CHADEMA inatakiwa kuwa makini juu ya mwanajeshi wa JWTZ

Mkuu wangu Mungi,

Niaje? Habari ya Ngar'na? Ushauri wako umezingatiwa. Chama kiko makini sana kupitia kitengo cha intelijensia kubaini mambo kama haya.

Ni chama kilichomo katikati ya mioyo ya Watanzania.

Cc - Crashwise, Invisible

Mkuu habari ya Ngar'na ni njema sana............................... it's just precaution, sote tunafahamu umakini wa chadema, ndo maana mission ya PM7 ilifeli ni kwa sababu ya umakini wa chadema
 
Ok, Je, kina Lema na Nasari walimhoji vizuri with evidence kwamba jamaa ni mjeshi kweli? Kama ya mapicha yale hadharini? If yes then bravo else ... something must be wrong somewhere.
 
Ok, Je, kina Lema na Nasari walimhoji vizuri with evidence kwamba jamaa ni mjeshi kweli? Kama ya mapicha yale hadharini? If yes then bravo else ... something must be wrong somewhere.

Mkuu amkawewe
Wamhoji? What for? Naona hii issue inakuzwa sana. Yaani mtu kwenye mkutano wa hadhara ameomba kupiga picha na wabunge; kwa hiyari yake mwenyewe, liwe kosa la akina Lema na Nassari? Hapana.

Mwamunyange na Ndomba watoe tamko kama alivyofanya Shimbo mwaka 2010? Au ile ya Mkuu Mwigulu Nchemba ya Askari Wameapa na Kuahidi Kuilinda Serikali ya CCM ?(Nadhani alikumbuka ile ya Chipukizi - NAAPA, NAAHIDI MBELE YA CHAMA; MAPINDUZI NITAKULINDA MPAKA KUFA)
 
Sidhani kama ametumwa,inawezaje serikali kumtuma mtu ambae taswira yake tu ya ujeshi italeta hamasa ata kwa wengine walio jeshin waliojificha?? kama ameingia basi ye mwenyewe. Na kingine isiwe chezo pia kwa CDM cheki pande zote mbili..
 
Mkuu habari ya Ngar'na ni njema sana............................... it's just precaution, sote tunafahamu umakini wa chadema, ndo maana mission ya PM7 ilifeli ni kwa sababu ya umakini wa chadema

Mkuu Mungi,

Nashukuru sana. Naamini ulifika pale Nick's na Kenny Garden kuniwakilisha. Maana sikukuu hii ilikuwa murua sana. Taarifa za kiintelijensia ni kwamba, maeneo ya KAMBI YA MONDULI kumenyesha mvua kubwa tangu juzi. Kweli hili ni PAMBAZUKO.

Cc Crashwise,
 
Last edited by a moderator:
Poor analysis..Don't scare people, the very military man is genuine supporter and determined to back M4C by all means. He's just a sample among many of them.

I bet you might be a "gamba" sent out for a special mission to scare people. Be informed that many members of the armed forces are behind M4C. You gonna remain with police-CCM and in the end we'll see who is goin' to win the battle of 2nd liberation.

The intelligence within CDM is well organized and more than what u can think of..
well said
 
Mkuu Mungi,

Nashukuru sana. Naamini ulifika pale Nick's na Kenny Garden kuniwakilisha. Maana sikukuu hii ilikuwa murua sana. Taarifa za kiintelijensia ni kwamba, maeneo ya KAMBI YA MONDULI kumenyesha mvua kubwa tangu juzi. Kweli hili ni PAMBAZUKO.

Cc Crashwise,

hahahaaaaaaa mkuu sikuhizi destination ni Narok pub!
 
Last edited by a moderator:
Si ndivyo tulivyoaminishwa humu, the sehemu ya kushushia hizo inteligence report si ni kupitia humu jf!. Au wewe huamini saa ya kurekodia na ile sumu ya panya?.
P.

Hizo saa za kurekodia zinauzwa kama njugu kule Ebay, kwa $35 tu unapata mpyaa kabisa.
 
Poor analysis..Don't scare people, the very military man is genuine supporter and determined to back M4C by all means. He's just a sample among many of them.

I bet you might be a "gamba" sent out for a special mission to scare people. Be informed that many members of the armed forces are behind M4C. You gonna remain with police-CCM and in the end we'll see who is goin' to win the battle of 2nd liberation.

The intelligence within CDM is well organized and more than what u can think of..
wewe una ugumba wa kufikir...sio kila mtu atoae tahadhari basi ndio umjudge kua ni ccm... Tatizo chadema hatupendwi kurekebishwa kitu ambacho kitakicost chama, tuwe tunachuja mazuri tubebe mabaya tuyaache na sio kupinga kila jambo hata kama ni zuri
 
JWTZ has no moral authority to judge "Jeshi wa Lema" having publicly said it will not allow opposition party to assume power win or loose.
 
Hizo saa za kurekodia zinauzwa kama njugu kule Ebay, kwa $35 tu unapata mpyaa kabisa.
Mkuu Shomari, kumbe ni mambo ya Ebay!, sisi tulijua ni za kitengo!. Watu wana mpaka peni zinarokodi hadi video kwenye HD!, karibu kila mobile ina voice recorder, hivyo inawezekana kijana alijinunulia na kuwarecord wenzake for fun or ndio special duty?. Nitakuomba unisaidie na mimi niipate moja, nikifika mahali na mimi niwarekodi nijiwekee kumbukumbu!
Merry X-mass & Prosperous New Year!.
Pasco
 
Tuliambiwa kuwa Lema alipokwenda Uingereza kufungua matawi aliweza kuonana na Meya wa London na kupewa Chopa moja mpya, na wanachama wa Chadema Uingereza walitoa Ambulance mbili pamoja na magari matano aina ya Nissan, kwa ajili ya M4C.

Mpaka sasa hivi hakuna hata kimoja kilichofika Tanzania, habari kutoka Uingereza zinasema kuwa ilikuwa ni usanii wa Lema hakuna chochote.

600.jpg

26_27_ambulance_cutaway.jpg


lema-chopper.jpg

photo.jpg
 
Uoga wako ndo kushindwa kwako. Mjeda akaribishwe kuunga mapinduzi ya kweli mkono huku akiwa chini ya uangalizi mkali wa red guards. Be strong but not rude,

Waoga wote hawatauona ufalme wa Mungu....Magamba hawana cha kuogopesha....They are exposed inside out, wajiandaye tu kubeba virago vyao....Too late for them!
 
Sio outputs tu mkuu outcome and impact, mana kweneye M&E field output ni kitu kidogo sana like shule zao za kata ni output "utawasikia tumejenga shule 500" watalaamu tunauliza ufaulu ukoje kutoka hizo shule? hapo ndipo CCM hushindwa.
Njia muhimu na madhubuti ya CCM kuihujumu CDM ni serikali kutekeleza ahadi zake na kuwashughulikia MAFISADI wote. Hizi siasa chafu zimepitwa na wakati, sasa wananchi wanahitaji kuona outputs za ukweli.
 
the idea is, CDM should not fear traitors, as any one who is cheap can b bought and Get Transformed, Kutoka Mfia Chama Had Msaliti.., Mifano Ni Ming.... I think CDM should stay focused kuliko wapak bus af wayaache magamba yafanye mashambuliz!
 
Heri ya Krismas wadau,

Nimefuatilia kwa kina comments za wadau wa jukwaa hili kufuatia mwanajeshi aliyepiga picha na Lema kwenye mkutano wake pale Mererani.

Katika mazingira ya kawaida tunaweza kusema kumbe hata jeshi limeguswa na ugumu wa maisha, ama kumbe ndani ya jeshi kuna baadhi ya maafande nao wanachukizwa na utawala mbovu wa serikali ya chama cha mapinduzi.

Lakini katika sakata hili la mwanajeshi wa JWTZ kuonyesha mapenzi take kwa chadema, na kudhiriki hata kutamka wazi kuwa yupo tayari hata kufukuzwa kazi ya jeshi kwa ajili ya chadema iangaliwe kwa macho mawili kumtambua vizuri kama ni kweli ana mapenzi ya dhati na chadema, na siyo kwamba anatumiwa kwa ajili ya kuihujumu chadema.

Inawezekana kabisa kuwa labda ni kweli ameguswa na ugumu wa maisha, ama amechukizwa na utawala mbovu wa Jk ambao umesababisha ugumu wa maisha kwa wananchi wakiwamo familia ya mwanajeshi.

Ikumbukwe kuwa Makamba alishawahi kutamka wakati wa kampeni.za uchaguzi 2010 kuwa CCM wana mbinu zaidi ya 100 kuitawala Tanzania.

Pia ikumbukwe kuwa ni majuzi tu tuliweza kusoma tuhuma mbalimbali kupitia mtandao huu juu ya tuhuma zinazowahusu viongozi na wanachama wa chadema kuihujumu chadema.

Ni ukweli usiopingika kuwa hata mkuu wa nchi ankubali kuwa chadema ni tumaini la watanzania. Sasa katika muktadha huo mwanya unaweza kutumika kuwahadaa wananchi, inawezekana amekuja kufanya kazi maalum.

Kauli ya mwanajeshi huyu kusema kuwa yupo tayari kufukuzwa kazi kwa ajili ya kuishabikia chadema inanipa mashaka, mwanajeshi wa jwtz. Inanifanya niamini kuwa yupo kwa kazi maalum kumdadisi au kufiatilia nyendo na kauli za Lema na viongozi wa chadema, pia ili afanikiwe kazi yake maalumu ni lazima atafukuzwa kazi, ambapo chadema na Lema wanaweza kuwekeza imani kwa mwanajeshi huyo. Maana yake ikigundulika kuwa ni kweli ni mwanajeshi wa Jwtz kwa mujibu wa sheria za jeshi adhabu atakayopewa ni kufukuzwa kazi.

Lakini kwakuwa ni kazi maalum, kitakachofanyika itakuwa ni kufukuzwa kazi kama kiini macho, huku akiendelea kupokea mshahara wake kama kawaida, huku akiendelea kukusanya habari na kuripoti kwa waliomtuma.

Kitendo cha Lema kurudi mjengoni kimewaumiza sana serikali ya CCM.

Mfano leo nilikuwa mahali wadau fulani wa taasisi nyeti walikuwa wanazungumza kwamba Lema lazima aundiwe zengwe kwa namna yoyote ile, niliposikia vile nikaanza ku-refer na mjeshi nikaona kuna mchezo.

All in all chadema inaaminika kwa sera za wazi bila kificho, hivyo hata wangeletwa FBI bado ingekuwa shida kwakuwa chadema kimejiwekeza kwenye mioyo ya watanzania, na kubwa zaidi chadema ina mkono wa Mungu.

your post can simply be summarized as hoax.
 
Back
Top Bottom